Kikwete ahaha urais 2010

So far nadhani hata wewe umegundua kuwa haijaathiri chochote kile. Chadema bado ipo na haikusambaratika kama vile mlivyotegemea.

Next time inabidi mje na strategy nyingine (kama mnayo) maana hiyo ya ukabila imekufa kifo cha mende .... chaliiiiiiiii

Kweli itabidi kutafuta strategy nyingine kama usemavyo, kwa hiyo kulikuwa na uhusiano wa chadema na uchaga?

(assume mimi ccm)

kuwa CCM ni mafisadi kwa hiyo kwa sababu hakijasambaratika ,kwa sababu ya tuhuma ya mafisadi hivyo ni wasafi? na strategy za watu kuwaita CCM mafisadi zibadilike?
 
Nilikuwa nakuamini umeingia king kiasi hicho?

kwa hiyo umeamini kwa sababu Mwafrika amesema au umeamini kwa kutumia free will judgement?
 
Luteni uko wapi, umesoma post yangu ya mwanzo kwenye thread hii na kujua I had nothing with chadema as mwafrika depicted?

Yanayoongelewa hapa naona hayahusiani sana na thread hii ni mjumuisho wa threads na posts zako mbalimbali au unataka nilete link hapa ndipo ujue kuwa wewe unaichukia Chadema na chaga hater
 
Yanayoongelewa hapa naona hayahusiani sana na thread hii ni mjumuisho wa threads na posts zako mbalimbali au unataka nilete link hapa ndipo ujue kuwa wewe unaichukia Chadema na chaga hater

Leta link

why imekuchukua muda mrefu kudeclare mimi nina wachukia chadema? mbona imekuchukua muda mrefu kujua hivyo kwa nini, na kwa nini imekuchukua masaa kumuamini Mwafrika?
 
Katika harakati za kuzuia upinzani dhidi ya Rais Kikwete, mtabiri maarufu nchini Sheikh Yahya Hussein wa Dar es Salaam naye alijitumbukiza ulingoni kwa kutabiri vifo kwa ambao wangejitokeza.

hapa wapinzani mnasemaje hamtagombea kwa kuogopa kufa???hv inakuweje nchi iamini mazingaombwe na miujiza??kwa mtindo huu hatuta fika tutaishia kulogana tu!
 
Nyie CCM ndio mlijaribu kukihusisha Chadema na Uchaga lakini mkashindwa
 
Nyie CCM ndio mlijaribu kukihusisha Chadema na Uchaga lakini mkashindwa

aha! aha! ha! ha! Luteni kwa sababu unagawa vyama naomba chama kingine tafadhali siyo CCM, nipe kingine chochote kile ila CCM sitaki. Nilikuuliza unatuma post hizi kwa free willl?

nasubiri link!!
 
Nilikuwa nakuamini umeingia king kiasi hicho?

kwa hiyo umeamini kwa sababu Mwafrika amesema au umeamini kwa kutumia free will judgement?

1 + 1 = 2 pamoja na yaliyosemwa na Mwafrika na nilivyokuona kumbe wewe ni mnafiki kiasi hichi LOL!
 
Leta link

why imekuchukua muda mrefu kudeclare mimi nina wachukia chadema? mbona imekuchukua muda mrefu kujua hivyo kwa nini, na kwa nini imekuchukua masaa kumuamini Mwafrika?

wala haikunichukua muda mrefu angali posts zangu zilizokujibu si leo wala za jana
 
1 + 1 = 2 pamoja na yaliyosemwa na Mwafrika na nilivyokuona kumbe wewe ni mnafiki kiasi hichi LOL!

Luteni umeshakuwa mkubwa, mkuu umeshindwa kutoa link unakimbilia kusema mnafiki! kwa sababu mwafrika amesema??

Post yangu ya kwanza kwenye thread hii, je niliandika kitu kinachohusiana na chadema? kuna watu wataisoma ile post na (POST NUMBER 4) halafu wataona nani ni mnafiki kati yangu wewe na mimi.

Ulichofanya hapa umekuwa copied na kuwa pasted kwenye folder usilotaka, najaribu kukufungua haufunguki, mimi sitakusaidia.

Kama kwa upeo wako ukimwita mtu mnafiki ndio anakuwa mnafiki well done! say it again and again, kumbe naweza kusema lolote kwako wewe na likawa kwasababu nimesema au kuandika!

