Kikwete anabeba chuma au suti zinambana?

Kikwete anabeba chuma au suti zinambana?

Sikuona picha hiyo ya Dr. K.I. Kwete, kwa hiyo sina komenti.
 
Vyake vilikuwa ni vyuku zaidi!! vinasambaa mwili mzima, hivi vya jamaa naona vinakwama kifuani nini??

teeeh yaani kwa kweli leo nimecheka sana...vyuku vinakwama kifuani duuuh
 
JK ana asili ya kifua kipana hata akiwa amevaa single let....utaona amevimba kifua sio leo wala jana ndivyo alivyo.....hata kama anavaa hy BPV
 
Back
Top Bottom