Kikristo, uchawi haupo

Kikristo, uchawi haupo

C
Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.

Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.

Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.

Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.

Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...

Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.

Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.

Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.

Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.

Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.

Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.

Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.

Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya dini tofauti.
Wakristo wanatambua ukweli ya kuwa kitu chochote ambacho hakipo upande wa Yesu kwa maana hakina wema na kimesheheni mabaya ndani yake basi kipo kwa shetani

Na ndio maana tunaishi kwa neno pekee liletalo uzima
 
Kuamini Mungu kwenyewe ni kuamini uchawi, ila huo uchawi wa kuamini Mungu umeupitisha na kuufanya mtakatifu, umeupa ukiritimba, monopoly ya uchawi, uwepo huo peke yake mzuri, mwingine wowote uwe mbaya.

Ukishaamini mambo ya miujiza miujiza tu, ushaamini uchawi.

Na huwezi kuamini Mungu bila kuamini miujiza.
 
unashindwa kunielewa, mimi siamini biblia na hakuna sehemu nimeweka mstari wa biblia.

mimi naongela imani ya uchawi na imani juu ya ukristo jinsi zinavyo relate. na nimekueleza maisha ya ulaya kipindi cha mediaval age, nikakueleza canon laws zilitoka wapi na jinsi hizo laws zilivyokuwa zinahukumu wachawi.

hata leo hii ukienda kanisani lazima uchawi uongelewe, ni lazima shetani aongelewe.

sababu ukristo unatambua uchawi upo na wachawi na shetani ni adui ya ukristo,

hivyo haiwezekani mtu awe anaamini ukristo ni imani ya kweli halafu asiamini uchawi upo, wakati mafundisho ya ukristo yanautaja uchawi
Nakubaliana na wewe lakini,

Kinachonitatiza ni kwamba

Kwenye bibilia uchawi hauelezewi vizuri, utakuta mstari umeandikwa 'mtu asiongee na wafu'. Haisemi hayo mambo yanatokea wapi

Ndo maana ukichukua wakristo kutoka sehemu tofauti za dunia watatofautiana juu ya uchawi
 
Unaongea mambo usiyo na uelewa nayo boss.

Mchungaji akikupuliza ukadondoka ili upone si uchawi ni muujiza na mganga akikupuliza ukadondoka ili upone ni uchawi.

Ishu hapa ni chanzo cha nguvu ilipotoka.

Halafu hili ni suala la kiimani, ukianza mambo ya kuthibitisha nje ya imani tayari unafeli.
 
Unamaanisha kwamba maswala ya uchawi hayahusiani na shetani, kwamba shetani yupo kivyake mbali na maswala ya uchawi?

Kwamba tukizungumzia uchawi basi shetani tusimuhusishe? Kwamba shetani hausiani na nguvu hasi wala mambo mabaya kama uchawi?

Kama ni hivyo je huyu shetani ni nani? Na kwanini dini zetu zinampinga sana angali hausiki na uchawi nguvu hasi?
 
Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.

Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.

Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.

Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.

Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...

Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.

Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.

Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.

Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.

Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.

Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.

Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.

Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya

KUMBUKUMBU LA TORATI 18:9-14

9 Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale.

10 Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,

11 wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.

12 Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, Mungu wako, anawafukuza mbele yako.

UFUNUO 22:15
Huko nje wako mbwa na wachawi na wazinzi na wauaji na hao waabudio sanamu na kila mtu apendaye uongo na kuufanya

WAGALATIA 5:18-23

Hiyo ni baadhi ya aya zinazokataza uchawi kwenye Bibilia...... SO BIBILIA/UKRISTO UNATAMBUA UCHAWI kama inavyotambua uzinzi uongo wizi ni dhambi

Lakini pia Bibilia ni kitabu kinacho jichanganya sana
Soma SAMWELI WA KWANZA 28 yoye uone mtumishi wa Bwana alivyokwenda kwa mchawi kupiga ramli na majibu aliyopewa

Dhana ya uchawi kwa mujibu wa ukristo ni kutumia nguvu za miujiza nje ya nguvu za Mungu........ huu ndio Uchawi, witch, sorcery
 
"Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi"

Matendo ya Mitume
(Act) 13:6
Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa uongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu;

Matendo ya Mitume
(Act) 13:8
Lakini Elima, yule mchawi (maana ndiyo tafsiri ya jina lake), akashindana nao, akitaka kumtia yule liwali moyo wa kuiacha ile imani.

(Huna akili)
 
Sijaweka ushahidi😂

Ila kama kuna mahali kwenye bibilia uchawi umehusishwa na Yahweh au Ibilisi,

Anaejua aseme

Mbona biblia imejaa aya kuhusu uchawi ??

Leviticus 19:31 ESV / 1,107 helpful votes​

“Do not turn to mediums or necromancers; do not seek them out, and so make yourselves unclean by them: I am the Lord your God.

Exodus 22:18 ESV / 1,014 helpful votes​

“You shall not permit a sorceress to live.

