Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
anaomba radhi na kura wanampa
tukutane 03/11/2010 utakanyokuwa unahema mpaka kichwa kinataka kupasuka utakaposikia SLAA CHALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
wafanyakazi sehemu nyingi wameapa watampa jk kura, wengine wanadai ni wana ccm lakini jk hawatampa kwa kudharau kura zao.
anaomba radhi na kura wanampa
This message is hidden because Jeykey is on your ignore list.Naona mmeishiwa hoJa Nnaona jk huyooo magogoni, kura za wafanyakazi mtaji kwake
Wafanyakazi sehemu nyingi wameapa watampa JK kura, wengine wanadai ni wana CCM lakini JK hawatampa kwa kudharau kura zao.
Huo utakuwa ni upumbavu na si ujinga. Kwani watakuwa wanajikomba tu wakidhani atawafaa huko mbeleni. Je, ni nani asiyejua jinsi wengi wa wafanyakazi wa sekta ya umma jinsi wanavyopata SHIDA na MATESO nchi hii? Hivi kweli mshahara wa shs 260,000= alizoongeza kinyemela ndo ziwafanye sasa wampe kura?
Wampe wasimpe ukweli utabaki kama hivi:
- Alisema hazitaki kura zao. Ushahidi tunao kwenye DVD na video camera majumbani mwetu.
- Jaribuni kumpa halafu muone inflation na devaluation zitakavyokuwa kwa kipindi cha 2010 - 2015.
- Matatizo yatakayo kuja baada ya hapo hayatachagua wala kuangalia wewe ni wa-Chama gani.
- Wakupongezwa ni Bwana Mgaya na Dr. Slaa, kwani ndo waliomtia kiwewe JK hadi akaongeza mshahara kinyemela na kuanza kuropoka ovyo eti hakusema..."HAZITAKI KURA ZA WAFANYAKAZI"
- JK, ni mnafiki alidai haongezi mshahara hata wakigoma miaka 8. Je, nini kimemfanya aongeze hela kimya kimya? ni nini hicho?
Kwa taarifa yako TRA wanasema kwamba hawatambui hicho kima cha chini cha msahara wa Tshs 260,000/= bali Tshs 135,000/=. Hivyo wafanyakazi wameuziwa mbuzi kwenye gunia.Huo utakuwa ni upumbavu na si ujinga. Kwani watakuwa wanajikomba tu wakidhani atawafaa huko mbeleni. Je, ni nani asiyejua jinsi wengi wa wafanyakazi wa sekta ya umma jinsi wanavyopata SHIDA na MATESO nchi hii? Hivi kweli mshahara wa shs 260,000= alizoongeza kinyemela ndo ziwafanye sasa wampe kura?
Wampe wasimpe ukweli utabaki kama hivi:
- Alisema hazitaki kura zao. Ushahidi tunao kwenye DVD na video camera majumbani mwetu.
- Jaribuni kumpa halafu muone inflation na devaluation zitakavyokuwa kwa kipindi cha 2010 - 2015.
- Matatizo yatakayo kuja baada ya hapo hayatachagua wala kuangalia wewe ni wa-Chama gani.
- Wakupongezwa ni Bwana Mgaya na Dr. Slaa, kwani ndo waliomtia kiwewe JK hadi akaongeza mshahara kinyemela na kuanza kuropoka ovyo eti hakusema..."HAZITAKI KURA ZA WAFANYAKAZI"
- JK, ni mnafiki alidai haongezi mshahara hata wakigoma miaka 8. Je, nini kimemfanya aongeze hela kimya kimya? ni nini hicho?
Naona mmeishiwa hoJa Nnaona jk huyooo magogoni, kura za wafanyakazi mtaji kwake
Kwa taarifa yako TRA wanasema kwamba hawatambui hicho kima cha chini cha msahara wa Tshs 260,000/= bali Tshs 135,000/=. Hivyo wafanyakazi wameuziwa mbuzi kwenye gunia.
Asante mkuu JK huyoo magogoni
tukutane 03/11/2010 utakanyokuwa unahema mpaka kichwa kinataka kupasuka utakaposikia SLAA CHALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Tatizo wafanyakazi wengi hawana ufahamu wa elimu ya uraia. Wengi wao wakienda kwenye kampeni za CCM na kusikiliza TOT wanachanganyikiwa. Ebu jiulize uke umati wa Jangwani ulitoka wapi kama sio wafayakazi. Siamini kabisa tabaka la wafanyakazi. Hawana msimamo. Afadhali machinga na madreva na kondakta wa daladala. Hawa wakishikilia jambo wana msimamo lakini wafanyakazi wanayumbishwa sana. Kwanza ndio watatumiwa kuiba kura kwa ajili ya CCM.