Kikwete aliposema Mzee Kisebengo anaweza kuzuia mvua isinyeshe ilikuwa kweli au masihara?

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?

Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee Kisebengo yeye angetafutwa anao uwezo wa kuzuia mvua.

Akamalizia kuwa kuna viongozi wa CCM wa eneo lile huenda wameshawasiliana nae na ameshafanya mambo mvua imekata.

Nani mwenye taarifa zaidi za kina kuhusu Mzee Kisebengo? Taarifa ile ilikuwa utani, kutangaza utalii au salamu? RC Chalamila anasemaga kuna swala la Content na context

Leo nimeamua kuandika blah blah za msimu wa uchaguzi.
 
It tells you a deep faith and a belief. Kuna watu na imani zao.

Wakati ule waliposema wageni maalumu ndani ya lile jengo, walikuwa na maana.

Kuna kina Mzee Kisebengo. Wanaaminiwa wana uwezo wa kuzuia mvua, kusafisha nyota, kuleta mafanikio etc

Najiuliza wanapofanya hayo, kwa gharama gani? Ya mbuzi na kuku au kuna mengine zaidi?

Mwenyezi Mungu anayeyajua yote, ipo siku atayaweka hadharani
 
Tayari mpango wa mzee kisebengo wa kuzuia mvua na radi unaendelea kuweni makini sana damu imekuwa luulu sana huko chamani na viungani ...kwenye kitovu cha dunia jana vilio vilisikika ikawa amani kwa Sayari zingine🤭🤣🤣🤣
 
Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?

Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee Kisebengo yeye angetafutwa anao uwezo wa kuzuia mvua.

Akamalizia kuwa kuna viongozi wa CCM wa eneo lile huenda wameshawasiliana nae na ameshafanya mambo mvua imekata.

Nani mwenye taarifa zaidi za kina kuhusu Mzee Kisebengo? Taarifa ile ilikuwa utani, kutangaza utalii au salamu? RC Chalamila anasemaga kuna swala la Content na context

Leo nimeamua kuandika blah blah za msimu wa uchaguzi.
Yule Mzee hajawai kuwa serious ndio mana ana furaha,,,

Kwanza unajua ndio mtu wa kwanza tz kufanya ugonjwa wa tezi dume uonekane wa kawaida,,!?? Sasa uliza siku anaufanyia huo ugonjwa PA taifa lilikuwa linataka kusikia Nini🤣🤣🤣,tulichokuwa tunataka kusikia na alichozungumza vitu viwili tofauti,
 
Wapo wengi hao wazee wenye huo uwezo. ila jina Mzee Kisebengo limebuniwa kuwawakilisha wote.
 
Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?

Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee Kisebengo yeye angetafutwa anao uwezo wa kuzuia mvua.

Akamalizia kuwa kuna viongozi wa CCM wa eneo lile huenda wameshawasiliana nae na ameshafanya mambo mvua imekata.

Nani mwenye taarifa zaidi za kina kuhusu Mzee Kisebengo? Taarifa ile ilikuwa utani, kutangaza utalii au salamu? RC Chalamila anasemaga kuna swala la Content na context

Leo nimeamua kuandika blah blah za msimu wa uchaguzi.
Huyo mzee muhuni hajawahi kuwa serious
 
Hivi hiyo bandari kavu imeanza kazi au bado, maana naona malori hayajapungua hii Morogoro road.
 
Wapo Wazee wa kimila wenye ujuzi huo wa kuzuia mvua.
Mtaa unawaita Wachawi na alishasema Wachawi wote washakufa ila hapo anajaribu kuipindua ile kauli yake, haumjui Vito Corleone vizuri wewe
 
Watakaokuelewa ni wachache, ila jk alikuwa anamaanisha. Na kweli mvua inakata mdogo mdogo
 
Wapo Wazee wa kimila wenye ujuzi huo wa kuzuia mvua.

Ambao wako wapi hao wazee wa kimila. Tunapata changamoto kadhaa...ukame, mafuriko, njaa kukosa maji hata ya kutumia etc....Kama wapo wangekuwa msaada sana kwa Taifa.

Kwa mfano, kuna jamaa walikuwa wanajiita wazee wa kimila, kwa jina la wachokozi. Walikuwa na mwbwembwe nyingi. Mara wana jicho la ziada la kuona mambo...mara wanajua hili na lile...mara wanazuia hili na kuleta lile.

Kila siku kukashifu dini za watu. Ila walipotiwa mkononi na polisi, sijawasikia tena. Kama kweli nguvu ya mambo ya kimila ipo, kwanini wasingezuia soo nzima?

Kama mtu umeweka kwenye akili kuna nguvu ambazo wazee wa kimila wanazo na zinafanya kazi, lazima kwake binafsi zifanye kazi. Na pengine hata kumtesa.

Sisi wengine tuko huru kabisa na hayo mambo. Hayatuhusu na wala hayakwamishi lolote kwenye maisha yetu. Maana ni mambo ya kufikirika kama mengine, na in fact we all possess the same power as every other human being.

Our difference is that most of us, because we have chosen to be damb or dull or domant, we have failed to develop the powers....

Yes, Mwenyezi Mungu ametupa sisi sote vipawa vyake. Ni suala la kutumia ubongo wetu vizuri tu
 
Yule Mzee hajawai kuwa serious ndio mana ana furaha,,,

Kwanza unajua ndio mtu wa kwanza tz kufanya ugonjwa wa tezi dume uonekane wa kawaida,,!?? Sasa uliza siku anaufanyia huo ugonjwa PA taifa lilikuwa linataka kusikia Nini🤣🤣🤣,tulichokuwa tunataka kusikia na alichozungumza vitu viwili tofauti,
Kikwete always anacheka tuh hatak kujipa stress na makasiriko
😃Kwenye utawala wake wengi walineemeka
 
Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?

Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee Kisebengo yeye angetafutwa anao uwezo wa kuzuia mvua.

Akamalizia kuwa kuna viongozi wa CCM wa eneo lile huenda wameshawasiliana nae na ameshafanya mambo mvua imekata.

Nani mwenye taarifa zaidi za kina kuhusu Mzee Kisebengo? Taarifa ile ilikuwa utani, kutangaza utalii au salamu? RC Chalamila anasemaga kuna swala la Content na context

Leo nimeamua kuandika blah blah za msimu wa uchaguzi.
Ilikuwa ni kuchangamsja baraza tu,hayo mambo yalikuwa zamani
 
Back
Top Bottom