Kikwete anunuliwa na wamarekani?

Kikwete anunuliwa na wamarekani?

ehh me nlijua nchi yetu ishauzwa bado li ikulu na watu wake...kumbe na kiongozi wetu nayeeee???ehh bado kidoogoo na watz tutaanza pangiwa price zetu.....
cha msingi ni je tujiulize as watz.do we really need that base?n if we dont need it why should we have it?
 
Invisible..ban this sorry piece of doo doo. Remember VRS, Jokofu Kiwete...? Well, he's back again....if you don't believe me...wait and see.

Is this all what little dwarf monkeys can contribute in some serious discussion about an issue of potentially major geopolitical significance inside and outside the country? In case you aren't familiar with the saying "One monkey don't spoil no show"... then you better ask somebody!
 
Wewe mtoto wewe,

Haya mambo ndio nimekuwa nakuonya hapa. Wakati mwingine unafanya jambo unadhani kuwa ni sifa kumbe ni hatari kwa nchi. Mambo ya kijeshi yanaongelewa jeshini na ni ya usalama wa nchi. Hii habari inaweza kuwa ni ya kweli lakini sio vyema kuitoa wazi namna hii.

Wewe kwa nini hujiulizi kuwa kwa nini vyombo vya nyumbani bado haviongelei hii habari ya kambi ya kijeshi. Mambo mengine sana tunakaa kimya ila inabidi ifike wakati tuyakatae. Hutakiwi kabisa kuongelea mambo ya kijeshi hapa hadharani.

Utoto tu ndio unakusumbua!

Duh..halafu nasikia watu wananiambia Tanzania imeendelea...inakuwaje tena tuna wakina Masaka wenye mawazo kama haya..!!!
 
Yet another excuse to indulge in your mindless infatuation with Kikwete. Its "Kikwete this...Kikwete that..." every freakin' single day!!

Is this all what a little feminine girly man can contribute in some serious discussion about an issue of potentially major geopolitical significance inside and outside the country? In case you aren't familiar with the saying "Queer eye for the homo guy"... then you better aks somebody!
 
Nyani umemwita feminine girly man????naomba nijulishwe faida za maana za kuwa na hiyo base wajimini serious ones tuachane na haya ya wakijenga watatuletea fweza sijui services n.k yani tushindwe kujiletea maendeleo tutegemee tuletewe yoote tuu??basi hata osama akiomba ajenge kituo cha alqaeda apewe ruhusa as long as atatuletea barabara,umeme,maji n other services karibu na kituo chake!
tujaribu kuona mbali jamani sio kukimbilia kukubali mambo yatuleteayo faida kidogo kwa muda mfupi na hasara nyingi kwa muda mrefu
 
Ebu someni hii article ya:
13th November 2007, 06:56 PM
Re: Mazungumzo ya Kikwete,Bush yakera Wakenya

US huwa hawabahatishi na wala hawafanyi Jambo kwa pupa. Ewe mtanzania. Samahani Ewe mdanganyika, inua macho, tazama mbele usome alama za nyakati. Unaandaliwa kuwa kituo cha kijeshi cha hao mafedhuri (US). Mkuu wa kaya ya Wadanganyika, kwa sifa ya asili ni lazima awe mdanganyika. Na ndivyo alivyo. Hebu jiulize hii ni ni trip ya ngapi Marekani? Akienda hupewa nini cha kusaidia wadanganyika? Je Marekani inasaidia Danganyika kuliko EU na China? Huko kaenda mara ngapi? Alikwenda kwa mwaliko wa Grumet Fund akauza Serengeti. Natumaini sasa hakuna mdanganyika anaweza bisha maana tayari mambo yako wazi. Anakwenda tena next week kuuza..... sisemi ili nione kama usalama wa taifa wanafuatilia thread hii na kama watamtonya aghaili.
 
Yes, he is very girly. Very feminine. Very moody like she's going through menopause...hormone replacement therapy might work...
 
