johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tena 2029 wakati anataka kutoka baada ya kuiba vya kutoshaKatiba mpya itakamilika na kuanza kutumika 2026.
Huo ndio mwaka wa Katiba mpya nchini petu.
Jiulize kunani 2025 Hadi Katiba ikamilike 2026!Tena 2029 wakati anataka kutoka baada ya kuiba vya kutosha
βAkitakaβ na wewe unaweka hopes kwa mwanasiasa?Kila kusudi Lina wakati wake na ukifika ni lazima litimie.
Mzee Kikwete alitamani kutuachia Katiba Mpya Lakini Wakati Ule haukuwa na kusudi la Katiba Mpya ndio Sababu alipata Upinzani ndani ya chama chake.
Wakati tulionao sasa ndio wakati wenye kusudi la Katiba Mpya.
Rais Samia akitamani kuacha Katiba ya Wananchi ambayo haijawahi kuwepo na kuacha alama ya milele, Wakati huo ni sasa.
Ikumbukwe Tanganyika ilikopi Katiba ya Muingereza na tukaifanyia marekebisho 1977 kwa kuifanya iwe ya Tanzania.
Tutapata Baraka za Mungu wa mbinguni kama sisi wenyewe Kwa akili na Mikono yetu tutajiandikia Katiba.
Ahsanteni sana π
Acha fix Msigwa.Katiba ya Muingereza
Halafu unasema umekwenda shule, labda ulienda kusomea upumbavuKatiba mpya haileti ugali mezani.Ndio Maana hapo Kenya wana matatizo na shida kibao licha ya kuwa na katiba mpya.Watanzania kwa sasa katiba mpya siyo kipaombele chetu.tunahitaji kwa sasa Elimu bora yenye kuendana na mazingira na ulimwengu wa sasa ili kuweza kushindana katika soko la kimataifa,huduma bora za afya,miundombinu bora ,huruma bora na za uhakika za umeme,gharama nafuu za bidhaa muhimu ,ajira kwa vijana,mazingira rafiki ya kufanyia biashara,sera nzuri za kiuchumi na mengine mengi. Mambo ambayo ndio serikali ya CCM imekuwa ikifanya kila siku.
Mpigie simu Bibi yako mzaa mama yako au baba yako umuulize nini angependa umsaidie ama serikali imsaidie uone kama atasema habari za katiba mpya.
Hizo Suti unazovaa kama siyo mchakato wa Katiba Mpya uliowaibua Tulia na Makonda Leo usingevaa na usingewaroga kwa Sababu usingewajua πππKatiba mpya haileti ugali mezani.Ndio Maana hapo Kenya wana matatizo na shida kibao licha ya kuwa na katiba mpya.Watanzania kwa sasa katiba mpya siyo kipaombele chetu.tunahitaji kwa sasa Elimu bora yenye kuendana na mazingira na ulimwengu wa sasa ili kuweza kushindana katika soko la kimataifa,huduma bora za afya,miundombinu bora ,huruma bora na za uhakika za umeme,gharama nafuu za bidhaa muhimu ,ajira kwa vijana,mazingira rafiki ya kufanyia biashara,sera nzuri za kiuchumi na mengine mengi. Mambo ambayo ndio serikali ya CCM imekuwa ikifanya kila siku.
Mpigie simu Bibi yako mzaa mama yako au baba yako umuulize nini angependa umsaidie ama serikali imsaidie uone kama atasema habari za katiba mpya.
Makonda amesema Hawa ndio wanamroga Lucas nuksi sanaHalafu unasema umekwenda shule, labda ulienda kusomea upumbavu
Ila wewe mtu ni mngese. Ugali unausemea una mea tu wenyewe..?Katiba mpya haileti ugali mezani.Ndio Maana hapo Kenya wana matatizo na shida kibao licha ya kuwa na katiba mpya.Watanzania kwa sasa katiba mpya siyo kipaombele chetu.tunahitaji kwa sasa Elimu bora yenye kuendana na mazingira na ulimwengu wa sasa ili kuweza kushindana katika soko la kimataifa,huduma bora za afya,miundombinu bora ,huruma bora na za uhakika za umeme,gharama nafuu za bidhaa muhimu ,ajira kwa vijana,mazingira rafiki ya kufanyia biashara,sera nzuri za kiuchumi na mengine mengi. Mambo ambayo ndio serikali ya CCM imekuwa ikifanya kila siku.
