Mfatahela Kwesa Member Joined Apr 21, 2017 Posts 90 Reaction score 99 Nov 19, 2017 #1 *Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala.. Ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake.. Akaenda zake kazini aliporudi akakuta mlinzi wa getini amekufa.. Usiniulize alikufaje.[emoji57] Mambo ya umbea mi sipendi.*
*Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala.. Ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake.. Akaenda zake kazini aliporudi akakuta mlinzi wa getini amekufa.. Usiniulize alikufaje.[emoji57] Mambo ya umbea mi sipendi.*
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,850 Nov 19, 2017 #2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Nov 19, 2017 #3 Mlinzi alikufaa baada ya roho kuachana na mwili[emoji41]
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Nov 19, 2017 #4 Bangi bwana
Mkuu wa Kibiti JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 776 Reaction score 1,136 Nov 20, 2017 #5 Billie said: Bangi bwana Click to expand... Si mchicha ati