nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,924
- 1,334
Kikwete ni debe Tupu haliachi kutima, hana jipya, yeye mwenyewe alishinda kwa Rushwa ya kuhonga Tshirt, pilau, na hata pesa Taslimu, kwani kasahau mtandao wake ulifanya nini dhidi ya wagombea wenzake.
Anahubiri yale asiyoweza kutimiza wala kuyasimamia.....kawashindwa wala Rushwa wakubwa ndani ya CCM na baraza la mawaziri, leo anataka kutuhubiria amani.
Anahubiri yale asiyoweza kutimiza wala kuyasimamia.....kawashindwa wala Rushwa wakubwa ndani ya CCM na baraza la mawaziri, leo anataka kutuhubiria amani.