Mpigie simu Bibi yako mzaa mama yako au baba yako umuulize nini angependa umsaidie ama serikali imsaidie uone kama atasema habari za katiba mpya.
If words could build walls......Katiba mpya haileti ugali mezani.Ndio Maana hapo Kenya wana matatizo na shida kibao licha ya kuwa na katiba mpya.Watanzania kwa sasa katiba mpya siyo kipaombele chetu.tunahitaji kwa sasa Elimu bora yenye kuendana na mazingira na ulimwengu wa sasa ili kuweza kushindana katika soko la kimataifa,huduma bora za afya,miundombinu bora ,huruma bora na za uhakika za umeme,gharama nafuu za bidhaa muhimu ,ajira kwa vijana,mazingira rafiki ya kufanyia biashara,sera nzuri za kiuchumi na mengine mengi. Mambo ambayo ndio serikali ya CCM imekuwa ikifanya kila siku.
Mpigie simu Bibi yako mzaa mama yako au baba yako umuulize nini angependa umsaidie ama serikali imsaidie uone kama atasema habari za katiba mpya.
A very good question.Ila wewe mtu ni mngese. Ugali unausemea una mea tu wenyewe..?
Kikwete hakutaka katiba mpya, yeye alifanya danganya toto na matokeo yake ndo haya. Ingawa sina hakika pia kwamba Samia anataka katiba mpya, kwani sioni dalili hizo. Akiwa muungwana anaweza kuikomboa Zanzibar kutoka katika makuche ya Tanganyika.Kila kusudi Lina wakati wake na ukifika ni lazima litimie.
Mzee Kikwete alitamani kutuachia Katiba Mpya Lakini Wakati Ule haukuwa na kusudi la Katiba Mpya ndio Sababu alipata Upinzani ndani ya chama chake.
Wakati tulionao sasa ndio wakati wenye kusudi la Katiba Mpya.
Rais Samia akitamani kuacha Katiba ya Wananchi ambayo haijawahi kuwepo na kuacha alama ya milele, Wakati huo ni sasa.
Ikumbukwe Tanganyika ilikopi Katiba ya Muingereza na tukaifanyia marekebisho 1977 kwa kuifanya iwe ya Tanzania.
Tutapata Baraka za Mungu wa mbinguni kama sisi wenyewe Kwa akili na Mikono yetu tutajiandikia Katiba.
Ahsanteni sana π
Nenda shambani ukachape kazi ili upate ugali.na wala katiba mpya haitakuondolea njaa .acha uvivuIla wewe mtu ni mngese. Ugali unausemea una mea tu wenyewe..?
Una uhakika kabisa? In 2026?Katiba mpya itakamilika na kuanza kutumika 2026.
Huo ndio mwaka wa Katiba mpya nchini petu.
KaKila kusudi Lina wakati wake na ukifika ni lazima litimie.
Mzee Kikwete alitamani kutuachia Katiba Mpya Lakini Wakati Ule haukuwa na kusudi la Katiba Mpya ndio Sababu alipata Upinzani ndani ya chama chake.
Wakati tulionao sasa ndio wakati wenye kusudi la Katiba Mpya.
Rais Samia akitamani kuacha Katiba ya Wananchi ambayo haijawahi kuwepo na kuacha alama ya milele, Wakati huo ni sasa.
Ikumbukwe Tanganyika ilikopi Katiba ya Muingereza na tukaifanyia marekebisho 1977 kwa kuifanya iwe ya Tanzania.
Tutapata Baraka za Mungu wa mbinguni kama sisi wenyewe Kwa akili na Mikono yetu tutajiandikia Katiba.
Ahsanteni sana π
Katiba mpya haiwezi kupatikana leo wala kesho. Katiba ya Sasa ni kichaka Chao sahihi kwa ajili ya mambo yao na kujilimbikiza mali ambazo wao na familia zao watakula hadi miaka 200 ijayo.Kila kusudi Lina wakati wake na ukifika ni lazima litimie.