Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZIWA NYASA LiNAFIKA KYELA....NA KYELA IPO MBEYA...CHADEMA BWANA HATA JIOGRAFIA YA DARASA LA TATU....?msaada zaidi...?
Ha ha ha...
In politics unaweza hata ahidi daraja pasipokuwa na mto.......
Politics is for loosers[/QUOTE]
Mzee wakati maprofesa wanakimbilia huko!
Wakuu huyu Mzee sasa anelekea kubaya,MELI MBEYA,zitakuwa zinapita wapi sasa!!!!
Naskia wananchi wakashangilia CHADEMA OYEEEEEE.
Wakazi wa Mbeya mtujuze jamani
Umekuona Malawai tuuuu, na Ruvuma? au hujui Mbamba Bay iko wapi?kwa hiyo anataka kuleta meli ipeleke watu malawi?
Umekuona Malawai tuuuu, na Ruvuma? au hujui Mbamba Bay iko wapi?
hata km kyela kuna ziwa nyasa lakini jamani.....unatoa ahadi ukiwa mbalizi badala ya kuwadanganya walioko kyela?...........
Bado kidogo ataahidi atawapelekea bahari Mbeya ili waitumie kupandia meli.Wakuu huyu Mzee sasa anelekea kubaya,MELI MBEYA,zitakuwa zinapita wapi sasa!!!!
Naskia wananchi wakashangilia CHADEMA OYEEEEEE.
Wakazi wa Mbeya mtujuze jamani
ZIWA NYASA LiNAFIKA KYELA....NA KYELA IPO MBEYA...CHADEMA BWANA HATA JIOGRAFIA YA DARASA LA TATU....?msaada zaidi...?