Mzee mmoja mashuhuri wa Chama chetu keshasema Kijana Kikwete ndiye Mtaji wa CCM! I hate this yaani inaoneka hata CCM wakiweka Jokeli basi litashinda tu uchagu, nadhani someone has bewitched Tanzanians, kama sivyo basi kuna hila nyingi sana na sanaa katika uchaguzi wetu, ama NEC au Serikali inacheza mchezo mchafu kwenye chaguzi zetu.
aisee si ulimsikia JK alivyowatisha TUCTA na risasi endapo wataandaman? yaana serikali yetu ni hovyo!! no democracy at all, freedom of speech na yenyewe wanataka kuibania, si unajua, vibaraka wa serikali wamo mpaka humu JF!!! lakini ni mwendo wa kugangamaa!! mzee mwanakiji safi!!How do we move forward manake hata kujiandikisha kupiga kura hatumo we need ku mobilize watu wapige kura za kweli NO CCM NO KIKWETE vikundi vya wanaharakati vitoke sasa barabarani maandamano yaongozane kuanzia sasa mpaka September, Femat waliishia wapi wakati walisema wangetoka barabarani miezi mitatu iliyopita, TUCTA watoke, Chadema watoke, Wakristo watoke kupinga benki ya Kiisalamu ndani ya Stanbic walimu vyuo vikuu vya umma watoke barabarani mambo yawe back to back ndio njia pekee ya kubadilisha maisha mpaka hao viongozi wakimbie nchi, yeye na vibaraka wake wanaonenepea kodi zetu
I'm a youth, a CCM member, and one among the many victims of Jakaya's myths; infact i was on my final year (undergraduate) when this gentlemen visited the campus, and to be honest i was really turned on (kinda fan of him even before that day). Kutokana na ahadi zake na utendaji kazi wake katika wizara mbalimbali, nilijikuta nikimwamini sana na niliamini anaweza kuivusha Tanzania toka hapo ilipo. Bila kinyongo na kwa matumaini makubwa nikampa KURA yangu mwaka 2005!Great contribution. Bado naamini kuwa watu wengi bado hawajaijua nguvu waliyo nayo ni kubwa ili kuleta mabadiliko. Jambo linalotakiwa kama ulivyosema ni 'kufumbua macho' wananchi watoke katika hili lindi la usingizi liliosababishwa na bangi au dawa ya kulevya ya imani potofu kuwa viongozi waliopo ama chama kinachotawala ni hicho hicho kinachoweza kuongoza nchi yetu.
Sina nguvu ya kushindana na dola, lakini pia nina nguvu isiyoweza pokonywa na dola, nayo ni uwezo wa kuchagua mtu nimtakaye kuwa kiongozi wangu (rais, mbunge, diwani etc) kupitia KURA yangu, kwa utashi wangu! Huu si muujiza, inawezekana!!
Sina nguvu ya kushindana na dola, lakini pia nina nguvu isiyoweza pokonywa na dola, nayo ni uwezo wa kuchagua mtu nimtakaye kuwa kiongozi wangu (rais, mbunge, diwani etc) kupitia KURA yangu, kwa utashi wangu! Huu si muujiza, inawezekana!!
Nina changamoto kwenu wanajamii ni wangapi wetu tuliojiandikisha kupiga kula? Na tumefanya nini kuhakikisha mama na ndugu zetu wanaelewa ubaya wa ccm na kuweza kutoipigia kula?
Katika binaadamu kuna vitu muhimu ambapo visiposhirikiana tunapata vitu vya ajabu au kama vizuri basi ni kwa kubahatisha.Ukiondoa moyo ambayo ndio injini UBONGO,MACHO ,MASIKIO, PUA, ULIMI NA NGOZI.Kiungo muhimu cha kiviunganisha vyote hivi ni UBONGO ubongo unatafakari na kuchuja habari zote ulizozipata kutoka kwa viungo hivyo nilivyovitaja na kuvipeleka katika ulimi.
Pale kunapokua na itilafu katika mawasiliaono ya viungo hivyo na ubongo nitatizo kubwa kwani kauli inatoka machoni au masikioni au puani au katika ngozi na kuelekea katika ulimi bila kupitia katika ubongo na kuchujwa na kutafakariwa ,matokeo yake ni matamshi au hotuba zisizo na kichwa wala miguu huu NI UGONJWA ambao nimegundua huku katika viongozi wengi wa CCM kuanzia Rais JK,Makamba n.k Ndio mwazo wa hotuba na kauli zisi na kichwa wala miguu.
Yanapotokea makosa haya wakati wote tunakimbilia kusema washauri wa Rais walimdanganya Rais.Katiaka hali ambapo MH.Rais viungo nilivyovitaja hapo juu havifanyikazi hata umtafutie washauri wa viwango vyovyote ni kazi bure.
Rais na viongozi wa namna hii ni miungu kwa mafisadi kwani ndio wanageuka kua ubongo wa viongozi hao na machungu kwa walalahoi ambao wanayapata machungu hayo kwa maamuzi ya kipuuzi.MUNGU IBARIKI TANZANIA
Hivi kweli mnafikiri Watanznaia hawajui haki zao?
The vision of our president is undefined, the nation has no direction anymore
This is the president we elected saying ni chaguo la Mungu
To agigate for change is the simplest of the tasks. Getting the appropriate replacement that meets the peoples' expectation is what constitutes your weakness in all your articles.To me, I wish the current TUCTA leadership would articulate very clear that NO MORE FIVE YEARS for Kikwete and his leadership! na kutoka hapa to mobilize the masses not to elect CCM