Kikwete asema hataki kura za watazamaji walioangalia mdahalo wa dr slaa leo

Kikwete asema hataki kura za watazamaji walioangalia mdahalo wa dr slaa leo

Yaani mkwere kwa kuridhika.....yaani lile boksi la kura zenye tiki zinamfanya aote kitambi mbuzi....anazo Ikulu pale anazitazama anahisi ameshinda tayari...anatazama kama anaomba kura vile...kumbe anazo 'imported' kutoka sauzi...churaaaaa....
 
Sina hakika kama kichwa yake iko sawa. Mgombe kuogopa midaharo???!!!
Jamani mnatakaje?, inamaana mpaka leo hamjui kama kichwa chake siyo kizuri yaani ni mgonjwa ukizingatia hajaenda USA...
 
nadhani ule ugonjwa wa kuanguka umezaa ugonjwa wa akili.......ooooooops nlisahau ni ule U-DK wa kupewa while kichwani empty.....nilisahau pia kuwa uwezo wake wa kufikiri ni dhifu.................hata hivyo he need to rest maana afya yake ina migogoro.....by the way hivi alipona ile heatt attack aliyoipata baada ya hotuba ya slaaa?
 
mimi nimesikia akisema kuwa HATAKI KURA ZA WAZEE WA EAC, ZA WANACHUO, ZA WAFANYAKAZI, NA ZA WANA'CCM WALIOCHAKACHULIWA WAGOMBEA WAO KWENYE KURA ZA MAONI.
 
nadhani ule ugonjwa wa kuanguka umezaa ugonjwa wa akili.......ooooooops nlisahau ni ule U-DK wa kupewa while kichwani empty.....nilisahau pia kuwa uwezo wake wa kufikiri ni dhifu.................hata hivyo he need to rest maana afya yake ina migogoro.....by the way hivi alipona ile heatt attack aliyoipata baada ya hotuba ya slaaa?
Kikwete bana
 
Jf bhna huu uzi umetoka wapi yaan rais sio tena kikwete na slaa sio tena cdm yaaan ume ekspaya
 
Back
Top Bottom