So in future are you ready to reply the post zinazotoka kwa mnafiki? maana ulichosema nimemwambia na ndugu yako kuwa wote humu JF wanajua kuwa mimi mnafiki, ulikuwa wapi kusema siku zote hizi, YES leo umejua mimi mnafiki, so what!

unataka kusemaje kunifukuza JF au kujiridhisha!

Nimekumbuka

nataka link ulizoahidi........
 
wala haikunichukua muda mrefu angali posts zangu zilizokujibu si leo wala za jana

nataka link, weka hapa thibitishia umma, kuwa ulisema na kujua mimi mnafiki kwa sababu naikosoa chadema,

sasa post ulipost mwenyewe usizikumbuke tena?
 
Hakuna kufukuzwa mtu hapa ila kila unapokuja na post ya kinafiki popote humuJF unapata kilicho saizi yake
 
Hakuna kufukuzwa mtu hapa ila kila unapokuja na post ya kinafiki popote humuJF unapata kilicho saizi yake

addiction!!, mkuu Luteni ndiyo maana watu wanashauri kuwa free thinker na kujibu hoja, ili naona limekuchachia.

wewe kuniita mimi mnafiki hakuniharibii chochote mimi, kwa sababu wewe nikikuita mwanamke hakukubadilishi.

Kumbuka tuna ID zisizo halisi, sura hatujuani what makes you to think kuwa ukisema kitu basi huyo mtu anaona aibu?

wewe umesoma post number 4, umeona ukweli umechagua side ya Mwafrika kwa mbwembwe umesema link zipo, nimekubembeleza weee unipe hizo link, haujazileta. sijajua nani mwenye tatizo ni Mwafrika , wewe au mimi

Mwafrika na mimi tulikuwa tunaenda vizuri umeparamia gari kwa mbele sasa una haha, as if Luteni akisema waberoya mnafiki watu woooote na akili zao watakuunga mkono!!! unachekesha sana unaona watu hawana akili humu, nani sasa anadhalilika hapa wewe uliyesema unauthibitisho au nani? sitaki kabisa kukuweka kwenye kundi la wale 70% sitaki , narudia sitaki! onyesha chuki zangu kwa chadema! Ila be careful ukisema lililo la kweli utakuwa unajiweka pabaya tena kutetea jambo kama halitakiwi kuwa hivyo!

lets make a deal?

unaonaje katika maisha yako yoote ukiona post yangu ujue ya mnafiki, unasemaje??

na unaonaje usijibu kwa sababu umeshatangaza na kila mtu anajua mimi ni mnafiki?

Luteni anatoa size ya kila mtu humu, kuna member sijui wana nguvu gani
 
Yanayoongelewa hapa naona hayahusiani sana na thread hii ni mjumuisho wa threads na posts zako mbalimbali au unataka nilete link hapa ndipo ujue kuwa wewe unaichukia Chadema na chaga hater

Nimewasubiri weee sijui ndio mnatafuta link hizo

Luteni tuna kazi na post zilizotukuka humu , nata kama sitaweza kuhesabika kati ya giants walio ni inspire lakini huu ndio msimamo wangu ,

soma post niliyoandika juu ya CCM, na uone msimamo wangu juu ya CCM, huwa nasema 'CCM wote wachafu' this is my believe and I will stand here

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/25832-mkutano-wa-mwakyembe-na-hoja-za-mgongano-wa-maslahi-77.html

endelea kusoma hiyo thread huoni input za wengine?

Uone my 'global' thinking ya nchi yetu

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41450-shibuda-apania-kugombea-dhidi-ya-jk-ccm-7.html#post743285

https://www.jamiiforums.com/314345-post63.html

msimamo wangu kwa JK

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41726-mhe-rais-vunja-baraza-na-bunge-7.html#post627249

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/5150-kikwete-afanye-nini-kuuokoa-urais-wake-8.html#post625691

Sitaki kukuonyesha maugomvi kati yangu na wan CCM simply kwa sababu ya kutumia neno 'CCM wote mafisadi' sitaki kuzileta hizo thread, sijaona lolote hapa, tena Luteni na Mwafrika mna lugha nzuri kabisa ya debate, kuna watu wanatukana humu

