Halafu Serikali ya Uingereza hisivyo na aibu inadai eti "hao walikuwa ni watalii!!" Watalii gani wanakutwa na treasure trove za encrypted data/info kwenye disks, clandestine communication system et.Urusi wamecheza kama pele,wamewakuta na nyara muhimu
Spetsnaz walipiga mission moja hivi kwenye bomba la gas haloo ile mission hatariHata mimi nilikuwa na shangaa!! Hivi kikosi cha Makomando wa Urusi kijulikanacho kama
Spetnaz mbona siwasikii katika
vita hii!! Kumbe walikuwa wanajipanga ku-deal hasa na SAS kutoka Uingereza, hao ndio wanawapa ushauri na mafunzo special forces za Ukraine ili wafanye mambo ya Ugaidi nchini Urusi na mipakani, kama wametiwa mbaroni wataeleza mengi.
Nawapa pongezi sana
sana makomando wa SPETNAZ kwa kuwadaka vibaka hawa ambao kazi zao hasa ni kuleta vurugu na kuwafunza mambo ya ugaidi wanajeshi au raia kufanya hujuma dhidi ya Serikali yoyote popote pale Duniani wanapo pewa assigment na Serikali ya Uingereza kutekeleza hujuma hizo na hicho ndicho kinacho endelea mipakani Urusi na wakati mwingine ndani ya Urusi kwenyewe mnakumbuka ajali ya Train iliyo sababishwa na hujuma za kulipua madaraja ya reli baadhi ya raia walipoteza maisha, sasa hizo ni baadhi ya modus operandi za SAS lengo likiwa ni kuwakasirisha raia wakate tamaa na kuanza kuichukia Serikali yao na inapo bidi waanze kuleta fujo/vurugu hili Nchi hisitawalikeni wana mawazo ya ajabu sana, hapa naona Urusi ifanye hima sana kusaka kikosi hiki Nchini Ukraine na Urusi kwenyewe kama wapo jamaa hawa ni hatari sana wasipo dhibitiwa haraka SANA.
Zitabadilishwa mbinu na mipango ambayo ilikuwa haijatekelezwa. Russia lazima ahujumiwe.Hata mimi nilikuwa na shangaa!! Hivi kikosi cha Makomando wa Urusi kijulikanacho kama
Spetnaz mbona siwasikii katika
vita hii!! Kumbe walikuwa wanajipanga ku-deal hasa na SAS kutoka Uingereza, hao ndio wanawapa ushauri na mafunzo special forces za Ukraine ili wafanye mambo ya Ugaidi nchini Urusi na mipakani, kama wametiwa mbaroni wataeleza mengi.
Nawapa pongezi sana
sana makomando wa SPETNAZ kwa kuwadaka vibaka hawa ambao kazi zao hasa ni kuleta vurugu na kuwafunza mambo ya ugaidi wanajeshi au raia kufanya hujuma dhidi ya Serikali yoyote popote pale Duniani wanapo pewa assigment na Serikali ya Uingereza kutekeleza hujuma hizo na hicho ndicho kinacho endelea mipakani Urusi na wakati mwingine ndani ya Urusi kwenyewe mnakumbuka ajali ya Train iliyo sababishwa na hujuma za kulipua madaraja ya reli baadhi ya raia walipoteza maisha, sasa hizo ni baadhi ya modus operandi za SAS lengo likiwa ni kuwakasirisha raia wakate tamaa na kuanza kuichukia Serikali yao na inapo bidi waanze kuleta fujo/vurugu hili Nchi hisitawalikeni wana mawazo ya ajabu sana, hapa naona Urusi ifanye hima sana kusaka kikosi hiki Nchini Ukraine na Urusi kwenyewe kama wapo jamaa hawa ni hatari sana wasipo dhibitiwa haraka SANA.
Si rahisi mkuu, wewe unajua Russia imetumia mbinu gani mpaka kufikia hatua ya kuwatia mbaroni Makamanda waliokuwa wanaratibu na kuongoza squad ya makomando na ma-pilot wa kurusha na kuongoza drones mpakani mwa Urusi na ndani ya Urusi kwenyewe.Zitabadilishwa mbinu na mipango ambayo ilikuwa haijatekelezwa. Russia lazima ahujumiwe.
Propaganda nyingine bwana!! Hivi inaingia akilini kweli kwamba unaweza kumlazimisha POW kwenda kupigana vita on your country's behalf, hizo ni porojo za vijiweni.Kwa Kuwa hao ni maafisa,sifikirii wakavyeshwa gwanda za Urusi kwenda kuichapa nchi waliyokuwepo Ukraine.
Mateka WA kivita POWs, Urusi inamchezo WA kuwapeleka front line,wanaichapa nchi yaoView attachment 3429303
Russia wenyewe hawaamini kuwa sasa wamekomesha hujuma dhidi yao, kama wewe unavyoamini...Si rahisi mkuu, wewe unajua Russia imetumia mbinu gani mpaka kufikia hatua ya kuwatia mbaroni Makamanda waliokuwa wanaratibu na kuongoza squad ya makomando na ma-pilot wa kurusha na kuongoza drones mpakani mwa Urusi na ndani ya Urusi kwenyewe.
