Kikwete ahaha urais 2010


Kuchoka? kila mtu huwa ana choka lengo kuu ni kukamata dola! atashinda na zaidi ya asilimia 70%, Kwa maana wabongo mmezoea kundanganywa na peremende!
 

Kwenye nyeusi hapo juu, basi wewe mtoto mkiwa.teh teh teh
 
Duu
huo ushauri ktk nyeusi hapo naukumbuka, lakini kumbukumbu zangu zinaonyesha zilitolewa na ID tofauti na mwafrika.teh teh teh teh
Nirekebishe kama nimekosea.

Timu hii mkuu, they have the same motto, same agenda, same mind, same focus, mtu yeyote akisogea karibu yao ni vita. yaani ndiyo unagundua kabisa.

Yaani reaction ya wanachama wengi wa chadema sipati picha kabisa, iko so defencive, yaani wala hauamini. kuna mtu anaitwa sera ya majimbo na (wengine baadhi), Mnyika, Slaa wako so polite kupokea criticism na kujibu kikomavu. Hawa wengine naona kabisa kama akina Komba, twende ukaimbe mtwara yumo, twende kilosa yumo, twende kigoma yumo!

I dont see the problem ya kusema vyama vya siasa ni dhaifu mtu a-react mpaka kutoka povu.

so their comment zitakuwa zina recycle kila siku, kwa mtu yule yule.

Wewe mpaka mwana CCM damu FMES anaanzisha thread ya mbwembwe na kuwajoke wapinzani kuwa CCM will rule forever na kila argument unaona ina support ukweli huu, still mtu anasema mimi mpenzi wa chama fulani, inakuwa mtu anaenda kwa mwendo wa konokono akigusa tu kitu anabdaili njia, akiend huku na kuona barrier anageukia huku, we need breakthrough!!!
 
CCM wanavyosemwa wangekuwa ndiyo wewe mkuu sijui ungejitundika! mbona kuna wanachadema wanadharau post zangu na kuona ni mtu tu anayetoa maoni yake?

Tatizo lako ni kwamba unadhani kuwa una haki ya kutoa tu na sio kupokea pia. Yaani kuwa, wewe ndiye unatakiwa kushauri au kutoa maoni yako dhidi ya hao na wengine hawana cha kusema juu yako.

angalia sasa unapojiweka kwenye childish corner, kuwa ukimkosoa mtu basi inabidi uwe nafasi yake!

Childish? nasubiria tu ni muda gani utaanza rant za kikabila


Post zako zinajibiwa accordingly, usipopenda hilo basi unaweza tu kujinyonga.

BTW- chuki za kikabila sio hoja (kama ndicho unachomaanisha)

Inaonyesha una mengi unayoyajua kuhusu mimi, uwanja wa wazi huu wewe sema tu, kama unaona kuandika chochote inakupa raha!

Nafurahi unanipa title ya kuwa mimi ni CCM, wa CCM nao wananichukia kama wewe!

Wewe ni ccm kwani hilo nalo ni siri??


Dont hate the game, hate players .... ooopppsss nimechanganya madesa


Mimi nawewe mpaka kieleweke, kama unaona moto umezidi, unaweza kwenda amani forum na mwenyekiti wako JK


Unaweza kuweka kura za chadema kuanzia 95 hadi leo kisha ionekane kama zinapungua au kuongezeka?
 

Wewe waberoya usimkimbie Mwafrika kuja kwa ID ya Kubwajinga maana wewe thread yeyote itakayoanzishwa hata ikiwa ya tangazo la kifo lazima utaingiza neno kama si Chadema Mbowe au Slaa basi upinzani dhaifu siku hizi humtaji Zitto maana unajua alivyokufanya pale Daruso hadi kilindwa na FFU
 
Teh teh teh
tatizo umetoa ushauri neno kwa neno, teh teh na wakati huo huo unataja id za kumshauri Waberoya zinazosharabiana sana kimtizamo na kimawazo.teh teh teh

ni muono tu

Unless kama wengine wanaongea lugha tofauti! sioni bado mantiki ya ulichoandika. Kwamba ukitaka kumshauri waberoya aanzishe chama kingine, utatumia maneno gani tofauti ili uwe tofauti na wengine?
 
