Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,231
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aha. Wewe umeelewesha vizuri mkuuAlibaba - Jumla
Ali express - Rejareja
Same owner.
Hapana ni Ali express wanauza kimoja kimoja na ukitaka jumlaAtleast hawa Alibaba wanafahamika world wide.
Bora ww umesomeka mkuu, si hawa wengine lawama mwanzo mwisho!!Wadau tusiwalaumu KIKUU kwamba wanauza bidhaa zisizokuwa na viwango. KIKUU Ni Kama app ya KUPATANA kwamba muuzaji anajisajili katika app Kisha anatangaza bidhaa zake kupitia app.
KIKUU wenyewe walishatoa tahadhari kua kabla hujanunua bidhaa soma kwanza maoni ya waliowahi kununua bidhaa husika. Pia Kama umenunua bidhaa na haijakidhi matarajio kwa maana ya bidhaa haina viwango unatakiwa kureport ili wamfungie muuzaji wa bidhaa husika.
Kwahiyo ukinunua bidhaa ukakuta Ni fake huwezi kuwalaumu KIKUU kwakua wao sio wamiliki wa bidhaa Bali wanaendesha app ambayo wauzaji wa bidhaa wanaitumia kuuza bidhaa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm siaminig kabisa kufanya biashara za online eti MTU yupo ulaya huko mm nipo bongo land nimtumie pesa kwa mtandao anitumie TV,au radio
Bora nidumbukie k/koo tu liwalo na liwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia kijiji sasaWelcome to the Stone Age.
dodge
Hata hivyo huwezi kutoa tahadhari bila kuwataja hao KIKUU kama ambavyo huwezi kulaumu vibaka bila kutaja eg. Manseze! Mtu atasema ''Manzese haifai, ina vibaka kweli''. Hivyo hivyo mtu atasema KIKUU haifai kuna bidhaa fake kweli.Wadau tusiwalaumu KIKUU kwamba wanauza bidhaa zisizokuwa na viwango. KIKUU Ni Kama app ya KUPATANA kwamba muuzaji anajisajili katika app Kisha anatangaza bidhaa zake kupitia app.
KIKUU wenyewe walishatoa tahadhari kua kabla hujanunua bidhaa soma kwanza maoni ya waliowahi kununua bidhaa husika. Pia Kama umenunua bidhaa na haijakidhi matarajio kwa maana ya bidhaa haina viwango unatakiwa kureport ili wamfungie muuzaji wa bidhaa husika.
Kwahiyo ukinunua bidhaa ukakuta Ni fake huwezi kuwalaumu KIKUU kwakua wao sio wamiliki wa bidhaa Bali wanaendesha app ambayo wauzaji wa bidhaa wanaitumia kuuza bidhaa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gani ulinunua?Kikuu waliniletea earphone iko poa tu
Unarudishaje mzigoInawezekana mwaka wa 5 huu, natumia hiyo app
Nilishawahi mnunulia uncle wangu begi la shule aisee lilikuja kadogoo, basi nikawarudishia na hawakua na kubwa zaidi ya ile. Siku ya2 yake hela yangu ikarudiashwa tigopesa
Kipindi cha nyuma ofisi zao zilikua kwa mfano huku Tabata zilikua Tabata aroma maeneo hayo sasa sijui kwa sasaUnarudishaje mzigo
AliExpress nao wana bidhaa feki nyingi sana hawana tofauti na kikuuAli express All over
Biashara yenyewe imejengwa kwa misingi ya kuuza knock off and cheap products from China, unategemeaje wabadili na kuwa wanauza vitu OG. Kwanza can the target market afford them?Wakuu,
Hawa jamaa nimewachoka sasa. Mara ya kwanza niliagiza mzigo mwaka jana, ilikua ni Flash ya 128 GB kwenye Limited Offer.
Cha kushangaza ilidumu kwa siku 5 tu, ikawa haifanyi kazi tena kwenye computer.
Chengine kinachoboa zaidi ni muda unaochukua mpaka kupata bidhaa yako.
Mali yako inakaa mpaka unasahau kama uliagiza mzigo.
Juzi kati hivi, kuna jamaa yangu aliagiza Projector kwa ajili ya kuonyeshea mpira, quality imekuja mbovu kabisa ukilinganisha na specification walizoweka kwenye mtandao wao.
Kuna mwengine nilimsikia eti alinunua iPhone 6 kwenye Limited Offer kwa 290, kuja kuiwasha ni fake! fake! fake! Haifai!!
Hakuna namna nyengine zaidi ya kuwakimbia tu.
Tuendelee kuingia Kariakoo, maisha yaendelee.
Wabongo mtapigwa sana hadi mjue kutofautisha bidhaa original na fake,China uwezi pata bidhaa original hata kwa dawa.MalcolM XII, Kwanini wasirudishe kama bidhaa hiyo haijakidhi matarajio yao.
Na akirudisha ndani ya siku3 Ukitaka kurudishiwa hela unarudishiwa
Ukitaka bidhaa utasubir kidogo