Kikwete anunuliwa na wamarekani?

Kikwete anunuliwa na wamarekani?

Endeleeni kuuza nchi. Naona tumekuwa Malaya, tumeanza kupanda bei na sasa tunaanza kuchagua bwana/bibi gani wa kulala naye.

Tanzania haihitaji kituo cha Mwaarabu wala Mmarekeni.

Mwafrika wa Kike, kama unawataka Wamarekani, sio unao hapo karibu? Unataka wapeleke base TZ ili iweje?
 
...ni njaa tuu hakuna kingine,lakini kama njaa itapungua waje tuu maana tulio nao wanatuongezea njaa tuu
 
Kuna uwezekano mkubwa ukanda wa Afrika mashariki ukawa na mafuta ya kutosha.

Ili kuweza kuendelea na usuper power lazima uthibiti vile vinavyotajirisha nchi nyingine, Wakiweka base kubwa east Afrika maana yake wanadhibiti route yote ya ukanda huu. kwa hiyo nchi kama Uchina zenye kuhitaji mafuta kwa wingi iwapo itatokea kutokuelewana na marekani basi ujue kwamba zitaweza kuthibitiwa zisipate hayo mafuta kwa urahisi.

Pili base hii itarahisisha operation za mashirika ya kijasusi ya Wamarekani kama vile C.I.A kufanya mambo wayatakayo katika nchi za ukanda huu kwa kwa urahisi.

Kikubwa ni kusafeguard Raw Material, na wala si security reasons tofauti na base zilizoko ulaya na japani(nchi ambazo wameshapigana nazo vita kuu), wewe jiulize kama ni kwa masuala ya usalama kwa nini base wasiijenge MIAMI wakaijenge
katika mwambao wa tanzania?.
 
Endeleeni kuuza nchi. Naona tumekuwa Malaya, tumeanza kupanda bei na sasa tunaanza kuchagua bwana/bibi gani wa kulala naye.

Tanzania haihitaji kituo cha Mwaarabu wala Mmarekeni.

Mwafrika wa Kike, kama unawataka Wamarekani, sio unao hapo karibu? Unataka wapeleke base TZ ili iweje?

Ha ha ha hah a Mtanzania,

Unaendeleza principle yako ya ijumaa au uko serious?

Mimi nina nguvu gani ya kusaini mikataba ya kuleta base za wamarekani? Hii ni habari ya jikoni kabisa na ukweli unaonyesha kuwa Kikwete ameshakubaliana kimsingi na wamarekani ila kuna ugumu wa kuripoti habari kama hizi huko nyumbani.

Imeshawekwa hapa JF kama kawaida na sasa vyombo vya nyumbani viko huru kunukuu kuwa hii stori iko JF ili wasikamatwe na hao afisa usalama wa nyumbani.

Labda ilo swali uwaulize wakubwa huko ila mimi nimewekwa conditional statement kuwa jamaa wameuziwa kila sehemu na sasa wanajenga serengeti, mkataba wa buzwagi unawaruhusu kuchukua ardhi yoyote ya Tanzania kama wakitaka. Ngoja wajenge na hiyo base labda babu yangu na kizungu chake cha ukoloni atapata kazi ya kuokota makopo huko?

Uwe na weekend njema maana huku ilianza jumatano usiku.

Thanks!
 
Vyanzo vyangu vya hapa USA vimethibitisha uvumi

Simple, Loud, Short, and Clear, kwamba ni uvumi!

However, lets say ni kweli, sheria zetu zinasemaje kuhusiana na the ishu hapa ya US kuweka base bongo, Cuba kuna base ya US, je Castro alinunuliwa ili kuweka hiyo base ya US? Ili US waweke base nchini mwako ni lazima rais anunuliwe? Maana kama hiyo ni kweli, basi US wana hela za mchezo wa kuinunua almost the whole world, maana kwa kifupi tu US, wana base Germany, Japana, Cuba, Iraq, Saud Arabia, Colombia, Quatar, hizi ni baadhi tu ya nchi ninazoweza kuzikumbuka kwa haraka haraka,

Kwa hiyo US imewanunua marais wote wa nchi hizi, na sasa wanataka kumnunua Muungwana? Very interesting uvumi, indeed!
 
