KIKULA WA UDOM NA Propaganda za kisiasa

Lwesye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
5,292
Reaction score
1,148
Kikula Mkuu wa chuo leo kasema chuo kimedahiri wanfunzi wachache kwa jili ya ukosefu wa walimu lakini akasema kwa sasa wameajiri walimu kutoka India,Korea,China,Japan,Marekani,Uingereza wakati waalimu wasaidizi wakipelekwa kusomea PHD
Source :Taarifa ya habari saa mbili Star TV

my take KIkula ameingia kwenye siasa chuo kina umri zaidi ya miaka saba je walishindwaje kuandaa walimu

uongozi wake wa kiimla umelalamikiwa na waalimu na wanafunzi UDOM ni saccos yake

Je mpango wa elimu ya juu wa Raisi kikwete umeshindwa kabisa
 
mbona kuna watu wengi sana wanasomea PhD na Masters. uliza utaambiwa. usikurupuke tu. jamaa yupo sahihi.
 
mbona kuna watu wengi sana wanasomea PhD na Masters. uliza utaambiwa. usikurupuke tu. jamaa yupo sahihi.
Bora umesema wanasomea kuliko ungesema wanasomeshwa kama ambavyo Kikula hupenda kudanganya. Prof Kikula unajua hao wanaosoma PhD na masters wengi wao wanajisomesha japo ni wafanyakazi wa chuo unachokiongoza? Leo zaidi ya nusu ya wanaosoma PhD hawajapata hata senti toka Bodi ya mikopo na chuo chako hata kimefumba macho wakati watu hawa wanasoma PhD zao na kufundisha full courses? Chukua hatua katika hili la masomo yao na fedha za kujikimu na stationaery allowance zao ni mbaya sana tena inasikitisha kuwa watu tangu waanze shule zao june na wengine mwanzoni mwa mwaka 2012 lakini hawajawahi pata chochote toka bodi ya mikopo wala chuo chako
 
mambo mengine kero tupu! Kumbe ndo maana ufisadi na ubinafsi zinaongezeka tanzania, yaani adi phd bado watu wanasoma kwa shida na miangaiko hapa duniani? Sasa thesis zao wanafanyaje? Yani kero na maudhi tupu
 
mbona kuna watu wengi sana wanasomea PhD na Masters. uliza utaambiwa. usikurupuke tu. jamaa yupo sahihi.

This guy is not serious at all! why every every day and every date is prof Kikula? at UDOM. Gorvoment is also observing, haya haribuni system zote na tena kotekote.
 
Taasisi yoyote ila ikiongozwa na muislamu huwa hamna ufanisi sijui ni laana toka kwa mungu au damu ya mapadre inawalilia.
 
This guy is not serious at all! why every every day and every date is prof Kikula? at UDOM. Gorvoment is also observing, haya haribuni system zote na tena kotekote.
lakini mbona Prof. kikula huyuhuyu akiwa mkuu wa chuo pale uclas hakukuwa na maneno? what is the difference? I see something fish behind.
 
mkuu nashukuru kwa kunipa habari mpya. lakini mimi wote ninaowafahamu wanalipiwa na chuo. kumbe kuna wengine wanajisomesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…