Kwenye nyeusi hapo juu, basi wewe mtoto mkiwa.teh teh teh

Kaka acha tu, nawapa hongera wale wanaokuwa na side na yet wanazipokea criticism! nao wana ji-criticise wao wenyewe!

Mkuu anasema nianzishe chama, yaani uki-differ tu na chadema we anzisha chama! CCJ nao sijui walikuwa wakosoaji wa chadema.

mwishowe vyama vya siasa vitajaa kama makanisa ya kwetu mbeya, kila nyumba kanisa, halafu mtu anaona is just okey!! tuwe na utitiri wa vyama. wananchi wanavidharau vyote!! na CCM wanaendelea kupeta

Mkamap kweli haumi ndugu yangu miaka minnne yoote watu tunapiga kelele ya ufisadi leo hii watu wanasema hawagombei urais, na ata wakigombea hakuna probability ya kushinda, leo Slaa akisimamishwa na Sofia Simba, sofia simba atakuwa rais still mtu anasema it is okey with that!
 
Timu hii mkuu, they have the same motto, same agenda, same mind, same focus, mtu yeyote akisogea karibu yao ni vita. yaani ndiyo unagundua kabisa.

Ni kweli ni vita hasa dhidi ya wanafiki wanaojifanya kuwa ni wapinzani kumbe ni mapandikizi tu ya ccm


Huwezi kuipata kwa vile wewe si mwenzao


Ulifurahia sana ulivyoona FMES kaandika kila unachokipenda... ha ha ha ha! daganya watoto wa mtaani mkuu ila sio wana JF.
 
Kaka acha tu, nawapa hongera wale wanaokuwa na side na yet wanazipokea criticism! nao wana ji-criticise wao wenyewe!

Mkuu anasema nianzishe chama, yaani uki-differ tu na chadema we anzisha chama! CCJ nao sijui walikuwa wakosoaji wa chadema.

Ni ushauri wa bure tu, anzisha chama chako ili uoneshe upinzani wa kweli (kama kweli unao) unavyotakiwa kuwa.

mwishowe vyama vya siasa vitajaa kama makanisa ya kwetu mbeya, kila nyumba kanisa, halafu mtu anaona is just okey!! tuwe na utitiri wa vyama. wananchi wanavidharau vyote!! na CCM wanaendelea kupeta

Kinakuumiza sana ukiona chadema haifi... kwa taarifa yako chadema itakuwepo for a long time!


Bado unarudi tu kwenye same play ... mbona wewe usigombee dhidi ya Sofia Simba ili ushinde?
 

Mimi kwa mtazamo wangu
Japo Lowasa ni mwizi ni bora agombee urais wakati huu 2010, hapo ndo tutaona kitimutimu cha siasa, na atakayekuwa rais atakuwa anaogopa mtindo wa kuachiana nafikiri utakoma.

Lakini wakisubiri kuachiana 2015 hakutakuwa na mapinduzi yoyote.

Mie hata na mshangaa Mangufuli ana pontential sijui anaogopa nini? yani uwaziri wa samaki ndo anaogopa eti akishindwa watamtema.Yeye kwenye jimbo lake uhakika wa ubunge upo na hata hivyo akishindwa wakamtupa aende kufundisha udsm si Dr? jamaa anaogopa ninii?

Hapa Magufuli ama Lowasa wajitupe uwanjani, hapo hakika sura ya siasa itabalika kabisa wanaogopa nini wakati kifimbo cha nyerere hakipo??
 

wewe Luteni kanali, afadhali umekuja mtu wangu, at least naweza kupumua unajua ku-argue na watu wenye mlengo mmoja ni vizuri zaidi.

