P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,034 Reaction score 15,246 Aug 7, 2025 #21 Kikwete amepoteza hata ule mvuto kdg aliokuwa nao kwa Taifa! Sio Mzee wa wa ushauri wala msaada kwa Taifa kabisa bali amekuwa sehemu ya matatizo kwa Taifa
Kikwete amepoteza hata ule mvuto kdg aliokuwa nao kwa Taifa! Sio Mzee wa wa ushauri wala msaada kwa Taifa kabisa bali amekuwa sehemu ya matatizo kwa Taifa
Yoso JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,841 Reaction score 3,331 Aug 10, 2025 #22 fimboyaukwaju said: Ilikuwa ni kuchangamsja baraza tu,hayo mambo yalikuwa zamani Click to expand... Mzee Kisebengo ni mmoja wa wazee wanaoogopeka pake Kwala (Mamwinyi) km kawaida ya wazee wa kipwani kufuga majini na matunguri na umasikini uliotopea..
fimboyaukwaju said: Ilikuwa ni kuchangamsja baraza tu,hayo mambo yalikuwa zamani Click to expand... Mzee Kisebengo ni mmoja wa wazee wanaoogopeka pake Kwala (Mamwinyi) km kawaida ya wazee wa kipwani kufuga majini na matunguri na umasikini uliotopea..
Pan AM JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 352 Reaction score 498 Aug 10, 2025 #23 Kuboma said: Wa ki kiMungu au kishetani? Click to expand... wa Mizizi tu.