Mzee Es,

Yaani ina maana hujui matumizi ya neno kuthibitisha? Kinachosemwa hapo ni kuwa ule uvumi sasa umethibitishwa kuwa ni kweli.

Inaonekana wewe unataka kupewa somo la historia hapa. Hebu karudie uchunguzi kuwa base zote za marekani zina sababu yake.

Base ya German na Japan - matokeo ya vita ya pili. Marekani alitaka kukomesha kabisa washkaji.

Base ya Cuba - Marekani alinunua Guantamo, kwa hiyo kuna mtu alilipwa hapa - likely Castro au kaka yake Raul.

Base za Uarabuni zote - maraisi au wafalme wa hizo nchi wamenunuliwa binafsi na Marekani. Na marekani inafanya kila iwezalo kuwaweka madarakani.

Hii base ya Tanzania, inafit wapi katika hayo yote hapo juu?
 
..huu ni ujasiliamali safi sana na Kikwete kaona mbali,sasa hao wamarekani watatulipa ngapi kwa kila mrahaba watakao weka hiyo base? wajomba mimi ngoja niendelee na bia za thanksgiving hapa ila atakayejua bei ya mrahaba ani PM tafadhari atapata kifuta jasho!
 
Mkuu, Hili la kununuliwa Muungwana mimi silijui wala sina njia ya kulithibitisha, lakini napinga kwa nguvu zangu zote kutuletea tena wakoloni waje kututawala. Tanzania tumekuwa na 'amani' ukilinganisha na nchi nyingi za kiafrika.

Kuja kwa hawa jamaa kutatuondolea uhuru wetu wa kujiamualia mambo hasa ya kimataifa bila kufungana na upande wowote. Itakuwa inabidi tuangalie kwanza 'mabwana' zetu wana msimamo gani katika swala fulani kabla hatujatoa msimamo wetu. Wajapan katika maeneo ambayo yana vituo vya kijeshi vya hawa jamaa wameishinikiza serikali yao mara chungu nzima kuhusu kufunga vituo hivyo, lakini serikali imekataa. Hapa tena serikali badala ya kutetea maoni ya wananchi wake inawatetea wamarekani!

Japan kiuchumi ni nchi yenye nguvu sana, sasa kama serikali yao ama kwa sababu moja au nyingine haitaki kuwafukuza Wamarekani fikiria itakuwaje pale ambapo nchi yetu na vimisaada vyao(US) vya uwongo na kweli vitakavyotolewa kila kukicha ndio tutakuwa tumepoteza uhuru wetu daima! Sioni tatizo lolote la kushirikiana na Marekani katika nyanja mbali mbali, lakini kuwaruhusu kuweka kituo chao cha kijeshi Tanzania ni kosa kubwa sana. Juzi tu nilisoma mahali Balozi wao anatamba kwamba msaada walioutoa kwa Tanzania wa millenium $698,000,000 (kama sikosei) ni mkubwa kuliko misaada yote waliyoitoa katika nchi za Afrika.

Historia imeshaonyesha mara nyingi tu, kwamba wamarekani msaada wao hauji hivi hivi ni lazima na wao wafaidike kwa njia moja au nyingine. Na wanachokitaka toka Tanzania ni lazima wanakijua na labda wameshakitamka.
 
Vyanzo vyangu vya hapa USA vimethibitisha uvumi ambao kwa muda umekuwa unaendela Tanzania kuwa serikali ya marekani ina mpango wa kujenga kituo cha kijeshi cha kudumu (permanent base) nchini Tanzania.

Ingawa serikali ya Tanzania imekuwa inajaribu kuficha hizi habari kwa visingizio kuwa mambo ya kijeshi hayajadiliwi kwa vile yanahusu usalama wa taifa, nimeamua kuwaambia wanajeshi kuwa hili suala la kuwa na base ya wamarekani Tanzania ni kubwa na hivyo ni vyema wakaruhusu watanzania wakalijadili.

Siku za karibuni Kikwete amekuwa na vikao vya wazi na vya siri na wamarekani ambao wanatafuta nchi katika pwani na pembe ya afrika ili wajenge kambi ya kijeshi ya kudumu kama ile waliyo nayo kule KATARI (sijui namna ya kutamka hii nchi kwa kiswahili) kule mashariki ya kati.

