SPINNING?GIVE ME A BREAK!KWANINI ASINGESUBIRI HIYO MIEZI SITA KABLA AJASEMA BALALI NI MWIZI?ANASUBIRI NINI NDANI YA HIYO MIEZI SITA ILI KUMHOJI BALALI KUHUSU TUHUMA HIZO?AMA AMEFANYA MAKOSA KUMFUKUZA BALALI KABLA YA KUFANYA UCHUINGUZI?NANI ANASPIN HAPO?SERIKALI YAKE AMBAYO MAREKANI IMESEMA HAJAKUBALIANA NAO KUMRUDISHA BALALI AMA MIMI NINAYETOA HOJA YENYE NGUVU?MTANZANIA WEWE NI MZALENDO KWELI?AMA JINA TU?
NaNafadhaishwa sana na haka katabia ka kujifanya marais hata kama huo ujumbe wa nyumba kumi wa CCM au Chadema hamnao!!!
Huyu ndg yetu Mushi anataka sisi tuwe wajinga ktk kuamini eti Urais ni shughuli ya Kitchen party ambapo kila mtu ni msemaji kiongozi!!!! Huu ni uhuni na ninadhani JF isimame imara ktk kulinda misingi yake ya uhuru na haki pasipo kukwepa wajibu ya yale yote yatokanayo na wana JF.
Yeye kama Rais (JK)amefanya lake kwa mujibu wa muongozo wa kiutendaji,tumeuona msimamo wake sasa iweje Katibu tarafa Mushi aanze kuwa msemaji wa Bi Condy Rice kwa kumhukumu rais wetu?!!
Ktk hali yoyote ile ni lazima kila upande ujiridhishe ili kuhakikisha haki yatendeka.
Mwana Halisi leo wanasema on behalf of Mkapa na kutuaminisha Mkapa atajitokeza ktk kujibu tuhuma dhidi yake hasa za BOT!!!!
Lakini kichwa cha habari na habari iliyomo ni vitu tofauti, why WaTZ tunakuwa hivi.
Sipendi kuona JF inajibebesha wasifu wa Ufisadi,Huba na Chuki kwa njia ya electronic kama tuyaonavyo magazeti yetu siku hizi,wanatuibia vijihela vya kabichi kwa kutupa gossip,maoni yao na matajiri wao au wakubwa wao.
Mushi ktk hili uitake radhi Tz.