Kikundi cha wanamgambo wa Ukraine walioalikwa Uingereza wametorokea mitaani huko London

Kikundi cha wanamgambo wa Ukraine walioalikwa Uingereza wametorokea mitaani huko London

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Kikundi cha Wanamgambo wa Ukraine waliokwenda kushiriki graride la Victory in Europe Day huko London wametorokea na kuingia mitaani hawataki kurudi Ukraine kusulibiwa na Vikosi vya Wachechinyia 🇷🇺

A group of Ukrainian servicemen who were invited to take part in the ceremonial parade in honor of the Victory in Europe Day in London disappeared after the event!

IMG_20250514_220357.jpg
 
Wakikamatwa na kurudishwa Zelensk atawapeleka mstari wa mbele wakakutane na Wachechen
Uingereza ndio baba lao
Hawatoki hao na hawarudi tena
Waende kupigana tena subutuuuu

Angalia mnigeria huyu kaingia London Heathrow anasema ana miaka 15 akijua Underage hawarudishwi popote bali watalelewa tu hapa

Screenshot_20250514_203224_Instagram~2.png

Sasa mpaka analia na kulazimisha ana miaka 15
Hebu angalia misuli ya uso hiyo 😄
Alitorokea kusikojulikana
 
Uingereza ndio baba lao
Hawatoki hao na hawarudi tena
Waende kupigana tena subutuuuu

Angalia mnigeria huyu kaingia London Heathrow anasema ana miaka 15 akijua Underage hawarudishwi popote bali watalelewa tu hapa
View attachment 3334019
Sasa mpaka analia na kulazimisha ana miaka 15
Hebu angalia misuli ya uso hiyo 😄

KIkubwa utulivu tu maisha yenyewe mafupi alafu wanasiasa hawayathamini wakati wao familia zao zipo safe
 
Back
Top Bottom