Wazo la kuweka kambi Ethiopia limeonekana gumu kutokana na hali ya usalama, chaguo la pili la marekani lilikuwa Kenya ambayo hali ya ukabila inatishia usalama wa Kenya. Wamarekani wameamua kuchagua Tanzania ambao so far wanaona kama nchi yenye amani na utulivu.

Habari zinasema kuwa kimsingi Kikwete amekubali (nani angekataa pesa kibao wamarekani walizotoa) na Marekani imelipa pesa indirect kwa kuahidi kutoa mabilioni ya pesa za msaada. Yes, hizi pesa walizoahidi juzi za kuisaidia Tz zitaishia mfukoni mwa wachache na zitakazobaki zitasaidia kujenga base.

MY TAKE.

1. Mimi naunga mkono suala la wamarekani kuwa na base ya Tanzania maana ikiwepo au isiwepo sioni faida au hasara yoyote ukichukulia kuwa Kikwete na wenzake wanauza nchi kila siku.

2. Ni vizuri Kikwete aendeleze mchezo wa kula pande zote mbili za wa-Irani na wamarekani.

3. Kikwete awaambie ukweli wa-Tanzania wa kile kinachoendelea.

4. IMF na Benki ya dunia wakome kusifia Tanzania kuwa inaendelea wakati wakijua ni uongo ila wanatimiza moja ya masharti ya Tz kukubali ku-host base ya marekani.

5. Kikwete atimize ahadi yake kabla Raila hajashinda uchaguzi wa Kenya maana Raila naye amekubaliana na wamarekani katika hili.

Thanks!

Msimamo wa Tanzania katika hili ulikwisha tolewa kwenye thread hii naona hakuna cha kujadili hapa.
 
Yet another excuse to indulge in your mindless infatuation with Kikwete. Its "Kikwete this...Kikwete that..." every freakin' single day!!

Invisible..ban this sorry piece of doo doo. Remember VRS, Jokofu Kiwete...? Well, he's back again....if you don't believe me...wait and see.
 
Mgaya,

For the record;

Marekani iliipata Cuba kutoka Mkataba wa 1903 baada ya the Spanish War wakati Cuba ilipopata Uhuru kutoka Spain rais Estrada Palma akajipendekeza kwa Marekani kutokana na massada wao waliotoa akaweka naval base Guantanamo kuilinda Cuba, kabla hata ya Castro and that mulatto Batista.Ndiyo hatari za kusaini mikataba ya centuries kama Sultani Mangungo.

Mimi ninachoshangaa ni kwa nini Castro hakuweza kubatilisha ile mikataba?

Cheki hapa

http://www.americanheritage.com/articles/magazine/ah/1962/2/1962_2_18.shtml
 
Yaani ina maana hujui matumizi ya neno kuthibitisha?

Mkuu naomba somo kuhusu facts na opinion, una maana huu ulioandikwa hapa ni ukweli? uvumi yuliothibitishwa na vyanzo vyako wewee vya habari ni ukweli? Una maana FACTS?

Halafu, what is your point, kwamba hizo nchi zingine zote ambazo US ina base, wameweka bure ila bongo tu ndio lazima wamnunue rais wetu kwanza? Wewe unayejua historia ya US na base zake hebu weka facts hapa ni wapi US waliwahi kmununua kiongozi au nchi kwa ajili ya kuweka base yao? Suez Canal, rais Nasser wa Egypt alipotaka kuwafukuza na kuwalipisha kupita pale walimfanya nini? Noriega alipotaka kusitisha mkataba wa Canal yake walimfanya nini? Aristide kule Haiti, alipotaka kuwaondoa kwenye mlima wanaotumia kui-monitor Cuba, walimfanya nini? Kwa nini wasiwanunue tu hawa wote mkuu?

US inahitaji kumnunua Muungwana, ili kuweka mambo yake bongo? Huu ubalozi wao mpya hapa bongo walimunua nani kuujenga? au huji yaliyojiri mpaka wakaujenga hapa former Drive In Cinema?

Mkuu hizi habari zingine zinaweza kupendeza sana zikienda darhotwire, huu uwanja wa JF ni too big kwa hizi nyepwesi nyepwesi!
 
