Elections 2010 Kikwete anatuchezea akili...

Kwa taarifa yako TRA wanasema kwamba hawatambui hicho kima cha chini cha msahara wa Tshs 260,000/= bali Tshs 135,000/=. Hivyo wafanyakazi wameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Mzee, TRA si wanalipaji mishahara ya wafanyakazi wa serikali bali ni wizara ya fedha??
 

Tonge, Nadhani haujaelewa ujumbe wa ByaseL, anapoint yake nzuri ambayo inawezekana hata wewe ungemsapoti, umeenda mbali sana kumwambia aache ujinga, mi namwona point yake ina mantiki ndani yake

Naamini utanielewa!
 
Kitendo cha yeye kusema kuwa hakuzikataa kura za wafanyakazi ni sawa na kutuona tusio na ufahamu.
Hotuba yake aliyoitoa akihutubia wazee wa CCM wa DSM tunayo.

HATUDANGANYIKI NG'O!!!!
It's tym for Voters please do it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…