Thomas Odera
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 673
- 154
Wakati Prof. Malima anafariki yeye alikuwa waziri wa fedha kama sijakoseaUnajua sababu za Kifo cha Malima Kighoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati Prof. Malima anafariki yeye alikuwa waziri wa fedha kama sijakoseaUnajua sababu za Kifo cha Malima Kighoma?
kIPINDI HICHO KULIKUWA NA FOTOKOPI MASHINE KWELI?
Chama alishaanzisha....KIKWETE alienda london kuikamata pesa yake......
kuhusu ,monduli ni kweli kina waitara na masai sayore walikuwa wanamdharau sana JK kwa wakimuita NANGA......WAITARA ameshawahi kumnasa vibao....
Nyerere alikuwa hapendi unafiki....ukiona taarifa alipelekewa akazi ignore ..watu wa usalama walishampa taarifa kuwa ni majungu na rais wa nchi hawezi kufanyia kazi majungu....
Quinine umenirudisha kwenye matumizi sahihi ya Methali za kiswahili. I meant to say "despite a person's weakness one needs to appreciate the strength of the same".Hatuongelei unyonge wake tunaongelea maisha yake kama kiongozi wetu mkuu, suala la unyonge ni pamoja na hisia zako.
It's a true story!!
Na tangu JK amekuwa Rais, amekuwa akimuomba sana Mzee Sayore awe Balozi wetu nje, lakini Sayore amekuwa akimkatalia kwa kusema "siwezi kuwa nafanya kazi na kuripoti kwa watoto wasioijua nchi"!
kama kweli mkwere ni mtu wa fitina hivyo basi sasa naanza kuamini kisa cha babu sea(seya) na wanae ni kugongana somewhere na mkwere
Ni sahihi kabisa Nyerere alivyofanya kumkabidhi Musuguri hiyo issue. Na ni sahihi pia Musuguri kumpa Sayore aishughulike mwenyewe. That's how things work in the military. Huyo Kikwete alitakiwa atume hiyo barua yake kwa Musuguri better still angemtaarifu Saroye mwenyewe, na siyo Nyerere. Nyerere kama Amiri Jeshi Mkuu siyo kazi yake ku-deal na trivial issues kama hiyo. Kama kuna kitu cha kujifunza hapa ni kuwa ni bora Kikwete aliamua kutoka mkuku mwenyewe jeshini kwani he had no reason of being there in the first place.
Huwezi kuwa mkuu wa chuo kisha uchukue tenda ya kukiuzia chuo ni ufisadi.
Nyerere aliogopa wajeshi maana walishajaribu kumpiga chini zaidi ya maramoja kipindi mambo yalipozidi kuwa hovyo nchini ndo maana kuna kipindi alikua anawekaweka watu kizuizini.enzi hizo jk ndo vijana waliokuwa wajamaa halisi asingefumbia macho ufisadi huo.leo humu ufisadi huo wa sayore mwausifu na kuupinga wa dowans ni yaleyale sayore alijipa mwenyewe kandalasi bora product zake angetafutia soko pengine
kIPINDI HICHO KULIKUWA NA FOTOKOPI MASHINE KWELI?
Shida ya Mkapa ni kwamba hakuweza kufanya uamuzi wa busara dhidi ya Kikwete kwa sababu alishakuwa "compromised." Ufisadi kitu kibaya sana.Kitu ambacho wachangiaji wengi wamekisahau ni kwamba wakati wa mfumo wa chama kimoja kuna wanajeshi walikuwa jeshini kwa ajili ya kulinda maslahi ya chama. Na hawa wengi waliingia toka kwenye uongozi wa chama baada ya jaribio la kuipindua serikali ya Nyerere lililofanywa na jeshi. Kikwete alikuwa ni miongoni mwa wanajeshi wanaolinda maslahi ya Chama.
Kikwete anaweza kumuandikia Nyerere kama Amiri jeshi mkuu, Rais wa nchi au mwenyekiti wa chama. Kama kweli barua hiyo ipo, ingewekwa hapa ionekane Nyerere aliandikiwa kwa nafasi ipi na kada huyo mwanajeshi? Otherwise uchambuzi hauwezi kuwa kamilifu.
