Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado muda wa kukiondoa, hadi mwakani kwenye uchaguzi mkuuSERIKALI tendeni wema mkijua Kuna kufa, kikokotoo ni wizi ondoeni haraka
CCM ndio walioturogaSijui nani alituroga,yani unafiki,kujipendekeza na kutosema ukweli ndo maisha ya watanzania.
Sijui kapatwa na nini huyo Mama, hadi akache sherehe hizo?😁Sitarajii maajabu. Saa100 mwenyewe kaweka mpira kwapani
Ndiyo maana mama amekimbia mei mosi ya mwaka huu, ili aje kwa gia ya kukiondoa mwakani.bado muda wa kukiondoa, hadi mwakani kwenye uchaguzi mkuu
Possibly YesNdiyo maana mama amekimbia mei mosi ya mwaka huu, ili aje kwa gia ya kukiondoa mwakani.