Yes, he is very girly. Very feminine. Very moody like she's going through menopause...hormone replacement therapy might work...

Mh...mh.. no..no - that is danger of causing breast cancer. You don't want no replacement nothing.
 
Ebu someni hii article ya:
13th November 2007, 06:56 PM
Re: Mazungumzo ya Kikwete,Bush yakera Wakenya

US huwa hawabahatishi na wala hawafanyi Jambo kwa pupa. Ewe mtanzania. Samahani Ewe mdanganyika, inua macho, tazama mbele usome alama za nyakati. Unaandaliwa kuwa kituo cha kijeshi cha hao mafedhuri (US). Mkuu wa kaya ya Wadanganyika, kwa sifa ya asili ni lazima awe mdanganyika. Na ndivyo alivyo. Hebu jiulize hii ni ni trip ya ngapi Marekani? Akienda hupewa nini cha kusaidia wadanganyika? Je Marekani inasaidia Danganyika kuliko EU na China? Huko kaenda mara ngapi? Alikwenda kwa mwaliko wa Grumet Fund akauza Serengeti. Natumaini sasa hakuna mdanganyika anaweza bisha maana tayari mambo yako wazi. Anakwenda tena next week kuuza..... sisemi ili nione kama usalama wa taifa wanafuatilia thread hii na kama watamtonya aghaili.
 
Ebu someni hii article ya:
13th November 2007, 06:56 PM
Re: Mazungumzo ya Kikwete,Bush yakera Wakenya

US huwa hawabahatishi na wala hawafanyi Jambo kwa pupa. Ewe mtanzania. Samahani Ewe mdanganyika, inua macho, tazama mbele usome alama za nyakati. Unaandaliwa kuwa kituo cha kijeshi cha hao mafedhuri (US). Mkuu wa kaya ya Wadanganyika, kwa sifa ya asili ni lazima awe mdanganyika. Na ndivyo alivyo. Hebu jiulize hii ni ni trip ya ngapi Marekani? Akienda hupewa nini cha kusaidia wadanganyika? Je Marekani inasaidia Danganyika kuliko EU na China? Huko kaenda mara ngapi? Alikwenda kwa mwaliko wa Grumet Fund akauza Serengeti. Natumaini sasa hakuna mdanganyika anaweza bisha maana tayari mambo yako wazi. Anakwenda tena next week kuuza..... sisemi ili nione kama usalama wa taifa wanafuatilia thread hii na kama watamtonya aghaili.

Unajua kule misitu ya Kongo ninakotokaga nyani jike mwenye mimba kama huyu ni mboga ya kila siku tu. Huwa tunatungua kwa manati halafu tunamkausha kwenye mafiga ya moto hadi vinywele vyote vinateketea halafu nyama inakuwa tayari kuliwa au kuuzwa sokoni. Mama analiwa na kichanga chake: hii ndiyo staili ya Bakongo!
 
Dalili ya kudata hii!! Sasa hiyo nukuu yako inahusiana vipi na utumbo ulioandika? Una miaka 40 lakini una akili ya katoto ka darasa la saba. Some things never change...
 
Kalamu mambo yote haya hapa. Inaelekea hakuna nchi yoyote ya Afrika iliyowapa ruhusa ya kuweka kituo hicho, hivyo 'watakuwa kwa muda' Stuttgart, Germany.

06 February 2007

U.S. Creating New Africa Command To Coordinate Military Efforts
2008 target for headquarters to oversee efforts in all of Africa except Egypt

By Vince Crawley
USINFO Staff Writer

A U.S. Marine helps a local boy open a military food ration in Riongo, Kenya. A newly created U.S. Africa Command headquarters will facilitate U.S. efforts to promote development, health, education, democracy and economic growth throughout the African continent, President Bush announces February 6. (DoD)

A U.S. Marine helps a local boy open a military food ration in Riongo, Kenya. (DoD)Washington -- The Defense Department is creating a new U.S. Africa Command headquarters, to be known as AFRICOM, to coordinate all U.S. military and security interests throughout the continent, the Bush administration announced February 6.

