ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Huyu mwanaJf mwenzetu kikulachochako Ana upeo mkubwa Sana Kama una shida na matatizo na unafikiri ungehitaji ushauri basi Ni vema ukamuona.hajanituma nimsemehe ila me huwa siwezi kuficha hisia zangu mtu Kama namkubali lazima nimsifie tu.