BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 397
- 445
Aendelea kuwakumbusha Wananchi wa Chalinze kuchangamkia mikopo inayoendelea kutolewa na Halmashauri hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Mei 24, 2025 amekabidhi gari kwa kikundi cha Wajasiriamali cha Mshikamano kutoka Kata ya Mandera Kijiji Hondogo.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika Halmashauri ya Chalinze ikiwa ni utekelezaji wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu kwa mwaka huu 2024/2025.
Aidha Kikwete amekipongeza kikundi hicho kwa kuwa waaminifu kwani mkopo wa kwanza walirejesha huku akitoa wito kwa wananchi wenye vigezo waombe ili wapatiwe mikopo hiyo kujikimu katika shughuli zao za uzalishaji.