Katika binaadamu kuna vitu muhimu ambapo visiposhirikiana tunapata vitu vya ajabu au kama vizuri basi ni kwa kubahatisha.Ukiondoa moyo ambayo ndio injini UBONGO,MACHO ,MASIKIO, PUA, ULIMI NA NGOZI.Kiungo muhimu cha kiviunganisha vyote hivi ni UBONGO ubongo unatafakari na kuchuja habari zote ulizozipata kutoka kwa viungo hivyo nilivyovitaja na kuvipeleka katika ulimi.
Pale kunapokua na itilafu katika mawasiliaono ya viungo hivyo na ubongo nitatizo kubwa kwani kauli inatoka machoni au masikioni au puani au katika ngozi na kuelekea katika ulimi bila kupitia katika ubongo na kuchujwa na kutafakariwa ,matokeo yake ni matamshi au hotuba zisizo na kichwa wala miguu huu NI UGONJWA ambao nimegundua huku katika viongozi wengi wa CCM kuanzia Rais JK,Makamba n.k Ndio mwazo wa hotuba na kauli zisi na kichwa wala miguu.
Yanapotokea makosa haya wakati wote tunakimbilia kusema washauri wa Rais walimdanganya Rais.Katiaka hali ambapo MH.Rais viungo nilivyovitaja hapo juu havifanyikazi hata umtafutie washauri wa viwango vyovyote ni kazi bure.
Rais na viongozi wa namna hii ni miungu kwa mafisadi kwani ndio wanageuka kua ubongo wa viongozi hao na machungu kwa walalahoi ambao wanayapata machungu hayo kwa maamuzi ya kipuuzi.MUNGU IBARIKI TANZANIA