Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere, Sehemu ya nne (4)

Interesting story usikute mtoa mda ni membe haya maswala nyeti umeyajuaje
 

Kweli, this shows kwamba mwalimu alikuwa akimpenda JK pia
 
Ukisoma pia utaona namna JK alivyoweza kuanzisha kundi la mtandano na kuwatumia EL na RA na kuishia kuwabwaga..

Hapo utajifunza, unaweza kuwa na utajiri lakini ukakosa akili, maarifa na kuzidiwa na watoto wa mjini..
 
Ukimfuatilia JK historia yake toka huko nyuma during JKN time utajifunza kitu juu ya huyu mtu na utaona kwa jinsi gani alipikwa akapikika..

Mfuatilie JK since 1995, 2005, 2010 na 2015 utagundua JK ni akili kubwa inayotumia mbinu za kimedani kwenye vita..JK angesimama upande wa EL amini hakuna ambaye angeweza kumzuia EL kuanzia CCM na upinzani.. Wasichojua watu wengi Membe hakusimamiwa na JK na bali aliachwa free apambane kivyake kushinda vita kama ilivyokuwa kwa EL pia.. Hata wakati huu Membe bado ni jeshi la mtu mmoja na JK ameacha iwe hivi kwani hata yeye alikuwa jeshi la mtu mmoja toka 1995 akijisimamia na kuwatumia wengine kama silaha pasipo wao kujua..
 
Tamaa za EL, MEMBE na MZEE SITA ndizo ziliwaponza kukosa subira na kuanza kuparuana kila mtu akiutaka urais 2015.. Ukweli nikwamba hakukuwa na mwenye uwezo wa kuuzuia mtandao zaidi ya mwenyewe aliyeuanzisha JK.. Kukosa Subira kulimpoza 6 Mungu amrehemu huko aliko, lakini pia EL na BCM kila mtu aliona kama umri ungemtupa hivyo wote wakautaka urais 2015 hapo ndio ikatokea "hasira za mkizi furaha kwa mvuvi" muvi ya wote EL na BCM kama JK angeamua pia kuingilia kati lazima makubaliano yangefikiwa kwa mmoja wapo kusimama na mwingine kumuunga mkono mwenzie.. JE KWANINI JK ALIKAA PEMBENI??
 
Mnatumia Baba wa Taifa kama kigoda kumbe watu wezi wa mali za umma
 
Safi kabisa , niiwaza pia juu ya hiyo kauli aise
 
Kwa Nini hizi Episode usingeziweka katika Uzi mmoja kuliko hii shida ya kila episode na Uzi wake?
 
Japo naamini ktk usemi huu kwamba" usimjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake " ila hapa hakuna namna goja nikujibu!
 
Kabisa na mie naikumbuka sana ile story niliisoma habar zake zinatofautiana na hii
 
Wewe naona hujamwelewa mchangiaji, naomba umsome vizuri then umjibu maana ulichojibu hakiendani na swali lililoulizwa wewe umerukia tu plz soma uelewe ndio ujibu
 
Mh, membe Asante kwa kutuletea madini kwa wakati sahihi, ingawa najuwa wasiyo kupenda hii kwao nisumu wewe usujali 2020 mpaka kieleweke
 
Bilashaka wewe nimembe mwenyewe kabisa Sasa ikiwa niwewe usisahau kutupa mipango yako 2020 ili tumalize ubishi,.
Maana kwambali naona msululu wa nyumbu kule serengeti bilashaka watakawa wanaelekea kunywa maji kwenye ile mbuga
 
kuna hadithi inasema kuwa Nyerere aliituma barua ya kikwete ya kumtuhunu mkuu wa chuo kwa mkuu wa chuo na kikwete akakimbia chuoni ikiwa ni sababu ya kikwete kutumpenda Nyerere....
Huyu anaonesha kama kulikuwa na uchunguzi na maamuzi ya busara ya Nyerere

Me dont know
 
Aliyevaa khanga ya mama yako ni babako tu.
Hata kama humpendi huyo step father..
Kasha kuwa Raisi wako... ni Raisi wako tu
 
mkuu longolongo za JF usichukulie serious.
Kila mtu anajua lake..
Take it no serious
 
Bilashaka wewe nimembe mwenyewe kabisa Sasa ikiwa niwewe usisahau kutupa mipango yako 2020 ili tumalize ubishi,.
Maana kwambali naona msululu wa nyumbu kule serengeti bilashaka watakawa wanaelekea kunywa maji kwenye ile mbuga
Hawezi kuwa Membe, tafuta topic za mwanzoni miaka kama saba iliyopita utajua huyu sio Membe bali ni mtumishi wa idara za serikali tuu
 
Mkuu naona unabishana na Benard K. Membe mwenyewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…