Kikwete Akataa Balali Asiletwe!



NaNafadhaishwa sana na haka katabia ka kujifanya marais hata kama huo ujumbe wa nyumba kumi wa CCM au Chadema hamnao!!!

Huyu ndg yetu Mushi anataka sisi tuwe wajinga ktk kuamini eti Urais ni shughuli ya Kitchen party ambapo kila mtu ni msemaji kiongozi!!!! Huu ni uhuni na ninadhani JF isimame imara ktk kulinda misingi yake ya uhuru na haki pasipo kukwepa wajibu ya yale yote yatokanayo na wana JF.

Yeye kama Rais (JK)amefanya lake kwa mujibu wa muongozo wa kiutendaji,tumeuona msimamo wake sasa iweje Katibu tarafa Mushi aanze kuwa msemaji wa Bi Condy Rice kwa kumhukumu rais wetu?!!

Ktk hali yoyote ile ni lazima kila upande ujiridhishe ili kuhakikisha haki yatendeka.

Mwana Halisi leo wanasema on behalf of Mkapa na kutuaminisha Mkapa atajitokeza ktk kujibu tuhuma dhidi yake hasa za BOT!!!!

Lakini kichwa cha habari na habari iliyomo ni vitu tofauti, why WaTZ tunakuwa hivi.

Sipendi kuona JF inajibebesha wasifu wa Ufisadi,Huba na Chuki kwa njia ya electronic kama tuyaonavyo magazeti yetu siku hizi,wanatuibia vijihela vya kabichi kwa kutupa gossip,maoni yao na matajiri wao au wakubwa wao.

Mushi ktk hili uitake radhi Tz.
 
nashukuru kwa kunipa cheo cha ukatibu tarafa.ila radhi siombi!

Yani mafisadi wasiniombe radhi kwa kuchukua fedha zetu halafu wewe unataka mi ndo niombe radhi!are you serious?

Ukinijibu hili swali then nitaomba radhi!kwa waliosoma..serikali ina vitabu vyake vya fedha "account" sasa kama walishindwa kusoma kuona kuwa pesa zinazotolewa kwa makampuni zinatoka kwenye akaunti ya madeni ya nje..walifanya nini kuzuia?

Haya mambo ni simple na usiniletee mambo ya kitchen party hapa!we unaona kabisa hii akaunti ni ya madeni..halafu unapewa barua ya pesa kutolewa ambayo haiendi kulipa hayo madeni..badala yake inakwenda kwenye makampuni ambayo mengine ni hewa!

Sasa uchunguzi hapo ni wanini?kwanini meghji asiulizwe ilikuwaje akaona pesa zinapewa watu binafsi na makampuni badala ya madeni?

Kutokana na utata huo, aliamua kuandika barua na kusema sheria za nchi zilifuatwa..ni baada ya kujua kuwa kuna obvious fund misallocation!

Then akaandika barua ya pili baada ya kujua mambo ni mbaya!tena nobody is sure kuwa ni kweli aliandika hiyo barua kwa muda aliosema! Inawezekana ilighushiwa ili kujisafisha..

Sasa wananchi wanulizwa..balali na meghji wanapeta..au unafikiri hata kam mimi ni katibu tarafa ndo mjinga kiasi hicho?
 
Mimi nitasoma tu sitasema kwa sasa. Muda utafika nitasema .JK na jambo hili hawamalizani mapema maana ndiyo kwanza lina anza
 
Keep dreaming kwa kuwa wewe una bei ya kununuliwa unadhani wote tupo hivyo? Kama upo positive endelea kuishi kwa matumaini Mungu atakusaidia kuugua sio kufa...
wewe ndio unaonyesha una bei..unamfagilia Kikwete wakati pesa hatujajua kama zitarudishwa na mafisadi kama watahojiwa na kufunguliwa mashtaka?Sasa unataka mimi niamini vipi?Ni wazi pesa zilizotolewa ni nyingi..na mtiririko wake ni mkubwa!Inawezekana umeguswa na mtiririko huo wa ufisadi kwa namna moja ma nyingine!Kuna makampuni mengi tu ya watu ambao nawafahamu na ni marafiki!Lakini hiyo si sababu ya mimi kuziba mdomo.Na usiniambie nanmna ya kushi!Jiombe Mungu wewe mwenyewe na watu unaowatetea kwenye ufisadi kwani mwisho wenu uko karibu!
 

See what I meant? prestigious forum has been brought down to the level of discussing udaku, personal abuse and name calling.

I know logic will be slightly advance to u, but some one who cant even type and punctuate can have friends who own the dubious companies connected to BOT scam neva click in any sound mind.

Ur either sarcastic or plain idiot, kindly take ur pick....
 
Kitila ukiona mimi nina kaa kimya kwenye mada ujue nime smell kitu . Sasa mimi naangalia japokuwa my seriority has been questioned .Lakini I will keeo my mouth shut .
 
What the F.........k is this!

Sisi sio watoto, naona kuna members ambao wanatakiwa wachangie Darhotwire tu!

