kikulacho kinguoni mwako

kikulacho kinguoni mwako

Massawejr

Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
19
Reaction score
23
katika maisha kuna ule usemi wahenga walikuwa wnatumia wakiwa wanasema kikulacho kinguoni mwako, basi usemi huu umekuwa wa kwel katika maisha yetu ya kila siku ambapo wale tunao waamini sana na kudhani nkuwa ni marafiki zetu wa karibu ndio hao ambao wanaongoza kwa kutusaliti. mfano katika moja ya matukio ambayo nishawahi kuyashuhudia na kuyaona ilikuwa kuna mdada mmoja ambae alikuwa na rafk yake ambae walikuwa wanapendana sana yani kila mahali wako pamoja lakini mdada yule hakujua kuwa rafiki yake yule wa karibu ndiye adui wake wa karibiu, sasa rafk yake alikuwa anamloga mambo yake yasiende powa, sasa kuna siku ambayo mdada yule alikuwa kwenye maombi lakini ghafla alianguka sasa lile pepo ndio likawa linasema limetumwa na nan na kwasababu gani. kwakwel siku amini yani kwa jinsi walivyokuwa marafiki kama ndugu alafu leo yule rafk yake ndio alimfanyia mambo kama yale na yote ni kwasababu ya wivu
 
Kanisa Lako liko Pande Gani?
 
Back
Top Bottom