Kikwete alitamani kutuachia Katiba mpya lakini hakuweza. Ni wakati wa Samia kufanikisha hilo

Kuna watu wanaandika makala unabaki kujiuliza kama wanamanisha wanachoandika au kejeli! Kikwete alianzisha kweli lakini akauuharibu makusudi.
 
JK alikuwa na dhamira ya dhati kutuachia Katiba Mpya ila baadaye akatishwa na Benjamin Mkapa kuwa aachane kabisa na wazo hilo kwani Katiba mpya itaigharimu CCM madaraka na pia kuwa wapinzani hawatawaacha salama Marais wastaafu wote akiwepo yeye JK, hata ile speech aliyokwenda kutoa kwenye BMK ilandikwa na Ben. Sijui kwa nini walihofia kuwa watakwenda jela ikiwa upinzani utachukuwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…