Kikwete aagiza Nyumba za Serikali zilizouzwa zirejeshwe

Wakati huo jk alikuwa jk haswa ila sijui alitishwa na nini akaipotezea nchi
 
Hahhahah ikaishia hewani
 
Nchi ya siasa za kisanii sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…