“This new command will strengthen our security cooperation with Africa and create new opportunities to bolster the capabilities of our partners in Africa,” President Bush said in a White House statement. “Africa Command will enhance our efforts to bring peace and security to the people of Africa and promote our common goals of development, health, education, democracy, and economic growth in Africa.”

Until now, U.S. military involvement in Africa has been shared among the U.S. European Command, the U.S. Central Command and the U.S. Pacific Command. Defense Secretary Robert Gates called this divided responsibility “an outdated arrangement left over from the Cold War.”

Creating AFRICOM “will enable us to have a more effective and integrated approach than the current arrangement of dividing Africa between [different regional commands],” Gates said February 6 before the Senate Armed Services Committee.

Bush has ordered that AFRICOM be created by September 30, 2008. At that time, the command will be headed by a top-ranking, four-star military officer who will serve on equal footing with other regional U.S. commanders around the globe. In his White House statement, Bush said the United States plans to consult with African leaders “to seek their thoughts on how Africa Command can respond to security challenges.” He also said the United States “will work closely with our African partners to determine an appropriate location for the new command in Africa.”

The transition team for the new command temporarily is operating in Stuttgart, Germany, which is also home to the headquarters of U.S. European Command. The Defense Department would like, however, eventually to locate the command headquarters in an African nation.

Officials are beginning to discuss possible permanent headquarters locations and are determining what kinds of military forces, if any, would be assigned permanently to AFRICOM, said Navy Rear Admiral Robert Moeller, of U.S. Central Command, who is director of the AFRICOM transition team.

The Defense Department uses its unified regional commands to coordinate military interests worldwide. Senior U.S. officers serve as diplomats and, if necessary, regional combat commanders. Currently, the U.S. Central Command coordinates military efforts in the Middle East, the Horn of Africa and Central Asia; the U.S. European Command coordinates much of sub-Saharan Africa and Europe; U.S. Northern Command coordinates North America; U.S. Southern Command coordinates South America, Central America and the Caribbean; and U.S. Pacific Command coordinates East Asia and South Asia, as well as the Indian Ocean islands off the coast of southeast Africa.

The new AFRICOM eventually will encompass the entire continent of Africa except for Egypt, which falls under U.S. Central Command. AFRICOM also will include the islands belonging to Equatorial Guinea, as well as the islands of Cape Verde and Sao Tome and Principe, and the Indian Ocean islands of Comoros, Madagascar, Mauritius and the Seychelles.

By creating AFRICOM, the Defense Department will be able to coordinate better its own activities in Africa as well as help coordinate the work of other U.S. government agencies, particularly the State Department and the U.S. Agency for International Development, said Moeller, the AFRICOM transition team director.

U.S. government officials also will be able to “work much more closely with our African partners across the continent,” Moeller said, adding that nations in the region long have requested a separate U.S. command focused on African issues.

Ambassador Robert Loftis, a senior basing negotiator for the State Department, said U.S. military commands and other government agencies already perform a wide variety of work with African nations. By creating AFRICOM, Loftis said, “what we’re really talking about is taking all of those activities that are already being done and consolidating them all under one command.”

Kulikuwa na fununu kwamba hii base itakuwa Rwanda! Na deal ni kwamba baada ya marekani kuanzisha base hiyo basi Rwanda itakuwa duty-free ambapo Rwanda inakuwa dubai ya Afrika mashariki na kati !
 
kwa speed hii waTz bado kitu gani hakijauzwa?bahari ya Hindi hapo wamepewa watu gani?au ndo wamepewa wa USE waje wajenge hiyo base chini ya maji?????as naona ka hadi raisi keshanunuliwa basi kila kitu kishapigwa bei tuu kwenye mnada bado wenye mali kuja chukua na tumia mali zao
 
Back
Top Bottom