Sijaweka hizo link kukuthibitishia, ila kukuonyesha swala la kuamini liko kwako mwenyewe.Ninachowaza na kuamini ni kuwa hatuna vyama vizuri vya upinzani, hivyo CCM hatatoka madarakani kirahisi. Kukosoa na kushauri ni sehemu ya forums, dont take it personal

Nimeisifia chadema pia!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/54144-chadema-yaitisha-maandamano-musoma.html

nimekiponda pia

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41452-chadema-chama-cha-kizazi-kijacho-2.html#post620542

sikusahau sera ya nyumba tano tano kwa chadema kama is the one of tools ya kusaidia kuindoa CCM, nmequestion mara nyingi sera hii inakuw aimpleted kiasi gani

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/44148-chadema-imefanya-nini-kustahili-dhamana-ya-uongozi-wa-taifa-15.html

na hii thread sikuanzisha mimi ili ujue sura ya chadema haionekani jinsi ninavyoina mimi, wengi wana mawazo yao. Kubwa ni kuwa kuna watu potential lakini haisaidii kitu

Hii ni kukukuonyesha mawazo yangu na ideology yangu iko wapi, kwa hali ya sasa sitaweza kusema tuna upinzani nchini, wala sitajidanganya kwenye huo mtego, ila niko tayari kufanya lolote liwe nifanyike sehemu ya kuujenga.Rather nimekuwa nikisema kuwa Chadema wakichukua ushauri humu JF na kuufanyia kazi they will go far!

Yote haya nisema ili kukuonyesha ideology yangu na sitarudi kwenye thread hii maana imekuwa unproductive,

Ila una uhuru wa kusema, kuandika, kuwaza, kukosoa , kushauri, na kufanya lolote lile ambalo moyo wako utafurahia kuwa umemkomoa waberoya. I told you earlier ideology zangu ndizo zinazonifanya niwe mimi!!

Nina post zaidi ya 2000 huo ni mfano wa kukuonyseha naamini nini, haya yamewekwa kwa ufupi ili wale watakaosoma hii post waamini kuwa waberoya ana ideology gani, yakeo mengi aliyiyaandika waberoya lakini kama yange liandikwa hapa muda na nafasi isingetosha kumuaminisha Luteni kuwa nina amini nini!

Neno la hekima

''don't mind criticism. If it is untrue, disregard it; if unfair, keep from irritation; if it is ignorant, smile; if it is justified it is not criticism, learn from it''

See you (Luteni n' Mwafrika) in other threads

Ndimi mimi mnafiki

waberoya
 
Waberoya unauliza nimejuaje kuwa wewe ni nafiki soma posts hizi hasa kwenye bold na red

Vilio vya nini sasa! pamoja na uwaziri wote wa daruso bado unalia lia kaa kitoto kichanga!

ha ha ha ... hapa chichemi

Mnafiki hawezi kusema ukweli... kwa sababu hakuna ukweli kwenye unafiki (to begin with).

Unaweza kuwaomba msamaha wachaga wote uliowatusi na kuwaonyesha chuki kubwa hapa jamvini. Hayo ya uchaga na chadema nikuulize wewe uliyeyaleta kipindi kile

sijasahu kuwa wewe ni mnafiki. ni kazi yangu hapa jf kukuumbua kila mara unapoleta unafiki wako kwa muda mrefu sana ujao. Wasomaji wote watakuwa wanakumbushwa unafiki wako na chuki zako zilizokubuhu dhidi ya wachaga

Baada ya kusoma kumbuka uliniuliza nikakupa post ya hapa chini

1 + 1 = 2 pamoja na yaliyosemwa na Mwafrika na nilivyokuona kumbe wewe ni mnafiki kiasi hichi LOL!
 
Nimewasubiri weee sijui ndio mnatafuta link hizo, dont worry leave that task for now!

Luteni tuna kazi na post zilizotukuka humu , nata kama sitaweza kuhesabika kati ya giants walio ni inspire lakini huu ndio msimamo wangu ,

soma post niliyoandika juu ya CCM, na uone msimamo wangu juu ya CCM, huwa nasema 'CCM wote wachafu' this is my believe and I will stand here

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/25832-mkutano-wa-mwakyembe-na-hoja-za-mgongano-wa-maslahi-77.html

endelea kusoma hiyo thread huoni input za wengine?

