johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kila kusudi Lina wakati wake na ukifika ni lazima litimie.
Mzee Kikwete alitamani kutuachia Katiba Mpya Lakini Wakati Ule haukuwa na kusudi la Katiba Mpya ndio Sababu alipata Upinzani ndani ya chama chake.
Wakati tulionao sasa ndio wakati wenye kusudi la Katiba Mpya.
Rais Samia akitamani kuacha Katiba ya Wananchi ambayo haijawahi kuwepo na kuacha alama ya milele, Wakati huo ni sasa.
Ikumbukwe Tanganyika ilikopi Katiba ya Muingereza na tukaifanyia marekebisho 1977 kwa kuifanya iwe ya Tanzania.
Tutapata Baraka za Mungu wa mbinguni kama sisi wenyewe Kwa akili na Mikono yetu tutajiandikia Katiba.
Ahsanteni sana 😂