Kikundi cha Watekaji Je, Ndiyo Hawa Hapa?.

Kikundi cha watekaji mbona kinajulikana.

Kina budget kabisa, na kazi yao ndio hiyo ya utekaji.

Hata hapa kipo kina Cosseny waliompiga nyundo ya kisogo Padre Kitima
 
Sativa hatoi ushirikiano?

Si kila siku anamtaja Mafwele kule X na mpk sasa kila mtu anamfaham Mafwele.

Sativa amehojiwa mara kibao tang akiwa hospitar kule Katavi, Aga Khan na mpk leo anamtaja aliyemteka.

Polisi wamefanya nn mpk sasa??
Unadhani kutaja taja majina na picha za watu uko mitandaoni ndo kutoa ushirikiano.Kama unawaza hivyo hakuna badiliko litakalotokea.
 
Unadhani kutaja taja majina na picha za watu uko mitandaoni ndo kutoa ushirikiano.Kama unawaza hivyo hakuna badiliko litakalotokea.
Mkuu unatumia akili??... Ulitaka ushirikiano gani?... Si alishasema alipelekwa karakana ya Ostabey na kisha kupelekwa Chuga na kote alikuwa anahifadhiwa vituo vya polisi?

Sasa hapo unataka afanye nn?... Arud kwa wale wale polisi akawaoneshe eneo lao ambapo walikuwa wamemficha?

Em tutolee ungese wako hapa. Nina wasiwasi na uwezo wa akili yako kuchakata mambo madogo kama haya.
 
Tatizo sisikilizi mziki kabisa
Labda uweke mistari yake kidogo
Tatizo wanatoa vitisho badala ya uchunguzi
Nash ali dhungumzia kua polisi unampelekeaje habari ya utekaji ,akasema wasanii tunaibiwa ilekinomanoma kamavipi jembe nauri ni Bure twenzetu dodo aka sema we uloonawapi mnyonyaji amtete anaenyonywaa
 
Nash ali dhungumzia kua polisi unampelekeaje habari ya utekaji ,akasema wasanii tunaibiwa ilekinomanoma kamavipi jembe nauri ni Bure twenzetu dodo aka sema we uloonawapi mnyonyaji amtete anaenyonywaa
Hapo nimeelewa, sema wewe uliona wapi mnyonyaji anatetea?
Inahuzunisha sana
 
Ng
Kuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
Ngoja na ww yakukute endelea kutetea maovu
 
Onyo kali kwa wananchi!.
View attachment 3330792
kuna mambo mawili, la kwanza, hao polisi ni ndugu, kaka, dada, shangazi, jirani zetu, mtu anapoteswa hata wao wana roho, hawafurahii kila kitu, ndio mwisho wanasalitiana na kutoa siri kwamba mbaya kwenye jeshi letu ni huyu. na ni kitu cha kweli hawakosei. Pili, hao askari wenu, wanafahamika, kwamba uishi mbeya usiwajue askari pale kwa RCO? sasa, kama wamekuja kukukamata unawajua, au wamekamata ndugu yako na unafahamu kuwa fulani na fulani ndo wamekamata, kwa nini usiwataje wakati unawafahamu? common sense tu.
 
Sifa moja wapo ya IGP Wambura hata akaapanda ngazi ni KUUA
Daa nasikitika sana hapa!!.

Yaani jeshi letu ka polisi ukiwa muuajibwa raia ndiyo unaonekana jasiri hapo ndipo unapata cheo?.
 
Kuanza kushutumu watu hatuwezi kupata suluhu ya tatizo ,ni bora kutulia na kushirikiana na tuliowapa madaraka ili kujua ila panic watu wataendelea kuishi ..Hili suala sio la jana wala leo.
a) Mmetunga katiba ya kazi gani?.
b) Mmeruhusu vyama vya upinzani ili iweje?.
c) Je, unataka raia wako wawe upande gani? (Nuru/Giza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…