Elections 2010 Kikwete aahidi meli mbeya

Elections 2010 Kikwete aahidi meli mbeya

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Wakuu huyu Mzee sasa anelekea kubaya,MELI MBEYA,zitakuwa zinapita wapi sasa!!!!
Naskia wananchi wakashangilia CHADEMA OYEEEEEE.
Wakazi wa Mbeya mtujuze jamani
 
Ha ha ha...
In politics unaweza hata ahidi daraja pasipokuwa na mto.......
Politics is for loosers
 
wewe unasema huko mbeya wakati alianza kuhaidi kivuko kikubwa wilaya ya dodoma mjini eneo la kilimani baada ya kupitishwa kura za maoni?
 
ZIWA NYASA LiNAFIKA KYELA....NA KYELA IPO MBEYA...CHADEMA BWANA HATA JIOGRAFIA YA DARASA LA TATU....?msaada zaidi...?
 
Wakuu huyu Mzee sasa anelekea kubaya,MELI MBEYA,zitakuwa zinapita wapi sasa!!!!
Naskia wananchi wakashangilia CHADEMA OYEEEEEE.
Wakazi wa Mbeya mtujuze jamani

Next thing ataahidi Haloween Candies:becky:
 
Inawezekana watu wake walimwakikishia kuwa Mbeya kuna bahari na yeye akaamini bila kufikiria.
kumbe walimpotosha kama kawaida.
 
HUwa anaeleza atakavyovopata alivyoahudi?
 
Atakuwa amedanganywa tena na wasaidizi wake. Inawezekana walimwambia wananchi wa mbeya wanapata taabu sana wakitaka kwenda Sumbawanga maana barabara ni mbovu na mkuu akaona kama barabara ni mbaya basi atawaletea meli. Hahahahaaaa, kwani amepona ule ugonjwa??? Wenye kale kaugonjwa huwa wanaongea lolote. Dont take him serious
 
heeee hii kali,labda ziwa nyasa pale si imepakana na mbeya?hahaha
wanainchi wakashangilia "chadema oyeee?" hahaha
 
Naona wanachama wengi humu hatujui Jiografia, Mbeya kuna ziwa Nyasa ambalo linaambaa kutokea Kyela hadi Ruvuma na upande mwingine linapakana na nchi za Malawi na Msumbiji. kwa hiyo kama kaahidi meli ni kwa sababu hiyo maana alitoa ahadi hiyo akiwa mjini Kyela.
 
hata km kyela kuna ziwa nyasa lakini jamani.....unatoa ahadi ukiwa mbalizi badala ya kuwadanganya walioko kyela?...........
 
hata km kyela kuna ziwa nyasa lakini jamani.....unatoa ahadi ukiwa mbalizi badala ya kuwadanganya walioko kyela?...........

No, Alikuwa kyela not Mbalizi maana aliahidi wakati wa kuhitimisha awamu ya kwanza ya kampeni zake akiwa Kyela.
 
Wakuu huyu Mzee sasa anelekea kubaya,MELI MBEYA,zitakuwa zinapita wapi sasa!!!!
Naskia wananchi wakashangilia CHADEMA OYEEEEEE.
Wakazi wa Mbeya mtujuze jamani
Bado kidogo ataahidi atawapelekea bahari Mbeya ili waitumie kupandia meli.
 
Iwe kyela au Mbalizi Mbeya wanahitaji kukamilishiwa uwanja wa ndege hiyo meli itasaidia nini na wapi? Washauri wana mmiss lead na yeye uvivu wa kupitia kabla ya jukwaa, ana soma kama yalivyo, labda anatumia muda mwingi kujitibu!? Afya zake!
 
ZIWA NYASA LiNAFIKA KYELA....NA KYELA IPO MBEYA...CHADEMA BWANA HATA JIOGRAFIA YA DARASA LA TATU....?msaada zaidi...?

Kwa nini atolee hiyo ahadi Mbeya badala ya Kyela. Mbeya vilevile ni wilaya kama ilivyo Kyela. Kama unasema kwa kuwa Kyela ipo Mbeya, then kwa nini hiyo ahadi asiitolee Bukoba wakati anaahidi kununua Meli ziwa Victoria, kwa kuwa Bukoba iko Tanzania kama ilivyo Mbeya na Kyela.
 
Back
Top Bottom