Uone my 'global' thinking ya nchi yetu

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41450-shibuda-apania-kugombea-dhidi-ya-jk-ccm-7.html#post743285

https://www.jamiiforums.com/314345-post63.html

msimamo wangu kwa JK

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41726-mhe-rais-vunja-baraza-na-bunge-7.html#post627249

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/5150-kikwete-afanye-nini-kuuokoa-urais-wake-8.html#post625691

Sitaki kukuonyesha maugomvi kati yangu na wan CCM simply kwa sababu ya kutumia neno 'CCM wote mafisadi' sitaki kuzileta hizo thread, sijaona lolote hapa, tena Luteni na Mwafrika mna lugha nzuri kabisa ya debate, kuna watu wanatukana humu

Sijaweka hizo link kukuthibitishia, ila kukuonyesha swala la kuamini liko kwako mwenyewe.Ninachowaza na kuamini ni kuwa hatuna vyama vizuri vya upinzani, hivyo CCM hatatoka madarakani kirahisi. Kukosoa na kushauri ni sehemu ya forums, dont take it personal

Nimeisifia chadema pia!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/54144-chadema-yaitisha-maandamano-musoma.html

nimekiponda pia

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41452-chadema-chama-cha-kizazi-kijacho-2.html#post620542

sikusahau sera ya nyumba tano tano kwa chadema kama is the one of tools ya kusaidia kuindoa CCM, nmequestion mara nyingi sera hii inakuw aimpleted kiasi gani

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/44148-chadema-imefanya-nini-kustahili-dhamana-ya-uongozi-wa-taifa-15.html

na hii thread sikuanzisha mimi ili ujue sura ya chadema haionekani jinsi ninavyoina mimi, wengi wana mawazo yao. Kubwa ni kuwa kuna watu potential lakini haisaidii kitu

Hii ni kukukuonyesha mawazo yangu na ideology yangu iko wapi, kwa hali ya sasa sitaweza kusema tuna upinzani nchini, wala sitajidanganya kwenye huo mtego, ila niko tayari kufanya lolote liwe nifanyike sehemu ya kuujenga.Rather nimekuwa nikisema kuwa Chadema wakichukua ushauri humu JF na kuufanyia kazi they will go far!

Yote haya nisema ili kukuonyesha ideology yangu na sitarudi kwenye thread hii maana imekuwa unproductive,

Ila una uhuru wa kusema, kuandika, kuwaza, kukosoa , kushauri, na kufanya lolote lile ambalo moyo wako utafurahia kuwa umemkomoa waberoya. I told you earlier ideology zangu ndizo zinazonifanya niwe mimi!!

Nina post zaidi ya 2000 huo ni mfano wa kukuonyseha naamini nini, haya yamewekwa kwa ufupi ili wale watakaosoma hii post waamini kuwa waberoya ana ideology gani, yakeo mengi aliyiyaandika waberoya lakini kama yange liandikwa hapa muda na nafasi isingetosha kumuaminisha Luteni kuwa nina amini nini!

Neno la hekima

''don't mind criticism. If it is untrue, disregard it; if unfair, keep from irritation; if it is ignorant, smile; if it is justified it is not criticism, learn from it''

See you (Luteni n' Mwafrika) in other threads

Ndimi mimi mnafiki

waberoya

Baada ya kusoma kumbuka uliniuliza nikakupa post ya hapa chini[/QUOTE]
 
Nafikiri nimeshajibu kwanini nakuita mnafiki sitajibu tena swali hili ukitaka zaidi muulize Mwafrika
sasa nitajibu post hii hasa kwenye red
Kwa vile unatumia ID zisizo halisi ndiyo maana huoni aibu kubwabwaja jua aibu ya JF si ya sura tunaangalia mawazo yako yalivyo aibu iko kwenye akili zaidi ya sura
Sijachagua side ya Mwafrika ila nimechagua ku react zaidi kwenye mawazo yako
Eti najiweka pabaya kwa nani, mimi si wale wanaCCM wenzako wanaokula kwa kutegemea chama na kutetemekea chama
Ni haki yangu kujibu post yeyote humu ikiwepo yako kulingana na utakavyoitoa kama ninavyofanya sasa
 
