Kikuu App ni ya kweli?

Salaam wakuu!

Hii app ya kikuu ina ukweli au uaminifu kwa kiwango gani?

Kwa sababu nimeona bei ya simu samsung S23 ultra plus nimeshindwa kuelewa. Hii ni bei halisi au namna gani hapa??
View attachment 2583586
Nilinunua nokia obama huko... Ile inafika tu... Kuiona nikajisemea hili toy kweli? Ile kuweka laini goma halieleweki.... KWanza likasoma no sim card... Mwanga wa screeni mkali hadi macho yanauma... Afu hakuna sehemu ya kupunguzia.... Kitufe cha kuwashia tu ndo kina bonyezeka.. vingine hakuna kitu.... nikasema sio kweli ni return chap.. baada ya wiki kadhaa wakrudisha pesa yangu kwenye k pay acc... SAsa kimbembe kunirudishia kwenye tigo pesa yangu, Dooh! ile Kwenda ofisi zao pale shopars plaza mikocheni wakasema eti nitume detail kupitia app sehem customer service... Oohhh! KILA nikiafungua sehemu ya huduma KWa wateja huko kwenye app yao hakuna kitu... Nikasema wasiniletee ujinga nikawatimbia... Ile kufika dada wa reception kaniona akaingia kwenye kichumba flani akatoka namweleza anasema eti jaribu tena kuingia.. ile ilivo funguka nikawaandikia sms Hapo Hapo wakajibu nisubiri.... Hiyo subiri toka mwaka januari hadi leo.... Subiri subiri.... SAsa nimepanga niende nikawafanyie valangati...
 
Salaam wakuu!

Hii app ya kikuu ina ukweli au uaminifu kwa kiwango gani?

Kwa sababu nimeona bei ya simu samsung S23 ultra plus nimeshindwa kuelewa. Hii ni bei halisi au namna gani hapa??
View attachment 2583586
Hiyo simu.ni copy mzee yaani hizo specification ni za uwongo ukinunua wanakutumia ndio ila ukiipata utacheka balaa yaani ni bora tecno ya batan kwa uwezo kuliko hyo tatzo lenu huwa hamsomi review walonunua hizo simu copy wanalia
 
Wanakuletea ulichoagiza isipokua kua attention na details.

Mshkaji wangu aliona suti na shati vinauzwa 19,000/= akaweka oda na ikaja ilipofika akakuta ni size ya mtoto wa miaka 2.

So just kua attention na details.
Nimecheka kinoma[emoji23]
 
Wanakuletea ulichoagiza isipokua kua attention na details.

Mshkaji wangu aliona suti na shati vinauzwa 19,000/= akaweka oda na ikaja ilipofika akakuta ni size ya mtoto wa miaka 2.

So just kua attention na details.

Hakulia kweli na pasaka hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…