Leviticus 20:27 ESV / 813 helpful votes​

“A man or a woman who is a medium or a necromancer shall surely be put to death. They shall be stoned with stones; their blood shall be upon them.”

Revelation 21:8 ESV / 762 helpful votes​

But as for the cowardly, the faithless, the detestable, as for murderers, the sexually immoral, sorcerers, idolaters, and all liars, their portion will be in the lake that burns with fire and sulfur, which is the second death.”

Leviticus 20:6 ESV / 704 helpful votes​

“If a person turns to mediums and necromancers, whoring after them, I will set my face against that person and will cut him off from among his people.

1 Samuel 15:23 ESV / 700 helpful votes​

For rebellion is as the sin of divination, and presumption is as iniquity and idolatry. Because you have rejected the word of the Lord, he has also rejected you from being king.”

Galatians 5:19-21 ESV / 691 helpful votes​

Now the works of the flesh are evident: sexual immorality, impurity, sensuality, idolatry, sorcery, enmity, strife, jealousy, fits of anger, rivalries, dissensions, divisions, envy, drunkenness, orgies, and things like these. I warn you, as I warned you before, that those who do such things will not inherit the kingdom of God.

2 Chronicles 33:6 ESV / 585 helpful votes​

And he burned his sons as an offering in the Valley of the Son of Hinnom, and used fortune-telling and omens and sorcery, and dealt with mediums and with necromancers. He did much evil in the sight of the Lord, provoking him to anger.

Revelation 22:15 ESV / 553 helpful votes​

Outside are the dogs and sorcerers and the sexually immoral and murderers and idolaters, and everyone who loves and practices falsehood.

Isaiah 8:19 ESV / 519 helpful votes​

And when they say to you, “Inquire of the mediums and the necromancers who chirp and mutter,” should not a people inquire of their God? Should they inquire of the dead on behalf of the living?

Deuteronomy 18:9-12 ESV / 488 helpful votes​

“When you come into the land that the Lord your God is giving you, you shall not learn to follow the abominable practices of those nations. There shall not be found among you anyone who burns his son or his daughter as an offering, anyone who practices divination or tells fortunes or interprets omens, or a sorcerer or a charmer or a medium or a necromancer or one who inquires of the dead, for whoever does these things is an abomination to the Lord. And because of these abominations the Lord your God is driving them out before you.

Acts 19:19 ESV / 476 helpful votes​

And a number of those who had practiced magic arts brought their books together and burned them in the sight of all. And they counted the value of them and found it came to fifty thousand pieces of silver.

Micah 5:12 ESV / 428 helpful votes​

And I will cut off sorceries from your hand, and you shall have no more tellers of fortunes;

Deuteronomy 18:10 ESV / 410 helpful votes​

There shall not be found among you anyone who burns his son or his daughter as an offering, anyone who practices divination or tells fortunes or interprets omens, or a sorcerer

1 Chronicles 10:13-14 ESV / 384 helpful votes​

So Saul died for his breach of faith. He broke faith with the Lord in that he did not keep the command of the Lord, and also consulted a medium, seeking guidance. He did not seek guidance from the Lord. Therefore the Lord put him to death and turned the kingdom over to David the son of Jesse.

2 Kings 21:6 ESV / 369 helpful votes​

And he burned his son as an offering and used fortune-telling and omens and dealt with mediums and with necromancers. He did much evil in the sight of the Lord, provoking him to anger.

Galatians 5:20 ESV / 336 helpful votes​

Idolatry, sorcery, enmity, strife, jealousy, fits of anger, rivalries, dissensions, divisions,

Leviticus 19:26 ESV / 332 helpful votes​

“You shall not eat any flesh with the blood in it. You shall not interpret omens or tell fortunes.

Galatians 5:20-21 ESV / 311 helpful votes​

Idolatry, sorcery, enmity, strife, jealousy, fits of anger, rivalries, dissensions, divisions, envy, drunkenness, orgies, and things like these. I warn you, as I warned you before, that those who do such things will not inherit the kingdom of God.

Revelation 18:23 ESV / 300 helpful votes​

And the light of a lamp will shine in you no more, and the voice of bridegroom and bride will be heard in you no more, for your merchants were the great ones of the earth, and all nations were deceived by your sorcery.

Isaiah 47:8-14 ESV / 278 helpful votes​

Now therefore hear this, you lover of pleasures, who sit securely, who say in your heart, “I am, and there is no one besides me; I shall not sit as a widow or know the loss of children”: These two things shall come to you in a moment, in one day; the loss of children and widowhood shall come upon you in full measure, in spite of your many sorceries and the great power of your enchantments. You felt secure in your wickedness; you said, “No one sees me”; your wisdom and your knowledge led you astray, and you said in your heart, “I am, and there is no one besides me.” But evil shall come upon you, which you will not know how to charm away; disaster shall fall upon you, for which you will not be able to atone; and ruin shall come upon you suddenly, of which you know nothing. Stand fast in your enchantments and your many sorceries, with which you have labored from your youth; perhaps you may be able to succeed; perhaps you may inspire terror. ...

