Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
ngoja kwanza wa-draw attention ya majority, watu wengi wakishaguswa na huu wizi basi jemedari atajitokeza na kwa ushupavu mkubwa atatangaza kukiondoaKiondolewe ni wizi tu
Majanga waliyosababisha wao wenyeweNaunga mkono hoja tutakoma Leo tunaishia kuambiwa Kuna majanga ya asili wanangu nivumilieni
Hamiwezi kuwa sawa, different entities kabisa japokuwa ni nchi mojaLazima serikali itoe kikokotoo kilicho SAWA Kwa wafanyakazi wa serikali ya uma na wafanya kazi WA sector binafsi sbb sote ni watanzania.Haiwezekani watu wa seeiakli wapewe mafao makinwa kuliko watu wa private wakati sote mifuko inasimamiwa na serikali
kisha wale waliovaa vi-tshirt na kofia watashangilia kwa muda,wakidhani wamekaribishwa peponi kumbe ccm wembe ni ilele uchaguzi upite tuKuna mambo yanachekesha sana sometimes, unatengeneza tatizo, unawaacha wanahangaika nalo at the same time unatafuta praise team ili ku-justify kuwa tatizo ulilotengeneza sio tatizo. Unakaa kimyaa baada ya muda unaondoa tatizo unashangiliwa tena na praise team ambayo ni empty headed with zero reasoning capacity. Hili ndio linaloenda kutokea very soon.
stay tuned
nimecheka sana sanakisha wale waliovaa vi-tshirt na kofia watashangilia kwa muda,wakidhani wamekaribiswa peponi kumbe ccm wembe ni ilele uchaguzi upite tu
jina langu
Siyo kweli wote hesabu ni mojaLazima serikali itoe kikokotoo kilicho SAWA Kwa wafanyakazi wa serikali ya uma na wafanya kazi WA sector binafsi sbb sote ni watanzania.Haiwezekani watu wa seeiakli wapewe mafao makinwa kuliko watu wa private wakati sote mifuko inasimamiwa na serikali
Hahaha. Ubunge ni raha tupu. Hakuna hizo shida.Nchi hii imejaa viongozi ambao ni majambazi!
Hivi inakuwaje Kwa pesa ninayoweka Mimi mwenyewe, Kwa kukatwa toka kwenye mshahara wangu, halafu serikali ambayo ndiyo inayonitunzia hiyo pesa, ije iniambie kuwa asilimia 33 watanipa na asilimia 67 nyingine iliyobaki, watanitunzia Kwa kunipa kidogo kidogo!π
ajabu sana.Nchi hii imejaa viongozi ambao ni majambazi!
Hivi inakuwaje Kwa pesa ninayoweka Mimi mwenyewe, Kwa kukatwa toka kwenye mshahara wangu, halafu serikali ambayo ndiyo inayonitunzia hiyo pesa, ije iniambie kuwa asilimia 33 watanipa Kwa mkupuo na asilimia 67 nyingine iliyobaki, watanitunzia Kwa kunipa kidogo kidogo!π