Jeshi limeanza kuogopa
Kama bado unawaamini Polisi basi una matatizo ya akili.Kuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
sio la jana wala la leo, kwa hiyo liendelee tu bila kuhojiwa?Kuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
kujichunguza wenyewe hapa tayari tunakuwa tumeshashindwa ni rahisi wao kupindisha ukweli --- tupo katika hali tata sanaNafikiri wangewahoji wote wanaotuhumiwa
Tunaamini watawapata tu waliofanya haya, kama haki itatendeka
shida washapoteza uhalaliKuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
Inawezekana ila utekaji umeanza leo ,Sativa alitekwa mpaka Tajiri wa nchi ...Mbona hawatoa ushirikiano hao waliotekwa .Kama bado unawaamini Polisi basi una matatizo ya akili.
Wameshindwa kuwakamata walomchukua mzee Kibao mchana kweupe kweny bus waje kuweza ya Mdude alochukuliwa usiku??
Polisi ndo watuhumiwa wa kwanza kabisa. Tatizo wanatuona sisi hatuna akili qmmk zao.
Kuhojiwa wewe utafanya nn ? Unahoji huku umeficha identify!sio la jana wala la leo, kwa hiyo liendelee tu bila kuhojiwa?
Tuwe kitu kimoja hasa sisi wananchi.shida washapoteza uhalali
tuendelee kupaza sauti -- hata sisi keyboard warriors 🤣 . kupaza sauti ni muhimuKuhojiwa wewe utafanya nn ? Unahoji huku umeficha identify!
hii nakuunga mkono asilimia 100 mkuu --- na jambo hili ndo bado halijatimia.Tuwe kitu kimoja hasa sisi wananchi.
Sifa moja wapo ya IGP Wambura hata akaapanda ngazi ni KUUAKama bado unawaamini Polisi basi una matatizo ya akili.
Wameshindwa kuwakamata walomchukua mzee Kibao mchana kweupe kweny bus waje kuweza ya Mdude alochukuliwa usiku??
Polisi ndo watuhumiwa wa kwanza kabisa. Tatizo wanatuona sisi hatuna akili qmmk zao.
Brother tafuta Ngoma ya nash mc maswali ya kiwakiNafikiri wangewahoji wote wanaotuhumiwa
Tunaamini watawapata tu waliofanya haya, kama haki itatendeka
Sativa hatoi ushirikiano?Inawezekana ila utekaji umeanza leo ,Sativa alitekwa mpaka Tajiri wa nchi ...Mbona hawatoa ushirikiano hao waliotekwa .
Alafu mtu bado anawaamin Polisi?Sifa moja wapo ya IGP Wambura hata akaapanda ngazi ni KUUA
Haya mambo mnayepeleka kisiasa siku moja utanielewa. ukifuta mambo ya siasa watu watakuwa kitu kimoja.Sativa hatoi ushirikiano?
Si kila siku anamtaja Mafwele kule X na mpk sasa kila mtu anamfaham Mafwele.
Sativa amehojiwa mara kibao tang akiwa hospitar kule Katavi, Aga Khan na mpk leo anamtaja aliyemteka.
Polisi wamefanya nn mpk sasa??