Swali hapa ni,je, Warusi walijuaje sehemu/mahali ambapo Makamanda wa Uingereza walipo jichimbia na walikuwa mbali sana kutoka warfront lakini makomando wa Urusi waka wahunt down, kuwatia mbaroni,na kukamata vifaa vyote vya kintellijensia walivyokuwa wanavitumia vitapelekwa Moscow kwenda kuvichunguza kiundani, hata wabuni njia zipi za kufanya hujuma watakuwa wanatiwa mbaroni tu, Urusi imekwisha wajulia, hasa baada ya kukamatwa maafisa hao kutoka Uingereza, Urusi itahakikisha wanalazimishwa kusema kila kitu ikiwemo hata mipango ya NATO kuhusu Urusi siku za usoni, wakisema uongo watajulikana tu.
Sijasema kwamba maadui wa Russia watasitisha kujaribu kuifanyia hujuma Urusi, ninachosema mimi ni kwamba hivi sasa Urusi itaimarisha zaidi masuala ya usalama katika Taifa lao, kwani nani ambaye hajui uimara wa Urusi katika masuala ya kiintelijensia Duniani.Russia wenyewe hawaamini kuwa sasa wamekomesha hujuma dhidi yao, kama wewe unavyoamini...
Kwamba hujuma dhidi yao wamezikomesha sasa.
Mkuu soma vizuri nilicho andika, sijasema kwamba hujuma zitadhibitiwa by 100% - Like it or not, lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Urusi ni very smart katika masuala ya kitellijensia DUNIANI hakuna cha sijui MOSSAD wala nini sijui!!Russia wenyewe hawaamini kuwa sasa wamekomesha hujuma dhidi yao, kama wewe unavyoamini...
Kwamba hujuma dhidi yao wamezikomesha sasa.
Akiendelea kukubishia achana nae.Mkuu soma vizuri nilicho andika, sijasema kwamba hujuma zitadhibitiwa by 100% - Like it or not, lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Urusi ni very smart katika masuala ya kitellijensia DUNIANI hakuna cha sijui MOSSAD wala nini sijui!!
Kwa taarifa yako historia inaonyesha kwamba Taifa la Urusi limewahi kupigana na kushinda vita dhidi ya majeshi ya Alexander the Great, majeshi ya Napoleon Bonaparte na majajeshi ya Adolf Hitler. hawa wengine ni "they have been" hawawezi kuifanya lolote Urusi kinyume chake wataishia kwa kujaribu kuikoromea kwa maneno neno tu na vitisho tisho vya kitoto toto tu, basi.Zitabadilishwa mbinu na mipango ambayo ilikuwa haijatekelezwa. Russia lazima ahujumiwe.
Inawezekanaje? Watawakontroo vipi? Si watawageuka?Kwa Kuwa hao ni maafisa,sifikirii wakavyeshwa gwanda za Urusi kwenda kuichapa nchi waliyokuwepo Ukraine.
Mateka WA kivita POWs, Urusi inamchezo WA kuwapeleka front line,wanaichapa nchi yaoView attachment 3429303
Naam, waweza kuwa sahihi kabisa, lkn haitoi hakikisho la Russia kutohujumiwa periodKwa taarifa yako historia inaonyesha kwamba Taifa la Urusi limewahi kupigana na kushinda vita dhidi ya majeshi ya Alexander the Great, majeshi ya Napoleon Bonaparte na majajeshi ya Adolf Hitler. hawa wengine ni "they have been" hawawezi kuifanya lolote Urusi kinyume chake wataishia kwa kujaribu kuikoromea kwa maneno neno tu na vitisho tisho vya kitoto toto tu, basi.
Sio rahisi kama unavyodhani aisee.Naam, waweza kuwa sahihi kabisa, lkn haitoi hakikisho la Russia kutohujumiwa period
Lete chanzo chenye afya sio copy & pasteKikosi maalum cha urusi toka spetnaz cha spat-12,kilifanya operation yenye uthubutu wa hali ya juu ndani ya ukraine
Operation hiyo iliyodumu kwa dakika 15 usiku mwingi,ilifanyika kwenye kambi inayotumiwa na NATO ndani ya ukraine na kuwateka maafisa watatu wa juu wa uingereza ambao hawakuwa na silaha bali encrypted diskets
Wamewapeleka urusi na hawana mpango wa kubadilishana wafungwa
Ukraine War: British Officers Captured in Russian Special Forces Raid
Ochakov, Ukraine (Agencies) August 2, 2025 — In a dramatic escalation of covert hostilities, Russian special forces reportedly executed a lightning-fast operation in the Ukrainian coastal city of Ochakov, capturing three senior British military personnel allegedly involved in coordinating drone...www.thekhybermail.com
How many times must I repeat myself, kwani unafikiri vita vyote ambavyo Russia iliwahi kupigana ilikuwa haifanyiwi vitendo vya overt na covert operations na maadui zake lakini mbona mwisho wa siku wote walishindwa,Naam, waweza kuwa sahihi kabisa, lkn haitoi hakikisho la Russia kutohujumiwa period
Wamepigwa tukio la kibabe sana na Wahuni Spertsnaz.Pole yao waingereza hao,hawamuona gyokores akichukua kombe na arsenal
Yes wamepigwa tukio la kibabe sanaDuh, ukomandoo wa kibabe sana.
Ha ha haa,wanadai walenda kutalii.Watu wakiambiwa urusi anapigana na NATO na marekani wanabisha