Hayo ni maneno tu maana kushusa cement na nondo si tatizo lkn ili ujenge unahitaji mchanga, kokoto, mawe, nk. Hivi vitu vyote vinategemea magari kubeba basi na bei ya mafuta labda ishuke. Yako mambo mengi ya kuangalia kwa kweli kuna issue ya mbao pia