Elections 2010 Kikwete amewaahidi nini hawa?

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
nimekuwa nikifutilia ziara za kikwete za kampeni,amekuwa na akina yohana wabatizaji wake(wasafisha njia na washeheshaji kabla hajahutubia),dokii,flora mbasha,hafsa kavinja,na wanakati haswa kwa lengo la kuwaburudisha watu kabla hajaanza kutoa hotuba yake ya dakika kumi juu ya ccm dume la mbegu,vyama vingine ni photocopy,wanaopata mimba na ukimwi ni viherere vyao na mipasho mingine,hapa huwa najiuliza hao wanakatika kana kwamba hili taifa halipo msiobana wameahidiwa nini na kikwete?
 
ahadi aliyowapa ni kuwapa ukimwi....sory, mimba sio ukimwi
 
nimekuwa nikifutilia ziara za kikwete za kampeni,amekuwa na akina yohana wabatizaji wake(wasafisha njia na washeheshaji kabla hajahutubia),dokii,flora mbasha,hafsa kavinja,na wanakati haswa kwa lengo la kuwaburudisha watu kabla hajaanza kutoa hotuba yake ya dakika kumi juu ya ccm dume la mbegu,vyama vingine ni photocopy,wanaopata mimba na ukimwi ni viherere vyao na mipasho mingine,hapa huwa najiuliza hao wanakatika kana kwamba hili taifa halipo msiobana wameahidiwa nini na kikwete?

haha mbona hutaji wasanii wa kiume.. Btw .. Uliona wapi mchaga akaingia ikulu..
 
Amewaahidi Kigoma itakuwa kama Dubai ya Africa!!!!!
 
haha mbona hutaji wasanii wa kiume.. Btw .. Uliona wapi mchaga akaingia ikulu..

Sijawahi kuona na ndio maana naamini Slaa ataingia tu mwaka huu kwakuwa nae si mchaga na anakubalika.
 
Hawakujua kusoma alama za nyakati - wakadhani mambo ni yale yale ya miaka iliyopita - kumbe kwa sasa - BURDANI NA AHADI HEWA
ZIMEWACHOSHA WATANZANIA - YANAHITAJI MABADILIKO TU!!!!

Hata hivyo pamoja buradani zinazotolewa kwenye mikutano ya CCM - jamani wanachi wanaohutubiwa - mh! wamepoozaa - hawanyooshi tena mikono juu kusupport speech za wagombea....................mh MIKUTANO YA CCM IMEPOOOZAA - ndiyo ninavyoona kwenye TV lakini ANAPOHUTUBIA DR WA UKWELI - POINTS ANAZOTOA - WATU WANASHANGILIA KWA SANAAAAAAAAA

whatever the case CHADEMA INAKUBALIKA jamani - INCLUDING ME-SELF (Mungu tusikie maombi yetu sisi waja wako - amen!!)
 
Jk kaishiwa na sera hana jipya kashaanza kuchimba watu bit kwa kutumia jeshi. Kampeni za ccm watu wanalipwa kwenda, kampeni za chadema watu wanachangia mfuko wa kampeni, EXPERIENCE THE DIFFERENCE!!!!!!!!!!
 
Amewaahidi kuwasaidia kuuza copy za albam za dunia nzima hadi kufikia mult-platinum.
 
Wanajitolea tu hawa kwa ajili ya chama chao!
 
Dawa ni kususia kazi zao tuone kama ccm itawalipa kwa miaka yote mitano
 
Muulize Vick Kamata zawadi ya watu kama hao ni nini...yeye nasikia anajua zaidi yetu!
 
Anapanda mbegu ya ukabila na udini sana huyu mshikaji!

WASTED:dance:

wachaga ni watani zangu .. even though utani ndani yake una ukweli slaa bado hajafika kiwango cha kuingia ikulu ... alafu

Rev. mimi na wewe nani mdini!?? nani mwenye chuki na dini ya mwenzake.! haiitaji kufikiri kwa wale waliokuwa na wewe kipindi hata cha miezi sita humu watakufahamu vizuri
 
Back
Top Bottom