Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Cheki post yangu nishaimwaga apa kitambo
 
Sasa huo Udocta kaupata wapi wakati CV yake inaonyesha degree ya juu aliyonayo ni Masters?

 
CV yako inaonyesha huna exposure kubwa sana ila unajua sana banking operations....kazi kwako ku transform banks operation to the Full minister of Finance!!hata Mkulo walisema hivyo hivyo ingawa alishaboronga huko kote alokopita.......jitahidi kufuata weredi wa kazi yako!!!umalizie miaka 2.5 iliyobakia JK akapumzike zake!hongera zako!!
 
Kumchagua Abdalla Kigoda ni kuendeleza deal zilizoachwa zamani...huyu ana doa kiutendaji haswa kwenye mambo ya ubinafsishaji.....refer Mkapa's tenure.....huyu Kagoda aliwahi kufanya na kina Ngasongwa wakavurunda sana huko nyuma...wakiwa economic planning commitee.......hana sifa nzuri..nashangaa hili hawajaliona...Abdallah Omar Kigoda - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Dr. William Mginwa ...Kalenga ... anaonekana yupo fit .... sina resume yake
 
ANAITWA WILLIAM MGIMWA,ni mbunge wa jimbo la kalenga,mkoa wa iringa,hicho ninachofahamu,kuhusu cv yake siifahamu
 
Ni kujaribu kusubiri na kuuona utendaji wake kabla ya kumhukumu. Muda ukifika ndio utasema, kwani inawezekana wale tunaowaamini kuwapa dhamana wanaweza kuwa wabaya zaidi kuliko hawa waliopo. Siri na uadilifu wa mtu mara nyingi huwa moyoni mwake.
 
Pamoja na CV yake kuonyesha kuwa amebobea kweny masuala ya banking tu, lakini huyu jamaa ni mzuri sana kwenye masuala ya uchumi
 
PHD thesis yake ilihusu nini??
:israel:
 
hhahh anakuwa emergence atayeleta uzembe anapigwa kock then ye ana take over hahahha pata picha gari yake plate number itaitwaje duuuuu
OGG aka operation vua gamba vaa gwanda ina kasi
 
Hahahaha. Ndio voda fasta hiyo. In Tanzania life get better than this. Halafu hawa wabunge wa kuteuliwa ambao pia wameukwaa uwaziri wananza kazi mara moja tena bila ya kuapishwa kuwa wabunge kwanza?

Hapo kwenye red Mkuu kuna walakini!
 
Ama kweli Jk ni balaa yaani kila siku zinavyokwenda hakosi vijambo vya hapa na pale.
 
Tunakutakia kila lakheri Mwenyezi Mungu akutangulie akafanye yenye manufaa kwa watanzania na sii ubinafsi na kwa maslai ya walio wachache
 
Nilivosikia dr. William kabla ya kuwa mbunge wa kalenga alikuwa mkuu wa chuo cha bot uko mwanza, kwa iyo natumai ni mzuri sana katika masuala ya fedha,
 
No hope.

Kwa ma-academic cv ccm hawana mpinzani kwa sasa lakini angalia madudu yalivyoenea kila kona. Bado watanzania tuna tatizo kubwa la kutojua tunaumwa ugonjwa gani na pia dawa/tiba sahihi ni nini. Ugonjwa mkubwa ni CCM na serikali yake. Ukitambua hilo uko karibu sana na kupata tiba sahihi.

Baraza jipya la mawaziri ni kitu gani ikiwa mfumo na sheria ni zile zile? Sote twajua kuna watu walikuwa raia wazuri tu lakini system imewaharibu kupindukia. So plz retain your misplaced hope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…