Watu wanasahau kwamba siasa ni mchezo wa hesabu za mafumbo. Pia Urais ni TAASISI na wala sio mtu. Kama kuna wa kulaumiwa kwa kutotimiza ahadi ambazo kiongozi wa taasisi hiyo alitaja wakati anagombea ni hadidu rejea za taasisi hiyo ambazo mara mkuu wake akipatikana anafungwa nazo katika utendaji wake. Si ajabu kwamba JK alipokuwa anaahidi alikuwas very serious, lakini alipopata kiti akakutana na vikwazo vyenye miongozo ya kufuatwa katika nafasi hiyo, ambavyo akitaka kuwa mwaminifu wa utumishi wake ni lazima aishi kwa kigugumizi.

Ni rahisi kuyaona makosa ya mchezaji ilhali wewe ni mtazamaji, ukiingia kucheza wewe mwenyewe utashangaa pengine kuwa mchezaji mbaya zaidi kuliko aliyekuepukia nafasi hiyo. Kwani alipokuwa anatoa ahadi alisema atafanya kama Rais au kama JK? Tanzania itaona mabadiliko pale tu katiba nzima ikiundwa upya na wajibu wa kila kiongozi na risk zake zikiainishwa bayana. Vinginevyo ni mtindo wa danganya toto milele hadi Yesu atakaporudi tena (soma KIAMA kwa wengine).

After all, kwa misingi niliyoitaja hapo juu ya viongozi wetu Tanzania, Kipindi cha urais ni MIAKA KUMI (soma miaka mitano) in practical terms. Tunapoambiwa miaka MITANO ni kiini macho ambacho wafadhili wanapenda kusikiliza. Ikiwezekana kwa Afrika kipindi hicho ni MIAKA MILELE (angalia Uganda na Libya, ilitaka kuwa hivyo Malawi, nk). Kwa mtu aliyefaulu hesabu za siasa kwa uhalali shuleni, ni lazima atatambua kwamba kipindi hiki 2010 sio cha kujitosa kupoteza fedha zako kugombea urais, kwani uwezekano wako wa kupata ugombeacho is negligible if any. Hata wananchi wa kawaida wanaelewa hilo. Anayeweza kupambana na JK ni JKN tu! labda na Ruksa akifuatiwa na Nkapa. Hao nao wanapewa nafasi finyu kwa sababu wataambulia kuambiwa wamwache mwenzao naye amalize kipindi "chake" ndipo wakitaka waje. JKN yeye ni wazi anaweza kuingia kipindi chochote na akapata, kwa sababu baba anaweza kuwa na nafasi kubwa kurekebisha nyumba iliyopasuka pale alipoona wanae wote watatu wamekwama. Lakini pia JKN anapewa nafasi hiyo zaidi kwa sababu anajulikana sio tishio tena kwa JK kwa kuwa ubavu huo kwa sasa hana, kwani hayupo na haruhusiwi kurudi sasa hivi.

Kwa hiyo, sio kweli kwamba wapinzani wa JK wanamtengenezea njia ya TRUE or FALSE jamaa yao, bali kwa uelewa wa hesabu za harakaharaka za kisiasa jawabu rahisi ni kukaa pembeni hadi 2015 ambapo hata JK atalazimika kukaa pembeni ili wapiganaji wapya kutoka kila kona watakuwa na nguvu karibia sawa kwa sura zao mbele ya watambuzi.
 
Acheni wasimpinge lakini waingie Jengoni wakawashe moto.. Kule ndio wanaweza mbana jamaa vizuri angalau kuleta balance flani (japokuwa hawatokuwa na majority but the voice ya upinzani itakuwa sana) kuliko kina mbatia ambao huwa wakishashindwa elections hatuwaskii tena miaka 5. Freeman alimuibia kura Lema wakatiule Hai akashinda ndio ikodgo ikempa boost, baada ya campaign yake ya helikopta akafulia tena...Bunge is what makes the puplic know you and gives u a chance to actually serve the people rather than kupiga kelele na kutaka kuwa Rais with little or on track record in public service.. Hawa watu wako slow, why did it take them 10-15 years to realize the best way to do this? Walikua wanataka hizo hela za vyama za uchaguzi kina Mbowe,Mbatia ,Lipumba all these people... Mediocre outlook ndio shida yao. Full Njaa. Angalau sasa wana amka amka kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…