Moderators naomba hii spin iunganishwe na topic halisi

FD, with all due repsect mkuu, unamaanisha wanaochangia darhotwire ni watoto, in which sense mkuu? Inawezekana zikawa na malengo tofauti, lakini si watu pia wana uhuru wa kuchangia wanapoona panawafaa (ndio maana hata hapa pana sehemu ya udaku...mbona hukumwelekeza huko?) Nadhani ungeweza kutumia mfano mwingine bila kuhusisha forum hizi mbili ambazo naamini kabisa watu wanachangia kwa malengo tofauti na SI LAZIMA wawe watoto.
 
Hizi SPIN zingine hatari kabisa, kwanini mumwekee JK mdomoni maneno ambayo hajayhasema?

Subiri hiyo miezi yake sita na akishindwa basi tumhukumu, vinginevyo heading kama hiyo ambayo haina ukweli wowote inaitwa SPINNING.

I dont think is that how a serious leader should be. Gavana katuhumiwa kuiba mabilioni. akaondoelwa katika kazi na yuko nje ya nchi, watanzania tusubiri miezi 6!!!! ina maana tume iliyoundwa itabidi isafiri kwenda USA ili kumhoji balali mzamiaji akiwa huko. Haingii akilini. Balali wa suppose to be in this country long time ago. Maan ndiye kitovu cha allegations zote. tutafungua macho lini? as Isaod earlier is a delaying tactic ili Balali ajiapnge upya na also mnkari na moto wa TZ kushuka chini then yanaishia hapo kia aina!!!! Keep this one you 'll one day remember this.
 
Kikwete is no longer dealing with BOT saga as he has delegated the matter to Mwanyika (AG), Mwema (IGP) and Hosea (TAKUKURU). Seemingly, he is now aside of the saga until the six months elapse. My God! Will investigations take that long. Is there much difference between audit and investigation?
 
On a serious note...hii thread inataka nini? Au ni JF version ya "Uwazi"?
 
Nadhani pamoja na uchungu, uzalendo, uwajibikaji ningeshauri tuwe sensible na kuweza kusema ukweli pale unapostahili. Hii issue ya kusema Kikwete kakataa Balali asirudishwe wakati ambapo ukisoma habari yenyewe hakuna hata inference ya hilo jambo, huo ndio UDAKU/GOSSIP. We are going to loose credibility kwenye jamii na very soon yale ambayo yanazidi kusemwa kuwa forum hii ni ya udaku could be substantiated with facts.

Yaani hadi mtu anauliza tofauti ya audit na investigation;(audit deals mostly with evaluation if laid out procedures are adhered to while investigation deals systematic and thorough research into the happenings of a matter). Audit imeonyesha kuwa procedures za EPA zilikiukwa, investigation itaonyesha mbinu zilizotumika, waliohusika, pesa zilipelekwa wapi, zilitumika vipi etc; hivi huwezi kuvijua kwenye audit.

Mods weka hi thread kapuni and let us move on with constructive issue.
 
Sasa mkuu this is a big twist .Hata waandishi wa habari wana nafuu . Maelezo yote nimesoma sijaona anapo husika JK na kumleta jamaa . Ama umekosea kuleta habari hapa ?Unaweza kuwa umechanganya habari hizi ?

JAMANI JAMANI WAAMBIENI WAACHE KUTUTUNGIA HABARI HAPA PLZ,SASA JK HAPO ANAHUSIKA VIPI NA KWA NINI TUWAOMBE MAREKANI IMLETE KWANI AMEGOMA KUJA MWENYEWE?AMEITWA LINI NA NANI HAKAGOMA KUJA,TUNGOJE TUME AU MAHAKAMA WAMWITE THEN AKIGOMA NDIO TUSEME
 
Hamna mtu amekuomba uje kuchangia matusi kwenye hii thread..however unaonyesha udhaifu wako..kwamba uko hapa kwa maslahi flani!

JF niliamua kujiunga baada ya kuona ni uwanja mpana wenye kuruhusu mijadala ya hoja kwa hoja bila kuget personal!

Sio nia yangu kujibu matusi kwa matusi..kama umeshindwa kunijibu maswali niliyouliza then pls dont contribute to this thred.

Siasa za matusi na chuki binafsi unazozileta hapa jf ni za kichefuchefu..zirudishe ulikozitoa..Nitawaomba jf waongeze freedom in the middle ili iweze kuwa JAMBO FREEDOM FORUMS! WHERE WE DARE TO TALK!
 
jamani jamani waambieni waache kututungia habari hapa plz,sasa jk hapo anahusika vipi na kwa nini tuwaombe marekani imlete kwani amegoma kuja mwenyewe?ameitwa lini na nani hakagoma kuja,tungoje tume au mahakama wamwite then akigoma ndio tuseme
we fisadi mtoto sijui unaongea hapa kwa niaba ya nani!kwani we hujui kuwa karibia watanzania wote wanataka balali arudishwe?

Marekani inaombwa imlete kwasababu kikwete amegoma kusikiliza vilio vya wananchi!halafu mara ya kwanza serikali ikasema hata haijui mahali aliko..

