field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,061
- 4,686
JK ni rais mjinga pia, Tanzania hakukuwa na rais tangu nchi hii imezaliwa. Hapa wanajaribu ku-lobby ili wasimfunge hilo limama liuaji. Huu ni ujinga tu mnaoleta. Watu wameuawa na huyo Kikwete na wenzake.Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.
Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.
Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.
... time for him to be a statesman!Retired President.
Yes gentleman,
it's true,
ni mbaya sana kua mfuata mkumbo lofa aise
Nyie wote mnaowaunga mkono wauaji nanyi mnashiriki katika dhambi za uuaji nanyi ni wauaji na lazima malipizi ya dhambi yawe juu yenu.Gentleman,
kuna mambo hayataki mihemko wala kubabaika na maneno ya wafuata mkumbo wakosaji,
ni kusonga mbele kwa mbele kwa mbele kimkakati zaidi bila kujali ramli au makasiriko nonsense ya mercenaries, kwasababu maisha hayana extra time
🫣🫣🫣🫣🫣JK ni rais mjinga pia, Tanzania hakukuwa na rais tangu nchi hii imezaliwa. Hapa wanajaribu ku-lobby ili wasimfunge hilo limama liuaji. Huu ni ujinga tu mnaoleta. Watu wameuawa na huyo Kikwete na wenzake.
Ni kweli kabisa, na potofu yanaweza kuwa yako.maoni na mawazo huru ni haki ya kila mTanzania hata kama ni potofu
japo maoni yako ni huru, lakini si sawa kupotosha wengine na kujipotosha mwenyewe na kujifariji kwa upotoshaji huoNi kweli kabisa, na potofu yanaweza kuwa yako.
changia hoja bila kuweweseka au kujaribu kutafuata poblic symapathy kwa porojo nonsense jukwaani, plz gentlemanNyie wote mnaowaunga mkono wauaji nanyi mnashiriki katika dhambi za uuaji nanyi ni wauaji na lazima malipizi ya dhambi yawe juu yenu.
Labda Rais wa sebule ya dadako.Huyu mzee alitakiwa awe Rais mpk leo hii badilishabadilisha haina maana wala faida yyte
Mwenyewe aliuchoka urais,akawashangaa wanaong'ang'ana madarakani(dongo kwa kagame)Huyu mzee alitakiwa awe Rais mpk leo hii badilishabadilisha haina maana wala faida yyte
Rudieni tena na sisi raia tuchangie mchango mkubwa kwenye maafa yajayoLa kuvunda halina ubani, huyu mzee ana mchango mkubwa kwa maafa ya 29.10.2025
HIVI KIKWETE BADORais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.
Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.
Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.
Kaoshe K kwanza ndiyo urudi tena, siyo hivyo hivyo na janaba lako unakuja kuingilia maongezi ya wanaumeRudieni tena na sisi raia tuchangie mchango mkubwa kwenye maafa yajayo
DEAL NAYE PERPENDICULARLYSema huyu mzee jau sana.!!
We tukana tu,ila tunatamani mrudie tena, safari hii raia tutawachuna ngozi,waccenge nyieKaoshe K kwanza ndiyo urudi tena, siyo hivyo hivyo na janaba lako unakuja kuingilia maongezi ya wanaume
KWA HIYO BI MSUMI ATAPIGWA VIKWAZO ?Imeisha hiyo, JK ni mwanasiasa mjanja mjanja lazima anajua DJT ni kiongozi mwenye ego na transactional sana.
HAKIKA KAZI NI UTU WA KIPIMOKila mtu anataka kuuza tanganyika yetu chura aka kizimkazi amepata URUSI na JK amepata U.S.A mwenye Dau kubwa auziwe tu.watanganyika hawajielewi.
Kazi ni kipimo cha utu
7.7.2026 wana watakiwasha tena na malaya wabovu kama wewe tutawawasha moto kabisa mubaki majivu tu.We tukana tu,ila tunatamani mrudie tena, safari hii raia tutawachuna ngozi,waccenge nyie
Haitasaidia kituRais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.