Hii ni habari nzuri Base ya Jeshi ni nzuri na itatusaidia sana sisi Wajerumani wanaomba wamerekani wasitoe Jeshi lao, vilevile itapunguza gharama za kijeshi kwa Tanzania. Naunga mkono na wanaopinga ni kutokujua faida, hizi habari hazina haja ja kuwa malumbano au politics ni kitu kizuri na hakuna haja ya kusubiri.
 
Vyanzo vyangu vya hapa USA vimethibitisha uvumi

Simple, Loud, Short, and Clear, kwamba ni uvumi!

However, lets say ni kweli, sheria zetu zinasemaje kuhusiana na the ishu hapa ya US kuweka base bongo, Cuba kuna base ya US, je Castro alinunuliwa ili kuweka hiyo base ya US? Ili US waweke base nchini mwako ni lazima rais anunuliwe? Maana kama hiyo ni kweli, basi US wana hela za mchezo wa kuinunua almost the whole world, maana kwa kifupi tu US, wana base Germany, Japana, Cuba, Iraq, Saud Arabia, Colombia, Quatar, hizi ni baadhi tu ya nchi ninazoweza kuzikumbuka kwa haraka haraka,

Kwa hiyo US imewanunua marais wote wa nchi hizi, na sasa wanataka kumnunua Muungwana? Very interesting uvumi, indeed!

Ishu ya base ya Wamarekani kwa nchi kama za Ujerumani na japani ni kwa sababu tu kwamba kutowapa nafasi ya kulipiza kisasi, ama kuanzisha vita nyingine na Wamarekani baada ya kuwa wamarekani na washirika wake wake kuwa wamewashinda hawa jamaa katika uwanja wa mapambano, kumbuka baada ya kushindwa vita japani na Ujerumani ziliwekewa vikwazo vingi sana kuhusu mambo ya kijeshi,mfano Ujerumani hiruhusiwi mpaka hii leo kuwa na submarine yenye kuendeshwa na nguvu za kinyuklia, na japani kuna silaha hairuhusiwi kuwa nazo,sasa ili kuwezesha vikwazo hivi vifanye kazi ni lazima waweke base zao karibu na nchi hizo.

kwa suala la guantanamo bay, lile eneo alilimilika Marekani kama condition ya kutoa uhuru kwa cuba, mwaka 1903, baadaye status hiyo ilibadirishwa na raisi wa marekani theodore roosevelt mwaka 1934 ikawa ni lease ya miaka 99, castro yeye binafsi mpaka hii leo hatambui status hiyo. na kuna wakati alishaikatia umeme base hiyo, na pia kutokuwaruhusu watu wote waliomo katika hiyo bay kuingia cuba ndani.

kuhusu nchi kama Saudi Arabia na Qatar, ni nchi zenye mafuta ya kutosha na watawala wa nchi hizo ni wenye kujaribu kulinda falme zao, na njia ya kulinda falme ni kumkumbatia mmarekani, otherwise yatawatokea kama yaliyomtokea Shah wa iran.yaani mmarekani akiondoa support tu katika nchi hizo baasi ujue mapinduzi hayo yanakuja.

Sasa tujiulize sisi Watanzania, je Tuna nini sisi mpaka anko Sam aje ajenge base kwetu?
 
Gamba la Nyoka:
Tulichonacho sisi ni hilo li nchi, na Mmarekani amekwishatamka na kutangaza bayana kwamba anatafuta mahala pa kuweka "African Command" na nchi nyingi za ki-Afrika zimeonekana kusita kutoa nafasi.
Ni wiki chache tu zilizopita, nadhani ni Octoba kulikuwa na picha gazetini hapa Bongo ya mhusika wa kijeshi Mmarecan anayeshughulikia jambo hili. Nadhani sasa tunaweza ku-connect hivyo vidoti. Hii habari inawezekana isiwe ni hizi porojo tulizozizoea hapa kutoka kwa hawa wanaojifanya kila siku kuwa na nyeti za kila jambo.

Itakuwa ni habari ya kusikitisha sana kama Tanzania ndio tutaingiliwa na janga hili la kujitakia wenyewe. Kikwete atakua ameacha 'legacy' ya kipekee kabisa katika historia ya nchi yetu.
 