Hata hivyo, maelezo aliyotoa mtoa mada yanaonyesha udhaifu mkubwa wa Nyerere. Nilitegemea Nyerere kama mwalimu ategemee kuwa vijana wake (kina Kikwete) hawawezi kuwa perfect na anapoona wanakosea afanye jitihada za kuwafundisha. Katika habari hii haionekani kama Nyerere kama mwenyekiti wa chama alifanya jitihada zozote za kumfundisha kada wake aliyemtuma jeshini kufundisha wanajeshi siasa.
Mtoa mada pia anamdhalilisha Rais Mkapa kwa kuonyesha kuwa Kikwete ni mdini na alikuwa mdini tangu enzi hizo. Kwa kusema hivyo anafanya watanzania wajiulize ilikuwaje Rais Mkapa ashindwe kujua kuwa Kikwete ni mdini hata akamuachia apewe fursa ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Tukumbuke kuwa majina ya wagombea urais katika kura za maoni CCM mwaka 2005 yalikuwa 10. Tulitegemea Mkapa kama mwenyeti wa chama na Rais ahakikishe jina la mdini Kikwete lisipitishwe hata hatua ya awali.
JK ni mtu wa visasi kwa hiyo hili halinishangazi hata kidogo....................................na JK humkuza sana Kawawa kwa kumbeba bila ya kujua hata kawawa alikuwa kwenye mbeleko za Nyerere.....................................
Zilikuwepo. Maana zilikuwepo nchini tokea miaka ya mwanzo kabisa ya sabini kabla Kikwete hajaingia Jeshi. Kwa vile kuna uwezekano zilikuwepo CTU (Chuo cha Taifa cha Uongozi) au NLA (National Leadership Academy) kama ilivyokuwa ikijulikana wakati huo. Ingawa sina uhakika na stori hii.kIPINDI HICHO KULIKUWA NA FOTOKOPI MASHINE KWELI?
Kama kuna sababu zilizomfanya Kikwete kuamini kwamba level za chini Jeshini haziwezi kumuwajibisha Sayore, alikuwa justified kwenda kwa Amiri Jeshi Mkuu.
Kitu ambacho wachangiaji wengi wamekisahau ni kwamba wakati wa mfumo wa chama kimoja kuna wanajeshi walikuwa jeshini kwa ajili ya kulinda maslahi ya chama. Na hawa wengi waliingia toka kwenye uongozi wa chama baada ya jaribio la kuipindua serikali ya Nyerere lililofanywa na jeshi. Kikwete alikuwa ni miongoni mwa wanajeshi wanaolinda maslahi ya Chama.
Kikwete anaweza kumuandikia Nyerere kama Amiri jeshi mkuu, Rais wa nchi au mwenyekiti wa chama. Kama kweli barua hiyo ipo, ingewekwa hapa ionekane Nyerere aliandikiwa kwa nafasi ipi na kada huyo mwanajeshi? Otherwise uchambuzi hauwezi kuwa kamilifu.
Hata hivyo, maelezo aliyotoa mtoa mada yanaonyesha udhaifu mkubwa wa Nyerere. Nilitegemea Nyerere kama mwalimu ategemee kuwa vijana wake (kina Kikwete) hawawezi kuwa perfect na anapoona wanakosea afanye jitihada za kuwafundisha. Katika habari hii haionekani kama Nyerere kama mwenyekiti wa chama alifanya jitihada zozote za kumfundisha kada wake aliyemtuma jeshini kufundisha wanajeshi siasa.
nope hakuna kitu kama hicho mkuu, jeshi siyo kama kampuni ambapo ukiona meneja wako hakusikiliza unaweza kwenda hata kwa CEO. Jeshi linaongozwa kwa chain of command na hadi hivi sasa hakuna mahali popote ambapo unaweza kutafuta ambapo panasema JK aliamini kuwa "level za chini haziwezi kumwajibisha Sayore". Hakuna - labda kama una infer tu kuwa kwa vile kaenda kwa Amiri jeshi mkuu.. tukikubali hivyo, Amiri Jeshi Mkuu attakuwa na kazi nyingi kweli kwani ukiondoa JWTZ kuna Polisi, Magereza, JKT na kila afisa ambaye hatoridhika na his immediate commanding officer basi akimbilie Ikulu. Hii ni hatari for unity and discipline ya jeshi.
Hoja ya Sayore kuwa fisadi inaweza kukubalika kabisa lakini kumlaumu Nyerere.. thats extremely overreaching..