Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Na ndio wanapenda uamini hivi, kuna wachina kibao matapeli, madalali na wajanja kuliko wabongo, si kila kitu cha mchina kina value ya pesa, vingi tu vipo overpriced.Uzuri mchina anakupa kitu kutokana na pesa yako