Mgaya,

For the record;

Marekani iliipata Cuba kutoka Mkataba wa 1903 baada ya the Spanish War wakati Cuba ilipopata Uhuru kutoka Spain rais Estrada Palma akajipendekeza kwa Marekani kutokana na massada wao waliotoa akaweka naval base Guantanamo kuilinda Cuba, kabla hata ya Castro and that mulatto Batista.Ndiyo hatari za kusaini mikataba ya centuries kama Sultani Mangungo.

Mimi ninachoshangaa ni kwa nini Castro hakuweza kubatilisha ile mikataba?
Cheki hapa

http://www.americanheritage.com/articles/magazine/ah/1962/2/1962_2_18.shtml

Yes Pundit,

Ni kweli guantanamo inaanzia mbali lakini mbona usijiulize kwa nini Castro hajawatoa wamarekani hata wakati mambo yalikuwa tense wakati Kenedy alivyotuma watu kuvamia Cuba au wakati wa ile crisis ya nuklia arsernal za warussia.

Kuna kitu zaidi ya makubaliano ya awali kuhusu Cuba na Castro anajua kabisa what is going on!
 
Yaani ina maana hujui matumizi ya neno kuthibitisha?

Mkuu naomba somo kuhusu facts na opinion, una maana huu ulioandikwa hapa ni ukweli? uvumi yuliothibitishwa na vyanzo vyako wewee vya habari ni ukweli? Una maana FACTS?

Halafu, what is your point, kwamba hizo nchi zingine zote ambazo US ina base, wameweka bure ila bongo tu ndio lazima wamnunue rais wetu kwanza? Wewe unayejua historia ya US na base zake hebu weka facts hapa ni wapi US waliwahi kmununua kiongozi au nchi kwa ajili ya kuweka base yao? Suez Canal, rais Nasser wa Egypt alipotaka kuwafukuza na kuwalipisha kupita pale walimfanya nini? Noriega alipotaka kusitisha mkataba wa Canal yake walimfanya nini? Aristide kule Haiti, alipotaka kuwaondoa kwenye mlima wanaotumia kui-monitor Cuba, walimfanya nini? Kwa nini wasiwanunue tu hawa wote mkuu?

US inahitaji kumnunua Muungwana, ili kuweka mambo yake bongo? Huu ubalozi wao mpya hapa bongo walimunua nani kuujenga? au huji yaliyojiri mpaka wakaujenga hapa former Drive In Cinema?

Mkuu hizi habari zingine zinaweza kupendeza sana zikienda darhotwire, huu uwanja wa JF ni too big kwa hizi nyepwesi nyepwesi!

Mkuu nakumbuka issue ya suez na mengine lakini pia mie sijasema kuwa Watanzania wapigane na wamarekani katika hili. Labda mtoa mada aulizwe ana maana gani ya kuanzisha hii mada hapa.

Unaweza kupondea kuwa hii habari ni nyepesi kwa vile unaujua ukweli wa vile muungwana ameusika hapa. Ukifuatilia hiyo link ya Dua iliyowekwa hapo juu na yaliyofuatia baada ya mawaziri wa SADC kuikatalia marekani kuweka base, basi utajua kuwa kwa nini marekani inabidi inunue watu kwa ajili ya kuweka base.

Kikwete anajua anachofanya katika hili na sio vibaya akiwaambia tu watanzania kinachoendelea ili wajue. Kupingana na wamarekani ni kazi lakini pia kuwakubalia katika kila kitu ni kazi zaidi.
 
Gamba la Nyoka:
Tulichonacho sisi ni hilo li nchi, na Mmarekani amekwishatamka na kutangaza bayana kwamba anatafuta mahala pa kuweka "African Command" na nchi nyingi za ki-Afrika zimeonekana kusita kutoa nafasi.
Ni wiki chache tu zilizopita, nadhani ni Octoba kulikuwa na picha gazetini hapa Bongo ya mhusika wa kijeshi Mmarecan anayeshughulikia jambo hili. Nadhani sasa tunaweza ku-connect hivyo vidoti. Hii habari inawezekana isiwe ni hizi porojo tulizozizoea hapa kutoka kwa hawa wanaojifanya kila siku kuwa na nyeti za kila jambo.

