Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimenunua leo cement Dar mfuko sh15,500. Nondo mm12 nilinunua juzi sh16,500hapa nilipo ni 18,500
Eneo gani hilo?Ni kweli mfuko wa cement umeshuka mpaka shilingi 12,500/=?
Kikwete sasa ameanza kazi, Nondo mm 12 ef 14500, sementi mfuko sh 12400,misumari,bati bei ni bwereree,hadi raha.kama una ujenzi wako wakati ni huu.
Eneo gani hilo?
Mleta maada njoo na data kamili sio kutoa maada harafu unapotea hueleweki hapa jamvini
Kikwete sasa ameanza kazi, Nondo mm 12 ef 14500, sementi mfuko sh 12400,misumari,bati bei ni bwereree,hadi raha.kama una ujenzi wako wakati ni huu.
Sure. System at work. Maana hata comment yako ni ya matumaini zaidi, kutia ari zaidi na nguvu zaidi za kusubiria ndoto hiziViwanda vya simenti kama 6 vipya vinakuja, ni lazima itashuka, lakini si ile ya Slaa.
Magamba its time you go now, hata mkishusha mfuko wa cement ukawa shs 10, hatudanganyiki wezi wakubwa nyie
uashushe kwani alipandisha yeye???Kikwete sasa ameanza kazi, Nondo mm 12 ef 14500, sementi mfuko sh 12400,misumari,bati bei ni bwereree,hadi raha.kama una ujenzi wako wakati ni huu.