TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Aug 11, 2009 #21 Maria Roza said: Mhh ila mkuu wetu katuna balaa au anashindana mlo na wife wako lol!!! Click to expand... Mama naona kapunguza mlo manake siku hizi anaonekana potabo flani vile!
Maria Roza said: Mhh ila mkuu wetu katuna balaa au anashindana mlo na wife wako lol!!! Click to expand... Mama naona kapunguza mlo manake siku hizi anaonekana potabo flani vile!
Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 643 Aug 11, 2009 #22 Sinkala said: Hivi 'mabodigadi' nao pia huvaa vyuma? Click to expand... Hahaha, duh hii kali ya wiki.
Sinkala said: Hivi 'mabodigadi' nao pia huvaa vyuma? Click to expand... Hahaha, duh hii kali ya wiki.
Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,962 Reaction score 721 Aug 15, 2009 #23 Inawezekana ni bullet proof vest.
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Aug 15, 2009 #24 Sikuona picha hiyo ya Dr. K.I. Kwete, kwa hiyo sina komenti.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Aug 15, 2009 #25 MpendaTz said: Vyake vilikuwa ni vyuku zaidi!! vinasambaa mwili mzima, hivi vya jamaa naona vinakwama kifuani nini?? Click to expand... teeeh yaani kwa kweli leo nimecheka sana...vyuku vinakwama kifuani duuuh
MpendaTz said: Vyake vilikuwa ni vyuku zaidi!! vinasambaa mwili mzima, hivi vya jamaa naona vinakwama kifuani nini?? Click to expand... teeeh yaani kwa kweli leo nimecheka sana...vyuku vinakwama kifuani duuuh
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Aug 15, 2009 #26 JK ana asili ya kifua kipana hata akiwa amevaa single let....utaona amevimba kifua sio leo wala jana ndivyo alivyo.....hata kama anavaa hy BPV
JK ana asili ya kifua kipana hata akiwa amevaa single let....utaona amevimba kifua sio leo wala jana ndivyo alivyo.....hata kama anavaa hy BPV