Kikuyu na kumi (10)


Duh! man you're damn good. Bango kama hizi the likes of Geza Ulole JokaKuu Bulldog kadoda11 hupita kimya, they are too lazy to read.
 
Last edited by a moderator:
Duh! man you're damn good. Bango kama hizi the likes of Geza Ulole JokaKuu Bulldog kadoda11 hupita kimya, they are too lazy to read.
The fun thing is with all those figures u r hunger stricken country year out year in! pata picha! must be those exports are done by foreigners! BTW Kenya tea is not third but fourth after China, India and Sri lanka
 
MK254,

..wa-Ky wengi ni watumwa tu.

..uchumi wenu umeshikwa na matajiri wachache.

..hakuna Mtanzania anataka kuwa kama wa-Kenya.

..Kwa hiyo wa-Tz unaopigashana nao kelele, ni watu wasiokuwa na hamu kabisa na social and economic system iliyoko huko Kenya.


cc jMali, Geza Ulole, mchambawima1, Ngongo, Kimweri
 
Last edited by a moderator:

JokaKuu Huwa hainiingii akilini kwamba mnadai kutopendezwa na chochote kuhusu Kenya wakati kila mwaka tunahangaika na omba omba kutoka Tanzania ambao wapo kwa mamia na kila wakiondolewa wanarudi wengi. Wakenya waliopo Tanzania utawakuta kila mmoja yupo busy anafanya shughuli yake, lakini nyie bana.

Hebu soma zaidi Immigrant beggars' ‘menace’ in Kiambu soars | HiviSasa
 
Last edited by a moderator:

..umeshasema hao ni ombaomba, watu wavivu wasiojitambua.

..mimi nazungumzia Mtanzania mwenye nguvu na akili zake.

..mtu huyo hawezi kutamani kuwa MTUMWA kama mlivyo Waafrika wa Kenya.
 

biashara zote hizo umetaja wenyewe ni familia hazizidi hata 10! kenyatta, kibaki, moi,....kenyatta family alone owns about 1/3rd ya all fertile land in kenya! wewe na wenzio biashara kubwa ni u-agent wa mpesa tu. hahaha...:heh: hata ripoti za majuzi zinathibitisha kuwa kuna high unemployment huko regardless of hizo kahawa etc..

cc@FaizaFoxy
 
Wa maina sio jina la kike ni jina tu kama lingine linaloashiria kizazi, kwa mfano Ngugi wa Thiong'o ni jina linalomaanisha ngugi mtoto ama mwana wa Thiong'o ambaye ni babake. Kweli kuna wakikuyu kadha wanaojiita majina ya kike lakini kuna tofauti ya Wairimu ambaye ni mwanamke na wa Thiong'o.
 

Unaelewa unachosema kweli?labda wa huko kwenu wa kwetu hawana mambo kama hayo,uliza swali ujibiwe usieneze uvumi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…