Then wakawatuma watu waeneze rumours kwamba yuko kisiwani malta!mimi nasema hivi..sijali matusi,sijali pundits,sijali cynisism..

Justice must prevail!hii sio nchi ya watu wachache..ni ya watanzania milioni zaidi ya 30! Ambao wameibiwa bilioni zaidi ya 130!

Halafu unaniambia jk anahusika vipi?tafadhali tujibu hoja kwa hoja na si kuteteana bila mpango hapa..
 
kama ni spin..basi hii ndio namba moja!zalendo naomba unijibu ili swali..

Hizo pesa kabla hazijafikia kwenye final disbursement zimepitia procedure ambazo zinahitaji documentation pamoja na signature approvals..

Kuna document zinazoonyesha saini zilizoangukwa kuanzia zikiwemo kwenye akaunti za madeni ya nje mpaka kwenye akaunti na mifukoni mwa mafisadi!

Sasa hao wote waliosaini wako wapi?narudia tena wapi responsibility?

Kwani walihitaji miwani kuona kuwa hizo fedha zimetoka kwenye akaunti ya madeni na zinakwenda kwenye makampuni..mengine hewa!?

Kwamba zilipelekwa wapi na zilitumika vipi..ni wananchi ndio wanaotakiwa kujibu hilo ama balali na mafisadi wenzake?

Wakati zikitolewa wananchi waliulizwa?mimi nafikiri wakati tunasubiri hiyo miezi sita ya uchunguzi..hatua nyingine ziendelee kuchukuliwa kama vile kumhoji balali!

Mi naudhika sana!yani kweli balali haitajiki nchini?na unaposema kikwete hausiki una maana gani?

Si tulimuomba kikwete amrudishe balali hakufanya hivyo..then serikali yake ikawa hata haitaki kutuambia mahali alipo?tunajua kuwa alikwenda marekani..tukawauliza marekani kwasababu kikwete na serikali yake wamegoma!

Marekani wakaksema kikwte na serikali yake haijawaomba wamlete balali..sasa kama hajakataa kwanini asivute waya tu na balali aletwe?na kama unataka kunirudisha kwenye pointi kuwa balali haitajiki tanzania then sina haja ya kuongeza lolote!
 
Jamani Watanzania;Balali haji hai hapa.Hapa dili linasukwa kati ya JK na Mr Bush kwa exchange ya mali za watanzania ili kuhakikisha Balali anarudishwa maiti.Balali yeye anafikiri yuko salama mikononi mwa Marekani.Wakishahakikisha wamemtwanga sumu ndo JK atajifanya kuomba Balali arudishwe.Sasa anabuy time kuhahkisha wamempata Balali anayejifanya amejificha.

Balali ndugu yangu huna guarantee ya kuishi zaidi ya kumwaga ukweli sasa.Hii issue ni mbaya kuliko sisi tunavyoijua ubaya wake:Mkuu wa kaya anashikwa ugoni,yatakuwa mambo ya Mfalme Daudi na Mke wa jemadari wake(Abigairi)
 


Chifu Mushi,

Hata kama una nia njema na uchungu wa mabilioni kukwapuliwa na mafisadi, namna unavyotoa mawazo, shutuma na lawama inakufanya uonekane kama zuzu na ndio maana watu hawakuchukulii seriously. It appears to me you are taking things personally...starting with a twisted title of the thread, becoming too defensive etc. I believe most of us are ticked off with how BoT saga has been mishandled, however, as a forum and as individuals, we cannot distort the fact in order to please ourselves. You did just that when you claimed that the president has refused Ballali to be extradited. A deliberate distortion of truth is a very irresponsible behavior.

In response to your poor reasoning, it may be true JK has not formally ask US govt to bring Ballali back however, that does not mean he does not want to. This is a very serious and complicated issue that requires wisdom, meticulous plans etc, since you are not dealing with some vibaka from ferry but rather a network of influential, learned people. It is ok to question government's slow response to the matter but it's never ok to put words in someone's mouth. As a forum, we are proud of what we are doing, however, irresponsible behavior like yours tarnishes our image (as referred ealier as Dar Hotwire material) and credibility. Moreover, it speaks very poorly of you.
 
acha hizo wewe!nani katoa shutuma na lawama?

Ofcourse kikwete amerefuse kumleta balali..kwani serikali yake si ilikuwa ikisema haijui aliko?sasa nani zuzu hapa?

Kama serikali ilikuwa ikishinikizwa na wananchi imlete balali ahojiwe.. Ikawa ikidai kwamba haijui mahali alipo..marekani,badala ya raisi wetu ndiyo wakatuambia yuko kwao.

Tukawauliza ni kwanini hawampi rais wetu na serikali yake ushirikiano wa kutosha ili balali aletwe..wakasema hatujaulizwa!na wakadai kwamba wakiulizwa watamleta!nani zuzu hapa!

Kikwete ameshajibu ni kwanini alimfukuza balali kama hana makosa na wala haitajiki kuhojiwa?sijali kama utatumia maneno gani kujaribu kunikatisha tamaa..this time mpaka kieleweke mzee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…