Deuteronomy 18:9-14 ESV / 274 helpful votes​

“When you come into the land that the Lord your God is giving you, you shall not learn to follow the abominable practices of those nations. There shall not be found among you anyone who burns his son or his daughter as an offering, anyone who practices divination or tells fortunes or interprets omens, or a sorcerer or a charmer or a medium or a necromancer or one who inquires of the dead, for whoever does these things is an abomination to the Lord. And because of these abominations the Lord your God is driving them out before you. You shall be blameless before the Lord your God, ...

1 Chronicles 10:13 ESV / 251 helpful votes​

So Saul died for his breach of faith. He broke faith with the Lord in that he did not keep the command of the Lord, and also consulted a medium, seeking guidance.
 
Uchawi una nguvu na wala hautokani ma binadamu ,hakuna binadamu ana uwezo huo kwa sababu hata nguvu za Mussa pamoja ni miujiza ya Yesu imetokana na uwezo wa Mungu..

Hata uchawi ni sehemu ya nguvu za viumbe vyenge Mungu kama hata mashetani ,ambao walifukuzwa mbinguni kwenye mamlaka ya Mungu.

Lete ushahidi nguvu za Musa ni miujiza ya Yesu , mbona unampakazia yesu ??
 
Lete ushahidi nguvu za Musa ni miujiza ya Yesu , mbona unampakazia yesu ??
Nan aliyekuambia Yesu ndio kampa miujiza Musa? Miujuz ya Yesu na Mussa yote imetokana na Mungu.

Yesu sio Mungu
 
Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.

Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.

Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.

Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.

Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...

Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.

Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.

Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.

Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.

Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.

Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.

Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.

Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya dini tofauti.
Uchawi upo jamii zote duniani mkuu. Kuanzia wazungu, wachina, wahindi, waarabu, walatini amerika na kila jamii unayoijua ina uchawi. Kwa taarifa tu hata hao wazungu walikua wanaabudu mizimu na matambiko. Ukristo ndio ulikuja kuyaondoa hayo na ndipo Roma (wazungu) walibadili dini zao na kukubali ukristo japo kuna baadhi ya mambo walibakisha (mada ya siku ingine hii)

Soma historia vizuri mkuu!
 
mbona uhahamisha mada, hapa hatuongelei majini

hapa tunaongelea uchawi, yaani imani juu ya uchawi, jiulize je bibilia ama kanisani Uchawi ama wachawi hawazungumziwi kwenye ibada ama maombi ?

mfano mimi ni Atheist siamini dini yoyote, na wala siamini uwepo wa Mungu, naanzia wapi kuamini uwepo wa Uchawi ama wachawi ? maana biblia iliyotaja kuhusu wachawi sina imani nayo, quran iliyotaja kuhusu wachawi sina imani nayo.

Ukiona unaamini Ukristo maana yake unaamini uchawi upo pia, maana mafundisho ya ukristo yanatambua uchawi upo
Wewe kutokuamini au kuamini hakumaanishi hiko kitu hakipo.

Kuamini kitu sio sawa na kuabudu au kukiishi kama unavosema hapo kwenye andiko lako.

If You Don't Have Any Shadows, You're Not In The Light!
 
Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.

Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.

Lakini cha kushangaza, kimantiki, bibilia haiongelei kabisa kuhusu uchawi.

Nikimaanisha kwamba hakuna mahali ilipoandikwa kwamba mungu au shetani wana uhusiano wowote na uchawi.

Vimekatazwa kwasababu ni njia za ibada za mataifa mengine kama canaanites, romans nk, ni kutoka nje ya misingi ya dini...

Bibilia imelaani vitu kama kuabudu sanamu, kuongea na wafu, foreseeing(kutumia uchawi kutabiri nyakati) lakini haijasema kwamba hivyo vitu vinahusiana na shetani.

Na hata hadithi zote za mapepo, hakuna mahali ulozi umetajwa kama chanzo, na imesemwa mapepo ni wale malaika waasi.

Ninachokiona ni kwamba haya mambo ya uchawi ni ya kwetu sisi, ukristo uliyakuta, tukayachanganya na ukristo.

Mambo kama irizi, matambiko, misukule nk ni imani za jadi kabisa.

Na ndio maana wakristo wa nchi zilizoendelea hawaamini kwenye uchawi, wanaamini kwenye mapepo.

Hata mambo ya nyota, sijui nyayo, anga, viganja hayapo kwenye bibilia, ni mistari inatafsiriwa kitofauti.

Kwahiyo kikristo kweye upande wa mwanga kuna Yahweh na malaika wake, kwenye giza kuna shetani na mapepo yake.

Kimantiki mkristo ukiamini uchawi maana yake unahama dini/unachanganya dini tofauti.
una ufinyu wa uelewa wa biblia
 
1samwel28-hapo utasoma kuhusu uchawi
 
Back
Top Bottom