Rudi nyuma( siyo hapo ulipokaa) angalia post yangu ya kwanza kabisa niliyopost kuweka mawazo yangu juu ya mwandishi,

Umeona neno chadema sehemu, na je ile post, nilipost kuilinda chadema na vyama vyote vya upinzani au kuviponda vyama vyote.

Let me rephrase

Luteni kwa mfano mtu akisema vyama vyote vya upinzani ni dhaifu wewe mwanachadema hii sentensi unaichukuliaje?? au inakugusa kwa kiasi gani?

Kubwa jinga atafurahi kuona unamfananisha na waberoya, na mimi nafurahi sana kama unaona ninafanana na Kubwa jinga! however what makes you to think that? will it be correct to saay Luteni = mwafrika?? kama siyo kwa nini? na kwa sababu hiyo kwa nini mimi nisiwe tofauti na Kubwa jinga?
 
Duu
huo ushauri ktk nyeusi hapo naukumbuka, lakini kumbukumbu zangu zinaonyesha zilitolewa na ID tofauti na mwafrika.teh teh teh teh
Nirekebishe kama nimekosea.

MkamaP nisalimie wapolo wote, mimi ndiye nilimshauri waberoya a.k.a Kubwajinga kama anaona vyama vyote vya upinzani nchin sasa vimefikia 20 havimfai aende sayari ya Mars maana NASS wamengundua maji huko anaweza kupata chama cha kufikiria anachokitamani kiwe au aanzishe chama chake cha Waberoya True and Real Party(WTRP).
 

Sasa haya makubwa, wengine tukijaribu kufanya hivyo tunapewa onyo kali na bani la server.
 

Vilio vya nini sasa! pamoja na uwaziri wote wa daruso bado unalia lia kaa kitoto kichanga!


ha ha ha ... hapa chichemi
 

Yaani unanifanisha mimi na Slaa?? LMAO!!

nilikupa assignment ya kuwa unipe sababu ya mimi kuingia chadema, hujaweza kuni-convince, nikija nitawasaidia sana, na nitaanza na kuwabadili watu kama wewe, wawe na mtazamo wa free thinking siyo kama akina Makamba. Najua haitakuwa rahisi lakini kwa sababu wewe ni ndugu yangu nitajaribu, sio rahisi inabidi kujitoa sana , na inategemea sana na wazee wa chama kama watanipa nafasi ya kuendesha semina, maana jamaa wale wana remote control.

wakisema pause una pause, wakisema runa una-run. sasa hivi sijui wamebonyeza function gani sijui ili mwafrika ujibizane na waberoya. na sijajua wanatumia remote gani, maana inaonekana iko very powerful!
 
Sasa haya makubwa, wengine tukijaribu kufanya hivyo tunapewa onyo kali na bani la server.

Tatizo huwa ni kwa sababu mko wengi kwenye hilo kundi hapo juu. Jaribu kufanya kazi pekee na sio kama timu. JF haipendi mamluki.. teh teh teh
 

LOL!

utakuwa katibu?

unafaa sana kwa kutetea hoja, vipi wazee wameku-recommend nafasi gani hapo Chadema?
 
Yaani unanifanisha mimi na Slaa?? LMAO!!

Slaa sio mnafiki.. usijaribu hata kujipa cheo usichokuwa nacho


Chadema haitaki watu wanafiki kama wewe. Thanks but no thanks!

wakisema pause una pause, wakisema runa una-run. sasa hivi sijui wamebonyeza function gani sijui ili mwafrika ujibizane na waberoya. na sijajua wanatumia remote gani, maana inaonekana iko very powerful!

mwafrika yuko kwenye mission kufukua mamluki wa ccm wanaojipendekeza hapa na kujivika vazi la upinzani. imekuwa tu bahati mbaya kwako kuwa wewe ndiye uko kwenye mwanga leo.
 

teh teh teh
mbona hapa mnanichanganya wajameni kama waziri Marmo vile
 

Duu ktk nyeusi hapo, duuuuu
na mimi je? mbona mie mamuluki wa chadema nikijidai ni ccm.ama vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…