Kikwete asema hataki kura za watazamaji walioangalia mdahalo wa dr slaa leo

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
248
"sitaki kura za watazamaji wa mdahalo wa Dr Slaa" KIKWETE
 
tehe tehe lazima aweweseke usiku huu nondo alizoshusha SLAA ni balaa
 

Hivi CCM wanajisikiaje wanavyochanwa liveeee. kwanini wasiseme yaishe wakabidhi mkoba?
 
mmh...sasa mumuache baba wa watu...rais tushamjua.....atake kura asitake....inahuu!!

hatumuachi huyu anatuudhi sana bana. mi natamani hata nimvizie nimpige na manati aaaghh
 

Hivi CCM wanajisikiaje wanavyochanwa liveeee. kwanini wasiseme yaishe wakabidhi mkoba?

sasa huyo ndo Dr .wa ukweli yaaani haumi umi maneno...chana live kuwa CCM mmekwiba hela ..Rostam na Mkapa mlikaa kikao cha kukwiba hela...daaah huyu Slaa kwa kweli ananipa raha sana...sasa wiki hii ndo yuko dar es salaam yaani sijui itakuwaje maana naona Dar ita vibrate
 
Kiwete utajiju mwaka huu uatake usitake, Bagamoyo inakuita!
 
Sasa huyu bwana hajui kuwa watazamaji wengine walikuwa ni ccm? Ina maana hataki kura zao pia?
 
Sidhani kuna ambaye anamuhitaji hata yeye. Mgombea muoga wa midaharo!! Never see before!! Hana hata aibu!! Sina hakika kama kichwa yake iko sawa. Mgombe kuogopa midaharo???!!! unabaki danganya watu majukwaani tu!! Shame on CCM party.
 
sidhani kuna ambaye anamuhitaji hata yeye. Mgombea muoga wa midaharo!! Never see before!! Hana hata aibu!! Sina hakika kama kichwa yake iko sawa. Mgombe kuogopa midaharo???!!! Unabaki danganya watu majukwaani tu!! Shame on ccm party.
halafu kunamijinga inatetea upuuuzi huuu, ccm wamechelewa kumpiga chini mtu huyu!
 
mmh...sasa mumuache baba wa watu...rais tushamjua.....atake kura asitake....inahuu!!


anahukakika gani mkewe hakuangalia????????????
Au anataka kubadilisha jiko??????????????????????
 
za watazamaji hazitaki, za wafanyakazi hazitaki pia, anataka zipi au ndio za kuiba
 
za watazamaji hazitaki, za wafanyakazi hazitaki pia, anataka zipi au ndio za kuiba

Labda siku hizi kondoo na mbuzi na wanyama wengine wanapiga kura........................:smile:
 
Kwa mara ya kwanza kabisa katika maisha yangu nakutana na Mgombea wa nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi ambaye anaogopa maswali ya moja kwa moja toka kwa wapiga kura wake - teh teh teh :smile-big:
 
"sitaki kura za watazamaji wa mdahalo wa Dr Slaa" KIKWETE



Source plzzzzz
 
mie mwenzeni nimesema tangu awali kua Kikwete atapata kura za wakwere wenzie na watu wasio na uelewa wa mambo wa kutosha, na familia zao na mafisadi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…