Kikulachochako ni member mwenye utambuzi wa hali ya juu sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Huyu mwanaJf mwenzetu kikulachochako Ana upeo mkubwa Sana Kama una shida na matatizo na unafikiri ungehitaji ushauri basi Ni vema ukamuona.hajanituma nimsemehe ila me huwa siwezi kuficha hisia zangu mtu Kama namkubali lazima nimsifie tu.
 
Usiingie kweny huo mchezo ndugu hakuna anaeujua na hakuna bingwa wa kubet mm Nina marafik karb kila nchi lakn tunakula za uso tu na nimeacha na app zote nimefuta
Kwa haraka haraka tu mpaka sa hivi umeliwa kama shingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…