Kikwete anabeba chuma au suti zinambana?

Kikwete anabeba chuma au suti zinambana?

Kinnega

Member
Joined
Apr 8, 2009
Posts
52
Reaction score
4
Asha+Rose1.jpg

President Jakaya Mrisho Kikwete greets Deputy UN Secretary General Dr.Asha Rose Migiro Shortly before the opening of a high Level conference on Successful Partnerships for Africa's growth challenge held at BOT twin towers in Dar es Salaam.
 
Picha hazionekani, blogspot hawaruhusu kufyonza picha zao.

Kikwete anaonekana hivyo probaby kwa sababu ya BPV.
 
Kikwete anaonekana hivyo probaby kwa sababu ya BPV.

Uandishi gani huu....kwanini usiandike kwa kirefu hiyo BPV kama umeintroduce kwa mara ya kwanza? Mzee hujaandika thesis? hahahahahah
 
Uandishi gani huu....kwanini usiandike kwa kirefu hiyo BPV kama umeintroduce kwa mara ya kwanza? Mzee hujaandika thesis? hahahahahah

So that is what this is now, this is a thesis? Trust me, you will not like my mid-term paper, forget about the thesis.

BPV= Bullet Proof Vest

Mambo mengine classified sio kila dingbat mwenye half a birdbrain ajue, lol.
 
Haifanani sana na chuma maana hata alipokwenda kumwona Obama white house alionekana hivyo, sasa kweli aliruhusiwa kuingia ikulu ya marekani na chuma?? I doubt it!
 
Hifanani sana na chuma maana hata alipokwenda kumwona Obama white house alionekana hivyo, sasa kweli aliruhusiwa kuingia ikulu ya marekani na chuma?? I doubt it!

Huyu anahitaji msaada!Bruray huwaita wana half a birdbrain! Si kubeba lichuma nadhani wanaimanisha mazoezi!

Bluray, Tanzania nchi ya amani hiyo Bullet Proof Vest ya nini?
 
Huyu anahitaji msaada!Bruray huwaita wana half a birdbrain! Si kubeba lichuma nadhani wanaimanisha mazoezi!

Bluray, Tanzania nchi ya amani hiyo Bullet Proof Vest ya nini?

Go tell that to Alhaj Ali Hassan Mwinyi, he lucky that loonie was into fistfights otherwise Ben would by now have been the sole ex-prez.
 
unajua nikweli nilikuwa najiuliza sana why kikwete anakuwa mkubwa sana juu ila nimekuja kugundua kuwa ni bullet proof ile...siku hizi kuna majangiri wengi sana so lazia raisi wetu ajikinge kama 50cents......
 
teh teh hivi kwa nini asivae na helmet si wanaweza kumlenga kichwani au...
 
Mkumbuke kuwa Rais wetu zamani alikuwa Mjeshi, hivyo inawezekana kabisa kuwa bado anajikumbusha kumbusha kwa kubeba nondo katika kuuweka mwili sawa..
 
Mbona wengine vifua haviwavimbi, au wao hawatumii hizo bullet vest? Kama kuna mtu kapewa tenda za bullet vest akaleta za China basi ufisadi utawaua, maana zitatobolewa hata na mawe ya wana Mbeya wenye hasira.

image5065596.jpg

Wa kwetu ndio katuna tuna, kama kawekewa bullet vest za ma sponji?

G.W._Bush_&_Jakaya_Kikwete.jpg

image5061279.jpg

image5061104.jpg
 
Picha hazionekani, blogspot hawaruhusu kufyonza picha zao.

Kikwete anaonekana hivyo probaby kwa sababu ya BPV.

Hata avae gunia si mwili wake mwenyewe . Mkapa alipokuwa Raisi mlikuwa kimyaa na lile jifua lake na shingo ya mzee wa meza . Hamkusema kitu.
Au kwa sababu ni ........
 
Hata avae gunia si mwili wake mwenyewe . Mkapa alipokuwa Raisi mlikuwa kimyaa na lile jifua lake na shingo ya mzee wa meza . Hamkusema kitu.
Au kwa sababu ni ........

Punguza jazba mkuu.....sio kila kitu lazima uchangie! Vingine unasoma unacheka kidogo then unahamia kwingine
 
Hata avae gunia si mwili wake mwenyewe . Mkapa alipokuwa Raisi mlikuwa kimyaa na lile jifua lake na shingo ya mzee wa meza . Hamkusema kitu.
Au kwa sababu ni ........

Vyake vilikuwa ni vyuku zaidi!! vinasambaa mwili mzima, hivi vya jamaa naona vinakwama kifuani nini??
 
Haifanani sana na chuma maana hata alipokwenda kumwona Obama white house alionekana hivyo, sasa kweli aliruhusiwa kuingia ikulu ya marekani na chuma?? I doubt it!

Umenichekesha sana mkuu, BPV hutengenezwa kwa kevlar
 
Mhh ila mkuu wetu katuna balaa au anashindana mlo na wife wako lol!!!
 
Back
Top Bottom