Nimewasubiri weee sijui ndio mnatafuta link hizo, dont worry leave that task for now!
Luteni tuna kazi na post zilizotukuka humu , nata kama sitaweza kuhesabika kati ya giants walio ni inspire lakini huu ndio msimamo wangu ,
soma post niliyoandika juu ya CCM, na uone msimamo wangu juu ya CCM, huwa nasema 'CCM wote wachafu' this is my believe and I will stand here
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/25832-mkutano-wa-mwakyembe-na-hoja-za-mgongano-wa-maslahi-77.html
endelea kusoma hiyo thread huoni input za wengine?
Uone my 'global' thinking ya nchi yetu
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41450-shibuda-apania-kugombea-dhidi-ya-jk-ccm-7.html#post743285
https://www.jamiiforums.com/314345-post63.html
msimamo wangu kwa JK
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41726-mhe-rais-vunja-baraza-na-bunge-7.html#post627249
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/5150-kikwete-afanye-nini-kuuokoa-urais-wake-8.html#post625691
Sitaki kukuonyesha maugomvi kati yangu na wan CCM simply kwa sababu ya kutumia neno 'CCM wote mafisadi' sitaki kuzileta hizo thread, sijaona lolote hapa, tena Luteni na Mwafrika mna lugha nzuri kabisa ya debate, kuna watu wanatukana humu
Sijaweka hizo link kukuthibitishia, ila kukuonyesha swala la kuamini liko kwako mwenyewe.Ninachowaza na kuamini ni kuwa hatuna vyama vizuri vya upinzani, hivyo CCM hatatoka madarakani kirahisi. Kukosoa na kushauri ni sehemu ya forums, dont take it personal
Nimeisifia chadema pia!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/54144-chadema-yaitisha-maandamano-musoma.html
nimekiponda pia
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41452-chadema-chama-cha-kizazi-kijacho-2.html#post620542
sikusahau sera ya nyumba tano tano kwa chadema kama is the one of tools ya kusaidia kuindoa CCM, nmequestion mara nyingi sera hii inakuw aimpleted kiasi gani
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/44148-chadema-imefanya-nini-kustahili-dhamana-ya-uongozi-wa-taifa-15.html
na hii thread sikuanzisha mimi ili ujue sura ya chadema haionekani jinsi ninavyoina mimi, wengi wana mawazo yao. Kubwa ni kuwa kuna watu potential lakini haisaidii kitu
Hii ni kukukuonyesha mawazo yangu na ideology yangu iko wapi, kwa hali ya sasa sitaweza kusema tuna upinzani nchini, wala sitajidanganya kwenye huo mtego, ila niko tayari kufanya lolote liwe nifanyike sehemu ya kuujenga.Rather nimekuwa nikisema kuwa Chadema wakichukua ushauri humu JF na kuufanyia kazi they will go far!
Yote haya nisema ili kukuonyesha ideology yangu na sitarudi kwenye thread hii maana imekuwa unproductive,
Ila una uhuru wa kusema, kuandika, kuwaza, kukosoa , kushauri, na kufanya lolote lile ambalo moyo wako utafurahia kuwa umemkomoa waberoya. I told you earlier ideology zangu ndizo zinazonifanya niwe mimi!!
Nina post zaidi ya 2000 huo ni mfano wa kukuonyseha naamini nini, haya yamewekwa kwa ufupi ili wale watakaosoma hii post waamini kuwa waberoya ana ideology gani, yakeo mengi aliyiyaandika waberoya lakini kama yange liandikwa hapa muda na nafasi isingetosha kumuaminisha Luteni kuwa nina amini nini!
Neno la hekima
''don't mind criticism. If it is untrue, disregard it; if unfair, keep from irritation; if it is ignorant, smile; if it is justified it is not criticism, learn from it''
See you (Luteni n' Mwafrika) in other threads
Ndimi mimi mnafiki
waberoya
Baada ya kusoma kumbuka uliniuliza nikakupa post ya hapa chini[/QUOTE]