Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?
Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee Kisebengo yeye angetafutwa anao uwezo wa kuzuia mvua.
Akamalizia kuwa kuna viongozi wa CCM wa eneo lile huenda wameshawasiliana nae na ameshafanya mambo mvua imekata.
Nani mwenye taarifa zaidi za kina kuhusu Mzee Kisebengo? Taarifa ile ilikuwa utani, kutangaza utalii au salamu? RC Chalamila anasemaga kuna swala la Content na context
Leo nimeamua kuandika blah blah za msimu wa uchaguzi.
Yule Mzee hajawai kuwa serious ndio mana ana furaha,,,Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?
Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee Kisebengo yeye angetafutwa anao uwezo wa kuzuia mvua.
Akamalizia kuwa kuna viongozi wa CCM wa eneo lile huenda wameshawasiliana nae na ameshafanya mambo mvua imekata.
Nani mwenye taarifa zaidi za kina kuhusu Mzee Kisebengo? Taarifa ile ilikuwa utani, kutangaza utalii au salamu? RC Chalamila anasemaga kuna swala la Content na context
Leo nimeamua kuandika blah blah za msimu wa uchaguzi.
Huyo mzee muhuni hajawahi kuwa seriousKatika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?
Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee Kisebengo yeye angetafutwa anao uwezo wa kuzuia mvua.
Akamalizia kuwa kuna viongozi wa CCM wa eneo lile huenda wameshawasiliana nae na ameshafanya mambo mvua imekata.
Nani mwenye taarifa zaidi za kina kuhusu Mzee Kisebengo? Taarifa ile ilikuwa utani, kutangaza utalii au salamu? RC Chalamila anasemaga kuna swala la Content na context
Leo nimeamua kuandika blah blah za msimu wa uchaguzi.
Hivi hiyo bandari kavu imeanza kazi au bado, maana naona malori hayajapungua hii Morogoro road.Katika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?
Rais Mstaafu JK akasema alimjibu Mh Rais kuwa yuko Mzee mmoja maarufu jirani pale anaitwa Mzee Kisebengo yeye angetafutwa anao uwezo wa kuzuia mvua.
Akamalizia kuwa kuna viongozi wa CCM wa eneo lile huenda wameshawasiliana nae na ameshafanya mambo mvua imekata.
Nani mwenye taarifa zaidi za kina kuhusu Mzee Kisebengo? Taarifa ile ilikuwa utani, kutangaza utalii au salamu? RC Chalamila anasemaga kuna swala la Content na context
Leo nimeamua kuandika blah blah za msimu wa uchaguzi.
Mtaa unawaita Wachawi na alishasema Wachawi wote washakufa ila hapo anajaribu kuipindua ile kauli yake, haumjui Vito Corleone vizuri weweWapo Wazee wa kimila wenye ujuzi huo wa kuzuia mvua.
Wapo Wazee wa kimila wenye ujuzi huo wa kuzuia mvua.
Hivi hiyo bandari kavu imeanza kazi au bado, maana naona malori hayajapungua hii Morogoro road.
Kikwete always anacheka tuh hatak kujipa stress na makasirikoYule Mzee hajawai kuwa serious ndio mana ana furaha,,,
Kwanza unajua ndio mtu wa kwanza tz kufanya ugonjwa wa tezi dume uonekane wa kawaida,,!?? Sasa uliza siku anaufanyia huo ugonjwa PA taifa lilikuwa linataka kusikia Nini🤣🤣🤣,tulichokuwa tunataka kusikia na alichozungumza vitu viwili tofauti,
Duh Kitambo sana. Ulipotelea wapi?Just a joke...
Ilikuwa ni kuchangamsja baraza tu,hayo mambo yalikuwa zamaniKatika hotuba yake pale Kwala wakati wa uzinduzi wa bandari ya nchi kavu miongoni mwa mambo aliyoyasema Mzee JK ni kuwa aliulizwa na Mh Rais kuwa huku kwenu hakuna wazee wanaoweza kuzuia mvua?