Itakuwa ni habari ya kusikitisha sana kama Tanzania ndio tutaingiliwa na janga hili la kujitakia wenyewe. Kikwete atakua ameacha 'legacy' ya kipekee kabisa katika historia ya nchi yetu.

Kalamu mambo yote haya hapa. Inaelekea hakuna nchi yoyote ya Afrika iliyowapa ruhusa ya kuweka kituo hicho, hivyo 'watakuwa kwa muda' Stuttgart, Germany.

06 February 2007

U.S. Creating New Africa Command To Coordinate Military Efforts
2008 target for headquarters to oversee efforts in all of Africa except Egypt

By Vince Crawley
USINFO Staff Writer

A U.S. Marine helps a local boy open a military food ration in Riongo, Kenya. A newly created U.S. Africa Command headquarters will facilitate U.S. efforts to promote development, health, education, democracy and economic growth throughout the African continent, President Bush announces February 6. (DoD)

A U.S. Marine helps a local boy open a military food ration in Riongo, Kenya. (DoD)Washington -- The Defense Department is creating a new U.S. Africa Command headquarters, to be known as AFRICOM, to coordinate all U.S. military and security interests throughout the continent, the Bush administration announced February 6.

"This new command will strengthen our security cooperation with Africa and create new opportunities to bolster the capabilities of our partners in Africa," President Bush said in a White House statement. "Africa Command will enhance our efforts to bring peace and security to the people of Africa and promote our common goals of development, health, education, democracy, and economic growth in Africa."

Until now, U.S. military involvement in Africa has been shared among the U.S. European Command, the U.S. Central Command and the U.S. Pacific Command. Defense Secretary Robert Gates called this divided responsibility "an outdated arrangement left over from the Cold War."

Creating AFRICOM "will enable us to have a more effective and integrated approach than the current arrangement of dividing Africa between [different regional commands]," Gates said February 6 before the Senate Armed Services Committee.

Bush has ordered that AFRICOM be created by September 30, 2008. At that time, the command will be headed by a top-ranking, four-star military officer who will serve on equal footing with other regional U.S. commanders around the globe. In his White House statement, Bush said the United States plans to consult with African leaders "to seek their thoughts on how Africa Command can respond to security challenges." He also said the United States "will work closely with our African partners to determine an appropriate location for the new command in Africa."

The transition team for the new command temporarily is operating in Stuttgart, Germany, which is also home to the headquarters of U.S. European Command. The Defense Department would like, however, eventually to locate the command headquarters in an African nation.

Officials are beginning to discuss possible permanent headquarters locations and are determining what kinds of military forces, if any, would be assigned permanently to AFRICOM, said Navy Rear Admiral Robert Moeller, of U.S. Central Command, who is director of the AFRICOM transition team.

The Defense Department uses its unified regional commands to coordinate military interests worldwide. Senior U.S. officers serve as diplomats and, if necessary, regional combat commanders. Currently, the U.S. Central Command coordinates military efforts in the Middle East, the Horn of Africa and Central Asia; the U.S. European Command coordinates much of sub-Saharan Africa and Europe; U.S. Northern Command coordinates North America; U.S. Southern Command coordinates South America, Central America and the Caribbean; and U.S. Pacific Command coordinates East Asia and South Asia, as well as the Indian Ocean islands off the coast of southeast Africa.

The new AFRICOM eventually will encompass the entire continent of Africa except for Egypt, which falls under U.S. Central Command. AFRICOM also will include the islands belonging to Equatorial Guinea, as well as the islands of Cape Verde and Sao Tome and Principe, and the Indian Ocean islands of Comoros, Madagascar, Mauritius and the Seychelles.

By creating AFRICOM, the Defense Department will be able to coordinate better its own activities in Africa as well as help coordinate the work of other U.S. government agencies, particularly the State Department and the U.S. Agency for International Development, said Moeller, the AFRICOM transition team director.

U.S. government officials also will be able to "work much more closely with our African partners across the continent," Moeller said, adding that nations in the region long have requested a separate U.S. command focused on African issues.

Ambassador Robert Loftis, a senior basing negotiator for the State Department, said U.S. military commands and other government agencies already perform a wide variety of work with African nations. By creating AFRICOM, Loftis said, "what we're really talking about is taking all of those activities that are already being done and consolidating them all under one command."
 
Back
Top Bottom